Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
- Thread starter
- #221
Ni sahihi, shida gap ni kubwa Sana kati walio nacho na wasio nacho.Ila ni fursa hiyo pia, kwamba kama wakiweza kuchukua bidhaa maeneo zinapatiakana rahisi na kuuza dodoma kwa bei za juu, unakuwa ni biashara nzuri kwao