Maisha ya Msichana wa Saudi Arabia hatarini, ahofia kuuawa

Asee wasije wakamrushia majini mtoto wa watu maana hawa ndugu zetu katika imani wako vizuri sana kwenye sekta ya kupuliza. Takbirrr
 
Wewe hujatembea hapa ukajionea, au pengine sio mfuatiliaji wa news. Hujawahi sikia mauwaji yanayotokea kule tarime,sirari,sengerema and geita! Shinyanga and mwanza pia mauwaji ya vikongwe na abino! Tena hapa kwetu mauwaji katika family ni kitu cha kawaida sana. Sema tu unajitoa ufahamu.
Acha uzwa zwa Mkuu, tunaongelea ukatili wa Waarabu wakupenda kuchinja chinja ndugu zao. Habari za Sengerema wapi wapi?
 
Ni kweli Mkuu huyu Mama kaandaa Maandamano hayo

hebu wawaachie wawe huru kwani hata wanaume wananyanyasika sana iko siku Saudia itakuwa huru

Yap mtaalam huyo dada yy pia ni mSaudi arabia lkn sijui alichoropoka vp toka saudi lkn ukipitia account yake vizuri unagundua yy alibadili dini toka imani ya muslim na yy ameamua kusimama kidete
 
Achana nao hao Viongozi wa Saudia ni wapuuzi miaka yote
  • wamesharuhusu kina mama waendeshe magari
  • wamesharuhusu sinema na majumba kufunguliwa
  • wameshamuua Kashoggy wamechonganisha vita vya Yemen Iraq na kuruhusu vichupi kwa wanajeshi na wageni wanaotembelea Saudia sasa watakuwa na kauli tena?
labda nikueleweshe huyu Bint atauliwa na familia yake wakiwemo ndugu Kaka na Baba wadogo. Viongozi wa Saudia hawahusiki na sijawataja fuatilia clip ya huyo Bint na usikilize video hii katika dakika ya 2.08 anavyowataja wauaji kuwa ni baba yake

Dini ya kuua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe umeelewa kuwa hapo tatizo la kifamilia na si viongozi wala dini Lakini wazungu weusi wa Roma lazima muingize dini

hii ni conspiracy imepangwa dhidi ya uislam, tuachane na yao, uyu kadada kanonekana ni katamuuuu, atakua Mia Khalifa aje uko Canada
 
Back
Top Bottom