Maisha ya ndoa ni magumu

Maisha ya ndoa ni magumu

Mkuu anaedai talaka ni me au ke?///JF inabidi ibadili sheria za kujiunga hapa aghalau MTU aoneshe cheti cha diploma kwasababu jukwaa hili ndo pekee ambalo maoni yake yanasikilizwa na kufanyiwa kazi...hata tiss wengi hushinda huku hivyo kilaza kama ww bora ubaki kuwa guest tu
Aisee! Hili povu vp
 
Habari yenu,
Nipo kwenye ndoa miaka mitatu. Sijawahi kuona furaha ya ndoa hata watoto sina.
Nina mpango wa kudai talaka.
Naombeni Ushauri.
Au nimtoroke?
Waambie mods wa edit na kuandika maisha ya ndoa yako ni magumu. Sawa ?
 
Yaani izi mambo ata uzisome mara ngapi kama mtu ajawai ingia kwene ndoa lazima atamani kuingia na matarajio huwa ni kwamba atajitaidi ndoa yake iwe ya tofauti na ya kina flani wanaofalakana kila siku hahaha
Kufarakana ni zao la mmoja kujifanya much knows sana. Wote mkiwa wepesi wa kujadili na kutafuta suluhu ya changamoto zenu ndoa inakuwa ya furaha sana tu.
 
Asilimia 75% ya wanaoingia kwenye ndoa husukumwa na mambo makubwa matatu ambayo kimsingi hayana tija kwenye neno LOVE!
Kwanza wengi husukumwa na MATARAJIO - expectations ! Pili wengi hutafuta unafuu wa maisha na tatu wengi Hufuata legacy ya mume mtarajiwa au mke mtarajiwa! Sasa hayo yoote yakishaanza kuondoka ama kutokuwepo kabisa ndio malalamiko ya Kusema nilikosea kuoa au kuolewa yanaanza Kuvuma! Nakinacho vunja ndoa nyingi ni usaliti unaoongozwa na tamaa ambazo nyingi huwa ni zao la kukosekana mambo matatu niliyoyasema hapo juu!
hongereni sana mliopendana kama mlivyo!
So factual
 
Achana nayo fanya mambo marahisi😎
Habari yenu,

Nipo kwenye ndoa miaka mitatu. Sijawahi kuona furaha ya ndoa hata watoto sina.

Nina mpango wa kudai talaka.

Naombeni Ushauri.

Au nimtoroke?
Pole sana hizo changamoto wanakutana na tunakutana nazo sana kiukweli hata mimi nina mwaka toka nimeolewa lakin siifurahii ndoa yangu hata kidogo nilikuwa ni mtu wakujitafutia kipato changu na nilikuwa mwenye bidii sana na kile nilichokipata nilijitahidi kukitumia vizuri ikiwa ni pamoja na kuwasomesha wadogo zangu na kuwajengea wazazi wangu nyumba.Lakini toka nimeingia kwenye ndoa hayo mambo yamekuwa ni ndoto mume wangu yaan furaha yake ni kuona nafanya kazi isiyoeleweka ambayo mda wowote tunaweza kuachishwa kazi.Nilipata kazi mgodini akanigomea akidai kuwa watu wa mgodini ni wahuni na wengi ni wachawi hivyo huko hakunifai nikapata kazi sehem moja hivi ni shirika kubwa tu sema lilikuwa liko mbali na nyumbani ila walikuwa wana utaratibu wa kuwa wiki mbili nyumbani wiki mbili kazini nakwenyewe akagoma.yeye ni mchungaji tena mwenye imani kali ya kuamini kuwa anaweza kupata utajiri pasipokufanya kazi anapenda kulala hakuna mfano yaan mda wa kuamka ni saa tatu asubuhi akinywa chai basi anapitiwa na usingiz akizinduka anakuambia alikuwa anazungumza na Yesu hapendi kuumiza kichwa juu ya kitu chochote kinachohusu future umri wake ni miaka 35 ukimshauri anakuwa mbishi tena anaona unamtoa rohoni mkipishana kauli hakuna kukaa ndani kujadiliana anayapeleka nje utashangaa tu mnakuja kukalishwa kikao ataongea uongo humohumo ukweli humohumo kiukweli hayo ni baadhi tu ya mambo ambayo yananifanya nisiifurahie ndoa yangu hata kidogo na hapo bado hatujapata mtoto
 
Kabla ya ndoa, uchumba uwe na mda wa kutosha ili mjuane vizuri. Mshauri awe mtu mzima mwenye busara na familia iliyotulia. Ukimsikiliza mtu anaekuambia "akichounganisha Mungu asitenganishe binadamu " na hana uzoefu wa ndoa utapotea. Ndoa ni mtihani mgumu, usifanye mchezo. Ushauri wangu, tafuta mtu mzima mwenye familia akushauri, huenda ni jambo dogo ila unalichukulia kubwa.
 
Kam una lipa angali pengineee. Sasa huna mtoto na ndoa yako ndo iko hivyoo unasubiri nini.
 
