Maisha ya ndoa ni magumu

Maisha ya ndoa ni magumu

Habari yenu,

Nipo kwenye ndoa miaka mitatu. Sijawahi kuona furaha ya ndoa hata watoto sina.

Nina mpango wa kudai talaka.

Naombeni Ushauri.
Huwezi kupokea ushauri jenga, kwasababu ume-hide zile key points za why umechoshwa na ndoa.

So ni vema ukatueleza white and black, juu ya masuala yanayoendelea kwenye ndoa yako.....ili utoe room kwa wachangiaji, kukupatia mawazo stahiki.

Nawasilisha maoni yangu...
Asante.
 
Ifike mahali watu wa ustawi wa jamii waanze kutoa elimu kwa uma juu ya mahusiano ya ndoa, maana inapokuja kuachana licha ya dini za kila mmoja kabla ya kufika kuchukua talaka mahakamani lazima muanzie ofisi za ustawi wa jamii.

Tangu watoto waelimishwa kwanini uingie kwenye ndoa na ukiingia ujue hiki na hiki na hiki ukitarajie na hiki na hiki unaweza usikipate na hakuna kufanana na kadhalika na kadhalika. Yaani iwe suala la kujiandaa kisaikolojia zaidi ili wanaokataa ndoa waikatae tangu wadogo.

Sio waingie kichwa kichwa halafu baada ya miezi, mwaka au miaka kadhaa wanasema ndoa haina maana.Siwalaumu maana sijui wanayokutana nayo huko, sina uzoefu ila ni swali la kujiuliza, kwanini uingie kwenye ndoa? na uingie na nani?....

Walioko kwenye ndoa pia wana jukumu kubwa kuwaelimisha uzao wao kuhusu masuala haya haswa kipindi hiki cha utandawazi.
 
Habari yenu,

Nipo kwenye ndoa miaka mitatu. Sijawahi kuona furaha ya ndoa hata watoto sina.

Nina mpango wa kudai talaka.

Naombeni Ushauri.

Au nimtoroke?
Hebu toa maelezo yenye kueleweka bwana,tukushauri nini sasa?
 
Habari yenu,

Nipo kwenye ndoa miaka mitatu. Sijawahi kuona furaha ya ndoa hata watoto sina.

Nina mpango wa kudai talaka.

Naombeni Ushauri.

Au nimtoroke?
kitu cha kushangaza ni kwamba hakuna watu wanao taka ndoa kama wanawake unakuta mpo kwenye mahusiano kila siku analia ndoa ndoa..lakini ni wanawake asilimia 95 wanalalamika ndoa haina furaha..but anyways mkuu furah inaanza na wewe je umewahi kuitafuta , kukaa chini na mwenzako kujadili matatizo mliyo nayo maan kam mliweza kufunga ndoa ina maanisha mnafahamiana kisas kwamba hakuna kitu ambacho kitawashinda kuzungumza hata kam kiwe uncomfortable vipi..furaha ya ndoa inaanza na wewe sio wewe ...tafuta solution ya tatizo ulilonalo
 
Furaha yako iko mikononi mwako!
Ongea na mwenza wako, nini unataka na nini hutaki!!

Maisha ya ndoa, mazungumzo ni kila kitu! Pata nafasi ya kuongea naye kwa upendo, mfanye awe unavyomfurahia wewe!!

Kila la kheri Mkuu..
 
Furaha yako iko mikononi mwako!
Ongea na mwenza wako, nini unataka na nini hutaki!!

Maisha ya ndoa, mazungumzo ni kila kitu! Pata nafasi ya kuongea naye kwa upendo, mfanye awe unavyomfurahia wewe!!

Kila la kheri Mkuu..
Well said √.
 
Back
Top Bottom