Mabadililo makubwa ya kiutamaduni yanayofanywa na MBS wa Saudi Arabia yataifikisha wapi?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,641
46,289
1. Kuruhusu wanawake kuendesha magari.

2. Kufungulia sehemu za starehe kama disco na kuruhusu mchanganyiko wa wanawake na wanaume katika sehemu za starehe.

3.Kuruhusu wanawake kupata passport bila kibali cha mwanaume.

4.Kudhibiti vipaza sauti. Vipaza sauti vinatakiwa kutumia theluthi tu ya uwezo wa sauti yake yote na vinatakiwa kutumiwa kwa adhana tu.

5. Dua zinatakiwa ziwe fupi miskitini

6. Kuvutia na kuwekeza katika michezo

7.Sasa ameruhusu pombe

Hapa bado hajawa mfalme na anaweza kuitawala Saudi Arabia hadi nusu karne
 
Anaiua dubei
 
Waruhusu makanisa
 
Back
Top Bottom