cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,918
- 189,543
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we upo? Usnambie kua huishi dodoma, maan najuaga wee uko huko lol.Yaani Dodoma, we acha tyuuuu!!! [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we upo? Usnambie kua huishi dodoma, maan najuaga wee uko huko lol.Yaani Dodoma, we acha tyuuuu!!! [emoji12]
Ya viumbe wa barKonektion ya kazi au ya Nini Mkuu,tujue??.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiwa napita kwenda chuga huwa naishia kusema "hiii".Ule mji kwanza una jua Kali Hadi hewa inakuwa ya shida, siku nimeenda nililia kwa Hilo jua aisee.
Karibu Magufuli City bibie! Mtumba moja hiyo. Wewe ulizia tyuu yule Mlinzi Babu Kijana!! Utanipata. Hakuna asiye nifahamu hapa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we upo? Usnambie kua huishi dodoma, maan najuaga wee uko huko lol.
Idodomiya hakufai jamani kule kwataka moyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiwa napita kwenda chuga huwa naishia kusema "hiii".
Kna mtu nlimzuia kuhamia pale, nlimuambia akihamia kule bas mie siend tena kwake. Kule ni hovyooooh tyuuh khaaah
Khaaaa!!!!,Hao si wapo tu?!!!. Siku hizi wamejaa tele hata soko hawana .Ya viumbe wa bar
Aisee noma sana!!!, Sasa kuna watu eti wananibishia.Bora wewe umeonyesha uhalisia ulivyo.Komaa mbona unayumba sana, dodoma ni hatari kama umezoea kuishi mikoa mingine tofauti...dodoma hakuna ufugaji wala kilimo cha uhakika kwahiyo ni kukame hatari, halafu inatokea serikali inahamishia makao makuu humo..wafanyakazi wanajazana humo...unatarajia nini maisha yatakavyokuwa??. Kuna sehemu hujaenda wewe..kunaitwa kilimani..colina..wao wali nyama ni elfu 20 (ishirini elfu hadi 25). Hizo nguruwe ni elfu 12 kote sema walikutajia elfu kumi walikuona mgeni lialia, ugali/wali maharage ni elfu 2 na kuendelea. pole sana ndugu yangu..dodoma sio ya kukimbilia kwasasa...hata wenyeji wanauza maeneo yao mijini wanasogea vijijini...wageni wapo bize kuweka biashara na majumba ya kulala na starehe basi
Ndio jijiWakuu habari za jioni? Wiki hii Nilikuwa DODOMA kwa shughuli za Kiofisi,nimependa jinsi jiji la Dodoma linavyokua kwa kasi,Lakini hali ya maisha inaonekana ni ngumu Sana kuliko Dar es salaam.
Nilitafuta guest house, bodabo whyda akaniambia kuwa vyumba vya bei ya chini ni 20,000/=, nikashangaa Sana kwasababu niliwahi kwenda DSM na nikafanikiwa kupata gesti ya 10,000/=, nzuri tu. Chakula kwa Dodoma ndo usiseme,kipimo changu cha kwanza ni kwa Mama ntilie, maana watu wengi wa hali ya chini huenda huko kununua chakula;
Aise kina bei hatari [emoji134][emoji134][emoji134], Kuna sehemu niliambiwa wali nyama 3,000/=,Ugali nyama 3000/=,Wali samaki 3500/=, Ugari Maharage 2000/= na wali Maharage 2500/=, Sehemu nyingi za Mama Ntilie bei ni hizo.Nilipolala ni karibu na Holly Cross Center inayomilikiwa b
Na Kanisa Katoliki Jimbo kuu la DODOMA,Aise hapo kitimoto ya kukaanga kilo ni 10,000/=,Ya kubanikwa ni 12,000/=,Ndizi moja 500/=. Ugari kuku robo 6000/=. Na vyakula vingine bei zipo juu pia.Haya nikasema Niulize Vipi kuhusu nyumba za kupanga?; Kheee!, Bei nilizotajiwa nilishangaa Sana.Twende Bodaboda aisee Hivi kweli kutoka Holly Cross Center hadi Mkonze mtu anaanza na 6000/=baada ya kuvutana Sana ndo anaishia kwenye 4000/=.
Sijauliza viwanja.Nastaajabu kwasababu miaka ya Nyuma DODOMA haikuwa ghali kiasi hicho.Nilijiuliza swali moja kuwa DODOMA ni wafugaji wazuri wa mifugo sasa Kwanini bei ya Nyama ya ng'ombe ipo juu hivi?? Mnazidiwa na Morogoro ambao hawafugi km ninyi kweli?
Serikali ichunguze Hali hii, kwasababu inachangia kwa kiasi kikubwa sana Watumishi wa wizara waliokuwa wamehamishiwa DODOMA kutoka Dar kutamani kurudi Dar kuliko kuishi DODOMA.Tafadhari Serikali inusuru Hali hii.
Sio Sababu ya Msingi.Mbona Dar maisha yako poa,Nenda Mwanza,Tanga na Mbeya ndo usiseme, Isipokuwa Arusha kwasababu ni jiji la Kitalii.
Hatujakutisha Mkuu,wewe jiandae tu Kisaikolojia.Dah, mmenitisha afu soon ndo nahitaji kuhamia huko nkaanze kuzisaka
Nenda tu kapambane.Maana nipo kwa bi mkubwa tu huku hta sielewi wala nn,
Acha ushamba biashara haijawahi kuwa monitored na serikali, ni market forces ndio zinafanya hiyo kazi.Chifu Mimi nalalamika kwasababu bei ni kubwa Sana kuliko maeneo mengine,Hivi km ndo hivyo Mbona Msimu wa Ramadhani Serikali huwa inapiga marufuku upandishaji holela wa bei za vyakula?, Kwanini wasiache tu ili watu wajipatie kipato cha kusaidia familia zao?. Kipato wapate lkn sio kihivyo, Unajua kwa kipimo chao kile kilo moja ya mchele inaweza kutoa sahani sita hadi Saba za wali badala ya nne, Sasa umenunua mchele kilo moja 2000/=,Halafu uje utoe humo Kati 18,000/= hadi 21,000/=,huu si wizi jamani???. Ndio maana ukienda Rwanda na Burundi Serikali Ina monitor biashara za watu ili wapate faida halali lkn si kubwa kupita kiasi inayoumiza watu wengine kwasababu ya bei kubwa ya huduma yako, Vinginevyo na kodi nayo unawekewa kubwa pia.
[emoji41][emoji41][emoji41], Bahati mbaya sijisikii kukujibu.Acha ushamba biashara haijawahi kuwa monitored na serikali, ni market forces ndio zinafanya hiyo kazi.
Ningekuelewa ungezungumzia hali ya hewa ya Dodoma kama kikwazo kwako kuishi pale, hayo mengine unaonesha umasikini wako wa kifedha na elimu ya fedha yenyewe.
ujas kwan yypo Coed.Ungeenda ujasi kuva wali nyama buku jero Na ugali nyama buku Na wali maarage buku
Bora angekula tu walimweupe kama hakua na hela ya nyama tamuMkulungwa, unalinganisha bei ya bidhaa Dodoma na kipande kipi cha nchi. Bei ulizozitaja nikilingasha na DAR mbona ni za kawaida, mfano kilo ya mdudu kwa TZS 10,000