Maisha ya Dodoma ni Magumu sana

Maisha ya Dodoma ni Magumu sana

Nawaonea huruma watu wa chini wasio na kipato cha uhakika.
Nakuelewa sana wewe ni mtu makini ukiwa na uwezo wa kuchambua mambo muhimu namna hii basically wewe sio mtu wa hali ya chini kama ambavyo vijana wanataka tuamini
 
Sema ulikuwa umevaa kaunda nini mkuu make wagogo wanatabia ya kuona kila mtu ni mbunge

Sema mbona dom lodge hadi za buku sita zipo maeneo ya oneway na chako ni chako
Hizo za buku6 zina kunguni balaa. usimdanganye mwenzio
 
Dom kila kitu ghali.majengo hapo jion vikaroti mia 5 kidogo.mama ntilie mjin mjin hapo ni bei kwa kwenda mbele.kama huna hela kama za waheshimkwa wanaokula mwambao mabirian. In short maisha yapo juu sana dom
 
Kutokana na mzunguko wa pesa kua chini Dodoma, kwa bei hizo utakua mkoa mgumu sana kwa vijana wanaotafuta maisha.

Ndio maana bado ongezeko la vijana kukimbilia Dar liko pale pale japo serikali imeamua kuhamia huko.

Dodoma itambue kwamba serikali kuhamia huko sio kuifanya iwe bora kuliko Dar, mkoa unatakiwa kuweka mazingira rahisi ya vijana kuwekeza na kutenga maeneo maalumu ya biashara kuvuta wawekezaji wa ndani.

Kuhamasisha uwezekaji wa viwanda, bandari kavu, bonded warehouses itawavuta wengi pia.

Dodoma ina watu wengi waajiriwa, sasa ni muda wa serikali ya mkoa ku balance upande wa pili ipate wafanyabiasha wengi na mzunguko utapanda.
Ushauri mzuri kwa serikali yetu sikivu.
 
Dom kila kitu ghali.majengo hapo jion vikaroti mia 5 kidogo.mama ntilie mjin mjin hapo ni bei kwa kwenda mbele.kama huna hela kama za waheshimkwa wanaokula mwambao mabirian. In short maisha yapo juu sana dom
Umeona eenhh?!!.
 
Kutokana na mzunguko wa pesa kua chini Dodoma, kwa bei hizo utakua mkoa mgumu sana kwa vijana wanaotafuta maisha.

Ndio maana bado ongezeko la vijana kukimbilia Dar liko pale pale japo serikali imeamua kuhamia huko.

Dodoma itambue kwamba serikali kuhamia huko sio kuifanya iwe bora kuliko Dar, mkoa unatakiwa kuweka mazingira rahisi ya vijana kuwekeza na kutenga maeneo maalumu ya biashara kuvuta wawekezaji wa ndani.

Kuhamasisha uwezekaji wa viwanda, bandari kavu, bonded warehouses itawavuta wengi pia.

Dodoma ina watu wengi waajiriwa, sasa ni muda wa serikali ya mkoa ku balance upande wa pili ipate wafanyabiasha wengi na mzunguko utapanda.
Viwanda huwekwa sehemu yenye malighafi, urahisi wa watenda kazi, urahisi wa usafirishaji, urahisi wa kupata wateja.
Ni rahisi kiwanda kuwekezwa Pwani, Dsm sababu watu ni wengi ukanda hup, mzunguko pia ni mkubwa.

Dodoma pamoja na uwekezaji mkubwa wa serikali ila bado maeneo bei ni ya kawaida tofauti na maeneo ya Dsm
 
Dodoma ya Viongozi na wabunge. Tuanzie hapo mbunge anapata mil 12 Kwa mwezi. Ikiisha anatoa nyingine.

Wabunge na mawaziri wangapi. Madereva, Kila mbunge na changudoa wake piga hesabu.

1,000,000*3= 3,000,000 kwa wiki.

