Maisha ya Dodoma ni Magumu sana

Maisha ya Dodoma ni Magumu sana

Tunaoishi dodoma na familia zetu zinaenda chooni bila shida ni wanaume kweli kweli mtupe Heshima zetu,

Huku chumba kibaya kibaya tu ili mradi kiwe na umeme na maji ni elfu 50,

Chumba angalau, angalau Single tu elfu 60k au 70k kwa mwezi,
Self kuanzia 80k mpaka 100k huku bili ya maji ikikuelemea,
Ukitaka master, Yenye chumba kimoja, sebure na choo ndani jiandae na kuanzia 150k mpaka 180k kwa mwezi huku bili ya umeme,maji na ya kodi ya jengo ikikuelemea,

Ukitaka Apartment, au Nyumba nzima ya kuanzia vyumba viwili au vitatu yenye sebure, choo ndani, master room moja na jiko jiandae na kuanzia 350K mpaka 500k kwa mwezi.

Usisahau na malipo ya dalali ya mwezi mmoja.

Ukifanikiwa kuishi dodoma mwaka bila shida yeyote basi hakuna mkoa utashindwa kuishi hapa Tanzania.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app

Kukubalika na heshima ya kweli utapewa na hao unaowafanikisha kwenda chooni tu mkuu. maana kuna wengine hizo gharama ulizotaja hazitoshi hata kumtunza mchepuko wake achilia mbali familia yake na ipo hapo hapo dodoma
 
Tunaoishi dodoma na familia zetu zinaenda chooni bila shida ni wanaume kweli kweli mtupe Heshima zetu,

Huku chumba kibaya kibaya tu ili mradi kiwe na umeme na maji ni elfu 50,

Chumba angalau, angalau Single tu elfu 60k au 70k kwa mwezi,
Self kuanzia 80k mpaka 100k huku bili ya maji ikikuelemea,
Ukitaka master, Yenye chumba kimoja, sebure na choo ndani jiandae na kuanzia 150k mpaka 180k kwa mwezi huku bili ya umeme,maji na ya kodi ya jengo ikikuelemea,

Ukitaka Apartment, au Nyumba nzima ya kuanzia vyumba viwili au vitatu yenye sebure, choo ndani, master room moja na jiko jiandae na kuanzia 350K mpaka 500k kwa mwezi.

Usisahau na malipo ya dalali ya mwezi mmoja.

Ukifanikiwa kuishi dodoma mwaka bila shida yeyote basi hakuna mkoa utashindwa kuishi hapa Tanzania.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaizungumzia Dodoma mjini? Au hata wilayan maisha yapo hivo
 
Dodoma ni kawaida sio kipindi hiki wala nini.
Kila kitu dodoma kipo juu. Dodoma maisha yake yapo juu wenyewe washazoea wanaona kawaida. Unayetoka mkoani lazima uone dodoma pagumu
 
mkuu hakikisha una connection maeneo mengi unayoenda

Hawa wanaochangia uzi wako ndo connection hao ni watu sio robot

Kuna mtu anasema mbona vyumba vya buku vipo uyo ni connection tiare usiogope kutafuta watu

Mimi nna experience na ili hii forum idumu milele imenisaidia mengi

Ila matapeli wapo pia
 
Tunaoishi dodoma na familia zetu zinaenda chooni bila shida ni wanaume kweli kweli mtupe Heshima zetu,

Huku chumba kibaya kibaya tu ili mradi kiwe na umeme na maji ni elfu 50,

Chumba angalau, angalau Single tu elfu 60k au 70k kwa mwezi,
Self kuanzia 80k mpaka 100k huku bili ya maji ikikuelemea,
Ukitaka master, Yenye chumba kimoja, sebure na choo ndani jiandae na kuanzia 150k mpaka 180k kwa mwezi huku bili ya umeme,maji na ya kodi ya jengo ikikuelemea,

Ukitaka Apartment, au Nyumba nzima ya kuanzia vyumba viwili au vitatu yenye sebure, choo ndani, master room moja na jiko jiandae na kuanzia 350K mpaka 500k kwa mwezi.

Usisahau na malipo ya dalali ya mwezi mmoja.

