Maisha ya Msichana wa Saudi Arabia hatarini, ahofia kuuawa

Wanakwambia vipenzi wa Mungu wa Yakobo yaani Nabii Ibrahimu, na Is-haka, na Yakub walikuwa waisalamu. Tena wanakwambia ambaye ilikuwa achinjwe na baba yake kwa agizo la Mungu ni Ishmael na sio Isaka.

Tena wanasema nabii wa kufanana na Musa sio Bw. Yesu bali nabii yule. Halafu wanasema Yesu hakufa bali walibabaishwa tu na kuvurugwa wasipate kujua nini kilitokea. Yote hayo hila za yile mwovu na baba wa dhambi Shetani.
Kuna watu wanasema Mungu alikufa msalabani :D
 
Kuna watu wanasema Mungu alikufa msalabani :D
Ni kweli na wengine wanapinga jambo lisilowahusu. Yule aliyezaliwa chini ya mtende hakufa ila yule aliyezaliwa Bethlehemu kifo chake kilitabiriwa miaka mingi kabla ya kutokea. Na hata yeye alishuhudia kwamba hayo yangempata na angefufuka. Na sote tu mashuhuda wa mambo haya isipokuwa Shetani na wafuasi wake.
 
Kwani hayo ya wengine na wewe yanakuhusu vipi kwa mfano? :D
 
Acha UONGO wewe mimi ni mkazi wa huku kanda ya ziwa. Hayo mauaji unayosema ni uhalifu kama uhalifu mwingine na si kawaida kama ulivyosema na hayana baraka kutoka kwa serikali au dini yoyote. Mauaji ya Saudia yana baraka kutoka katika uislam na serikali. Usiwe uanaropoka ovyo. Jaribu kuficha ............ wako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Usinifanye mpumbavu kijana__okay!! wako viongozi/watu ambao wameuawa na watu wasiojulikana hapa hapaTanzania__so na haya mauwaji hayakuwa na baraka kutoka katika na S_R_K_LI yetu??
Mbona unajitoa ufahamu kiasi hicho! Chuki zinakusumbua kijana na si kingine.

Watu hao ni pamoja na Simoni Kanguye, Ben Saanane, Azory Gwanda, walitekwa na watu wasiojulikana__ Tundu lissu walimkosakosa kumuuwa, Mo dewji juzi kati hapa alinusurika kuuawa, Kwahiyo unataka kuniambia dini/ushirikina ulihusika hapo au haikuwa baraka kutoka katika S..R..K..LI yetu!! Unachekesha sana kijana, tatizo lenu ushabiki na chuki zisizokuwa na maana mpaka mnaropoka.
 
Hakuna cha ushabiki hapa. Lete fact/evidence ndio kitu muhimu. Tatizo lenu wazungu wamewateka akili zenu na mkasadiki yaliyo_semwa/tungwa kwenye vitabu vya primary. Ha hhhaaa kweli wametukamata Kweli kweli 😆😆
The Keko Magurumbasi based arabs, defending the indefensible....!!!!
 
Acha UONGO wewe mimi ni mkazi wa huku kanda ya ziwa. Hayo mauaji unayosema ni uhalifu kama uhalifu mwingine na si kawaida kama ulivyosema na hayana baraka kutoka kwa serikali au dini yoyote. Mauaji ya Saudia yana baraka kutoka katika uislam na serikali. Usiwe uanaropoka ovyo. Jaribu kuficha ............ wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu huyo, uislamu Ni dini ya wapumbavu wasio na akili kuanzia na huyo Mohammed mpaka allah wao wote wapumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Otterhound Mungu anapaswa awe mtenda haki, mwenye kujali viumbe wake, mwenye huruma, asiyeruhusu matendo ya kikatili(_likiwemo la mwanadam kumchinja mwanadamu mwenzake), lolote litakalofanyika lisilo la haki lisihusushwe na Mungu au lisipewe uhalali na Mungu. Tanzania huenda yanafanyika mengi na nayakutisha kupita ya saudia lakini tofauti ni kwamba yanayofanyika tz ni uhalifu na ni kinyume na kanuni na sheria za Mungu, tofauti na Saudia ambapo matukio hayo ya kikatili yanahusishwa na Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hayo ya wengine na wewe yanakuhusu vipi kwa mfano? :D
Ubinadamu kwanza; upuuzi mwingine baadaye! Kwako dini unaipa priority kuliko maisha ya msichana mdogo kwa kisingizio cha dini? You must be mad sio bure.
 
Back
Top Bottom