Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,259
- Thread starter
- #201
Kha!kha!,weee jamaa hapo Morning star ndipo nilipolala sasa,bei za vyumba ni kuanzia 20,000/=.Boda boda Aliniambia siwezi kupata guest ya bei ya chini zaidi ya 20,000/= maeneo hayo.Tena Holly Cross hapo ni noma sana, Yaani glass ya wine siku za Nyuma (Miaka mitatu) Nyuma ilikuwa 2000/=,Sasa hivi ni 2500/=. Kuhusu msosi nilishasema bei zao,mama Ntilie wa hapo bei zao za vyakula zipo juu Mkuu usibishe, Siku nikija nitakutafuta ili nikuhakikishie bei zao za vyakula.Boss mbona mitaa ya holycross unayosema mim ndo nakaa apa na guest za 15000 zipo nyingi tu apa uliulizia morningstar , kuna johnson zipo nyingi tu apa mpak za 10000 ata msosi wa mamntilie wa 1500 upo au ulikua holycross sehemu gan