Kufarakana ni zao la mmoja kujifanya much knows sana. Wote mkiwa wepesi wa kujadili na kutafuta suluhu ya changamoto zenu ndoa inakuwa ya furaha sana tu.
Kutoafautiana kupo ata ufanyeje iwe kwa suala dogo au kubwa ila mtafarakana tu maana ni binadam, cha muhimu ni namna ya kumaliza tofauti zenu
 
Ondoka huko haraka iwezekanavyo Dada ili unusurike na amani mbaya rohoni mwako.

"ASIYEFANYA KAZI NA ASILE" Je huyo Mumeo atapataje riziki bila ya kuwa na kazi?

Mungu akusaidie kutafakari kwa akili njema ili uje uchukue maamuzi sahihi katika ndoa yako.
Kabla ya ndoa, uchumba uwe na mda wa kutosha ili mjuane vizuri. Mshauri awe mtu mzima mwenye busara na familia iliyotulia. Ukimsikiliza mtu anaekuambia "akichounganisha Mungu asitenganishe binadamu " na hana uzoefu wa ndoa utapotea. Ndoa ni mtihani mgumu, usifanye mchezo. Ushauri wangu, tafuta mtu mzima mwenye familia akushauri, huenda ni jambo dogo ila unalichukulia kubwa.
 
Kam una lipa angali pengineee. Sasa huna mtoto na ndoa yako ndo iko hivyoo unasubiri nini.
Nina miaka 25 tu kaishanifanya kama bibi kwa jinsi nilivyochoka na wala hilo haoni ukimwambia aisee kwa mwendo huu hatufiki yaan sina mtoto niko hivi tukipata watoto je itakuwaje nyumba yenyewe ya kupanga kodi yenyewe hamna na mpaka hivi ninavyoongea mwenye nyumba kaishamtafuta alichobakiza ni kuanzakutafutatafuta mapungufu ya nyumba tunayokaa na angali alishasema tokea mwanzo kuwa hayo tutayarekebisha wenyewe haina shida sasa kajikuta hamna kodi anatoa visingizio
 
Pole sana hizo changamoto wanakutana na tunakutana nazo sana kiukweli hata mimi nina mwaka toka nimeolewa lakin siifurahii ndoa yangu hata kidogo nilikuwa ni mtu wakujitafutia kipato changu na nilikuwa mwenye bidii sana na kile nilichokipata nilijitahidi kukitumia vizuri ikiwa ni pamoja na kuwasomesha wadogo zangu na kuwajengea wazazi wangu nyumba.Lakini toka nimeingia kwenye ndoa hayo mambo yamekuwa ni ndoto mume wangu yaan furaha yake ni kuona nafanya kazi isiyoeleweka ambayo mda wowote tunaweza kuachishwa kazi.Nilipata kazi mgodini akanigomea akidai kuwa watu wa mgodini ni wahuni na wengi ni wachawi hivyo huko hakunifai nikapata kazi sehem moja hivi ni shirika kubwa tu sema lilikuwa liko mbali na nyumbani ila walikuwa wana utaratibu wa kuwa wiki mbili nyumbani wiki mbili kazini nakwenyewe akagoma.yeye ni mchungaji tena mwenye imani kali ya kuamini kuwa anaweza kupata utajiri pasipokufanya kazi anapenda kulala hakuna mfano yaan mda wa kuamka ni saa tatu asubuhi akinywa chai basi anapitiwa na usingiz akizinduka anakuambia alikuwa anazungumza na Yesu hapendi kuumiza kichwa juu ya kitu chochote kinachohusu future umri wake ni miaka 35 ukimshauri anakuwa mbishi tena anaona unamtoa rohoni mkipishana kauli hakuna kukaa ndani kujadiliana anayapeleka nje utashangaa tu mnakuja kukalishwa kikao ataongea uongo humohumo ukweli humohumo kiukweli hayo ni baadhi tu ya mambo ambayo yananifanya nisiifurahie ndoa yangu hata kidogo na hapo bado hatujapata mtoto
Khaaa Dada pole, hakuna kitu kinaboa kama kuwa na mwanaume mvivu!!!! Bora awe hustlers hata kama hana kitu mnakuwa mnaishi kwa matumaini kuwa kuna siku mtatoboa!!!
 
Kutoafautiana kupo ata ufanyeje iwe kwa suala dogo au kubwa ila mtafarakana tu maana ni binadam, cha muhimu ni namna ya kumaliza tofauti zenu
🤣🤣🤣🤣🤣 kuna wengine ni complicators. Jambo dogo mtu anataka ligi
 
We dai tu hafu baadaye usije ukajuta! Hivi nani aliwaambia ukiishi kwenye ndoa ndo unakuwa na furaha, nakushauri kuwa ndoa ni kazaa au kuzalisha mambo mengine ya fuaraha yanakuja baadaye ya miaka kadhaa katika ndoa

Back
Top Bottom