Ukifanikiwa kuishi dodoma mwaka bila shida yeyote basi hakuna mkoa utashindwa kuishi hapa Tanzania.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna mji aghali kama Mtwara? Na maisha yanaendelea
 
Dodoma ni kawaida sio kipindi hiki wala nini.
Kila kitu dodoma kipo juu. Dodoma maisha yake yapo juu wenyewe washazoea wanaona kawaida. Unayetoka mkoani lazima uone dodoma pagumu

Nauliza kuna mtu ameshawahi kwenda Mji wa Mtwara? Ukienda kule utatoka mbio. Likewise, mji wa Arusha nao uko tight sana
 
Wakuu hbr za jioni??,Wiki hii Nilikuwa DODOMA kwa shughuli za Kiofisi,nimependa jinsi jiji la Dodoma linavyokua kwa kasi,Lakini hali ya maisha inaonekana ni ngumu Sana kuliko Dar es salaam.

Nilitafuta guest house,bodabo whyda akaniambia kuwa vyumba vya bei ya chini ni 20,000/=,nikashangaa Sana kwasababu niliwahi kwenda DSM na nikafanikiwa kupata gesti ya 10,000/=, nzuri tu.Chakula kwa Dodoma ndo usiseme,kipimo changu cha kwanza ni kwa Mama ntilie, maana watu wengi wa hali ya chini huenda huko kununua chakula;

Aise kina bei hatari , Kuna sehemu niliambiwa wali nyama 3,000/=,Ugali nyama 3000/=,Wali samaki 3500/=, Ugari Maharage 2000/= na wali Maharage 2500/=, Sehemu nyingi za Mama Ntilie bei ni hizo.Nilipolala ni karibu na Holly Cross Center inayomilikiwa b

Na Kanisa Katoliki Jimbo kuu la DODOMA,Aise hapo kitimoto ya kukaanga kilo ni 10,000/=,Ya kubanikwa ni 12,000/=,Ndizi moja 500/=. Ugari kuku robo 6000/=.Na vyakula vingine bei zipo juu pia.Haya nikasema Niulize Vipi kuhusu nyumba za kupanga?;Kheee!!!,Bei nilizotajiwa nilishangaa Sana.Twende Bodaboda aisee Hivi kweli kutoka Holly Cross Center hadi Mkonze mtu anaanza na 6000/=baada ya kuvutana Sana ndo anaishia kwenye 4000/=.

Sijauliza viwanja.Nastaajabu kwasababu miaka ya Nyuma DODOMA haikuwa ghali kiasi hicho.Nilijiuliza swali moja kuwa DODOMA ni wafugaji wazuri wa mifugo sasa Kwanini bei ya Nyama ya ng'ombe ipo juu hivi?? Mnazidiwa na Morogoro ambao hawafugi km ninyi kweli??!!!.

Serikali ichunguze Hali hii, kwasababu inachangia kwa kiasi kikubwa sana Watumishi wa wizara waliokuwa wamehamishiwa DODOMA kutoka Dar kutamani kurudi Dar kuliko kuishi DODOMA.Tafadhari Serikali inusuru Hali hii.
Kama unasema Dom maisha yapo juu,nenda Arusha uone balaa,
 
Dodoma ni kawaida sio kipindi hiki wala nini.
Kila kitu dodoma kipo juu. Dodoma maisha yake yapo juu wenyewe washazoea wanaona kawaida. Unayetoka mkoani lazima uone dodoma pagumu
Ukiacha mkoa wa Arusha, mtu yeyote akija Dodoma ataona kila kitu ghali. Hapa tunawaondoa wale ndugu zetu wa Masaki na maikocheni. 😀

Alihamia rafiki yangu kutoka iringa kila kitu anashangaa, anashangaa kwenda sokoni na laki kununua mahitaji ya wiki kadhaa kwa mtu mwenye familia ndogo, anasema Iringa ningeenda na elfu 30 ningepata mazagazaga yote ya wiki kadhaa.
 
Mara ya kwanza Dodoma walinifanya mjjnga sana.. nimefika mjini nikachukua Bajaj jamaa wa Baja akanipeleka Bahi Road nikafikia Lodge ya Kazimoto nikalala siku tatu 90,000 ikanitoka baadae nikaona ujinga nikajichanganya mtaani nikapata room ya 80000 kwa mwezi najipinda nikalipa miezi mitatu. Tokea hapo najua chochoro zote za Dodoma. Mpaka mademu najipangia tu. Mimi ni mtumizi mkubwa wa dada zetu wa Bar.
 
Back
Top Bottom