Mbunge 1,000,000
Dereva 500,000
Malaya 300,000

Jumla 1800000 kwa siku mbili.

Wewe mwalimu Kwa mwezi 7,333,000 na Makati kibao inabaki 200,000

Bajeti yako ni..
UNGA kilo Moja 2000
Dagaa was 500
Mkaa was 1000
.
Mafuta 1200
Nyanya 500
Kitunguu 200

Sometimes unajifanya matawi
Karoti 300
Hoho 200

Baadae unasogelea pub k-vant 5000

Mwl kwa siku chakula ni 10900/- x 30= 327,000

Chai piga 120,000 Kwa mwezi.

Dinner unapiga ndefu. Sometimes mchana unapoga desh siku za kaziukijifanya bize au boarding school anaenda kuonja.

Jamani deni kwa mangi, benk advance, kikoba na pesa fasta kwenye nmb Mobile. Deni ni refu.

Jamani madeni ni marefu mno
 
Oneway guest gani ya buku sita,, Kitemba ?
Sema ulikuwa umevaa kaunda nini mkuu make wagogo wanatabia ya kuona kila mtu ni mbunge

Sema mbona dom lodge hadi za buku sita zipo maeneo ya oneway na chako ni chako
 
kwenye chakula hpo ni nafuu sana MUSOMA ndio kuna balaa bei juu kila kitu
Wakuu habari za jioni? Wiki hii Nilikuwa DODOMA kwa shughuli za Kiofisi,nimependa jinsi jiji la Dodoma linavyokua kwa kasi,Lakini hali ya maisha inaonekana ni ngumu Sana kuliko Dar es salaam.

Nilitafuta guest house, bodabo whyda akaniambia kuwa vyumba vya bei ya chini ni 20,000/=, nikashangaa Sana kwasababu niliwahi kwenda DSM na nikafanikiwa kupata gesti ya 10,000/=, nzuri tu. Chakula kwa Dodoma ndo usiseme,kipimo changu cha kwanza ni kwa Mama ntilie, maana watu wengi wa hali ya chini huenda huko kununua chakula;

Aise kina bei hatari [emoji134][emoji134][emoji134], Kuna sehemu niliambiwa wali nyama 3,000/=,Ugali nyama 3000/=,Wali samaki 3500/=, Ugari Maharage 2000/= na wali Maharage 2500/=, Sehemu nyingi za Mama Ntilie bei ni hizo.Nilipolala ni karibu na Holly Cross Center inayomilikiwa b

Na Kanisa Katoliki Jimbo kuu la DODOMA,Aise hapo kitimoto ya kukaanga kilo ni 10,000/=,Ya kubanikwa ni 12,000/=,Ndizi moja 500/=. Ugari kuku robo 6000/=. Na vyakula vingine bei zipo juu pia.Haya nikasema Niulize Vipi kuhusu nyumba za kupanga?; Kheee!, Bei nilizotajiwa nilishangaa Sana.Twende Bodaboda aisee Hivi kweli kutoka Holly Cross Center hadi Mkonze mtu anaanza na 6000/=baada ya kuvutana Sana ndo anaishia kwenye 4000/=.

Sijauliza viwanja.Nastaajabu kwasababu miaka ya Nyuma DODOMA haikuwa ghali kiasi hicho.Nilijiuliza swali moja kuwa DODOMA ni wafugaji wazuri wa mifugo sasa Kwanini bei ya Nyama ya ng'ombe ipo juu hivi?? Mnazidiwa na Morogoro ambao hawafugi km ninyi kweli?

Serikali ichunguze Hali hii, kwasababu inachangia kwa kiasi kikubwa sana Watumishi wa wizara waliokuwa wamehamishiwa DODOMA kutoka Dar kutamani kurudi Dar kuliko kuishi DODOMA.Tafadhari Serikali inusuru Hali hii.
 
Back
Top Bottom