Maisha ya mtu mzima na urafiki unaobadilika polepole

Na kama ni bachela ukirudi ndani kwako unakaa kimya hadi asubuh... Unashangaa kwanini mtu ananuka mdomo kumbe akishaingia ndani kwake anaufunga hadi unachacha 😁
 
Kwa kweli sio ubinafsi, mbona anakuwa busy na kuwatafutia familia yake?

Hapo jawabu ni umri tu
Mimi washikaji sina kabisa kwa sasa
Nina marafiki wa utotoni ambao wapo nchi tofauti nao huwa tunaonana kwa kutembeleana mara moja moja kwa miaka kadhaa

Ila ndio maisha yalivyo hata rafiki zangu wa karibu sana walipooa, wakaanza kupotea taratibu ila sikuona la ajabu kwani ni kawaida sana

Huwezi kukaa na washkaji masaa yote wakati una mke na watoto nyumbani wanakusubiri

Unafanya kazi una familia huo mda wa kukaa na mtu unaupata wapi?

Labda lunch mara moja moja sana tena masaa machache
Na kama kuna mambo ya biashara sawa
 
Ni ubinafsi ila ni mfumo halisi wa maisha ,mpaka mtu anaondoka kwao na kwenda kwingine.
 
Nipo katika stage ambayo sitaki interaction kabisa na watu naona naboreka tu.....tuonane tusalimiane dakika tatu kila mtu aondoke.

Muda mwingi nainjoi kukaa mwenyewe kupanga mambo yangu
Mi pia naenjoy sana kukaa pekee yangu. Mtu akija mahali nilipo nakuwa totally bored huwa natamani nije kupata mke wa kariba yangu
 
hata sipajui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimetoa tu mfano papo local sana kwa sisi tuliokulia DSM
Yeye alizungumzia viwanja vya michezo, lakini ndo aka maanisha kina campan huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…