Maisha ya nyumbani raha

Maisha ya nyumbani raha

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,997
Weekend umekaaje wanaCC ... mamboz....

Yaani tangu nimetoka kwa my hezbend C6 naenjoy maisha ya nyumbani.... Kula kulala rahajeeeeeee.... Kha kumbe nilikuwa nabanwa lol!!!!! Sitamani tena kuolewa... Jamani nyumbani raha kweli naenjoy sana na my lovely daddy watu8 na my lovely mummy measkron mpaka na my sis sweetlady anaona wivu...
 
Last edited by a moderator:
Acha uongo!
Kama ulishakua kwa mume, ndiyo kusema ushaujua utamu wa "kono la tembo"
Haya uyasemayo hapa yawezekana ushakaa siku 56 hujaupata!
Ambavyo kisayansi inathibiti, kua mtu mzima akikosa service kwa muda tajwa hapo juu, hupata hitilafu kiisakojia.
Thrade yako inadhihirisha tayari saikolojiko haupo byee!
 
Kuna uthbitisho wa kisayansi kwenye hlo?
 
Leo umekaa kugegeduliwa tu ila angalia shuka lisipate madoa
 
Mambo poa Pedeshee la AraChuga.....

Wachungaji bana waliniacha hoi mpaka nikakaa chini...... Hasa yule wa.mwisho

Pouwaaa
Dah nilikuwa mahali lol
Hadi nimebanwa na mkojo aisee
Ntarudi kutoa report
 
Erickb52 kazi ni kwako, ushindwe wewe tu, mi namtaka ankoo, we chukua charminglady, nilikuwa nambanaaa , mie kiatu....?
 
Last edited by a moderator:
charminglady ukitaka upate raha zaidi,mwambie dady wako watu8 aende kwao na mamy wako pia naye aende kwao,alafu unakuwa huru zaidi na dada yako sweetlady yaan full kujiachia hata mkiamua mshinde na vibikini mnazunguka ndani huyu jikoni huyu kule kama miez 9 utanipa majibu
 
Last edited by a moderator:
Acha uongo!
Kama ulishakua kwa mume, ndiyo kusema ushaujua utamu wa "kono la tembo"
Haya uyasemayo hapa yawezekana ushakaa siku 56 hujaupata!
Ambavyo kisayansi inathibiti, kua mtu mzima akikosa service kwa muda tajwa hapo juu, hupata hitilafu kiisakojia.
Thrade yako inadhihirisha tayari saikolojiko haupo byee!

Mh. . . jg mbona maneno makali mweeee!! Mie nsharidhika.kukaa home mbona hutaki???
 
charminglady ukitaka upate raha zaidi,mwambie dady wako watu8 aende kwao na mamy wako pia naye aende kwao,alafu unakuwa huru zaidi na dada yako sweetlady yaan full kujiachia hata mkiamua mshinde na vibikini mnazunguka ndani huyu jikoni huyu kule kama miez 9 utanipa majibu

Hahahaaaaa... Mr. Lundenga unanchekesha.
 
Last edited by a moderator:
Mh. . . jg mbona maneno makali mweeee!! Mie nsharidhika.kukaa home mbona hutaki???

Nimegukusa that's y!
Mtu ushajua "la kujipimia mwenyewe" na kuukraia!
hom utapawezaje? Kama sio abrakadabra?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom