feysher
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 2,656
- 2,775
muache na bado yani
miaka mi 3 hata weaving la harusi bado halijapotea
Safari ndo kwanzaaaa gari limepigwa starter
[emoji23][emoji23][emoji23]eti weaving la harusi bado halijapotea
muache na bado yani
miaka mi 3 hata weaving la harusi bado halijapotea
Safari ndo kwanzaaaa gari limepigwa starter
njoooo kwanguHabari yenu,
Nipo kwenye ndoa miaka mitatu. Sijawahi kuona furaha ya ndoa hata watoto sina.
Nina mpango wa kudai talaka.
Naombeni Ushauri.
Au nimtoroke?
ana safari ndefu huyu,namuangalia tu yani[emoji23][emoji23][emoji23]eti weaving la harusi bado halijapotea
Ndoa ni gereza na nisehemu pekee maadui wanalala gereza moja(kitanda) so tafuta adui unae weza kuhendo..ili uishi gerezani kwa unafuu..ila zaidi ya familia mi sionagi mana ya ndoa kabisa.
ana safari ndefu huyu,namuangalia tu yani
Asante kwa kunisaidia kuwaeleweshaKawaambia shida ni kukosa watoto nanyi bado mnamkomalia mnamuuliza eti shida nini ?
Niliwahi kusema humu ndani,wahenga walioweka jando na unyago sio kwamba walikuwa hawana akili,kulikuwa na faida nyingi kuliko hasara,tukaja na elimu zetu tukawaponda eti ooh tunawafundisha watoto mambo makubwa wakati bado wadogo,sasa naona unachokisema kinashabihiana na yale ya kizamani ila hiyo yako ni ya kidigitali zaidi...Ifike mahali watu wa ustawi wa jamii waanze kutoa elimu kwa uma juu ya mahusiano ya ndoa, maana inapokuja kuachana licha ya dini za kila mmoja kabla ya kufika kuchukua talaka mahakamani lazima muanzie ofisi za ustawi wa jamii.
Tangu watoto waelimishwa kwanini uingie kwenye ndoa na ukiingia ujue hiki na hiki na hiki ukitarajie na hiki na hiki unaweza usikipate na hakuna kufanana na kadhalika na kadhalika. Yaani iwe suala la kujiandaa kisaikolojia zaidi ili wanaokataa ndoa waikatae tangu wadogo.
Sio waingie kichwa kichwa halafu baada ya miezi, mwaka au miaka kadhaa wanasema ndoa haina maana.Siwalaumu maana sijui wanayokutana nayo huko, sina uzoefu ila ni swali la kujiuliza, kwanini uingie kwenye ndoa? na uingie na nani?....
Walioko kwenye ndoa pia wana jukumu kubwa kuwaelimisha uzao wao kuhusu masuala haya haswa kipindi hiki cha utandawazi.
ooh my god umtoroke? mwambie tu huna furaha ya ndoa mjue mnafanya nini.Habari yenu,
Nipo kwenye ndoa miaka mitatu. Sijawahi kuona furaha ya ndoa hata watoto sina.
Nina mpango wa kudai talaka.
Naombeni Ushauri.
Au nimtoroke?
Yaani izi mambo ata uzisome mara ngapi kama mtu ajawai ingia kwene ndoa lazima atamani kuingia na matarajio huwa ni kwamba atajitaidi ndoa yake iwe ya tofauti na ya kina flani wanaofalakana kila siku hahahaMsio kuwa na ndoa muwe mnasoma hizi mada ili muweze kujitafakari kabla ya kuingia kwenye ndoa...
Sio magumu ni wewe una sababisha kuwa magumuUnyago umepitia?