Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 61,635
- 74,493
Hapo Kuna Bei Elekezi Mpaka Bei KikomoSawa Mkuu,next time nitakwenda hapo.
Hapo Kuna Bei Elekezi Mpaka Bei KikomoSawa Mkuu,next time nitakwenda hapo.
Manzese hapo tip top zipo za kumwaga niliwahi mtoa ndugu yangu mmoja ndio guest zake hizo akitoka mkoa kwenda kununua bidhaa kariakoo wafanyabiashara ndio wanazijua guest za bei rahisi miji mingi..Dar wapi ambako guest ni 10,000? Acha zako
gest za elf 10 labda kule kama unaenda gadaf.pale karib na kidia tumefika picha lianaanza maj hayatok alal elfu 15 rum.wal wa buku labda hapa karib na bunge kama unatokea sabasabaUlienda Dom ipi?
Mbona gesti za 10000 zipo tena karibu na mjini na wali wa buku jero upo pia
Hayo ndo matumizi ya pesa zako vile umejipangiaNdio nakomaa navyo mkuu, nikipata hela inaishia kwenye kodi, na uchakataji basi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kule hapan kwa kweli, ni hovyooooh tyuuh khaaah.Dodoma hakufai pia jua Kali Hali ya hewa sio nzuri na hyo mimaji kuwa na chumvi nyingi ukikaa huko inabidi uwe unafua nguo mkoa mwingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawaahTatizo moyo
Yaani Dodoma, we acha tyuuuu!!! 😜[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kule hapan kwa kweli, ni hovyooooh tyuuh khaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23], Unakwenda Iringa kufua nguo.Dodoma hakufai pia jua Kali Hali ya hewa sio nzuri na hyo mimaji kuwa na chumvi nyingi ukikaa huko inabidi uwe unafua nguo mkoa mwingine
Lkn wamezidi mno aisee, chakula chao ni bei ghali lkn kinakuwa kichache Sana, yaani mama Ntilie wa DODOMA wanapiga faida kubwa Sana,Na msosi unaisha haraka na hawa bembelezi wateja.ndio maana nikasema baadhi ya wilaya lakini bado sidhani kama zina uwezo wa kuilisha dom bila kutegemea mikoa mingine
Sawa Chifu.Hapo Kuna Bei Elekezi Mpaka Bei Kikomo
Kwa mbindeNa maisha yanaendelea
Sasa ndugu yangu Mimi mgeni ningefanyeje??.Mkuu wewe ni mgeni
Tuulize sisi wenye mkoa huu..
Hata huo msosi wengine huwa tunakula bure..
Mama ntilie wengi madem zangu nawagegeda
Only the stronger will survive
Na una bei kubwa halafu kiduchu.gest za elf 10 labda kule kama unaenda gadaf.pale karib na kidia tumefika picha lianaanza maj hayatok alal elfu 15 rum.wal wa buku labda hapa karib na bunge kama unatokea sabasaba
Ni kukomaaKwa mbinde
Mwisho nyuso zetu zitakuwa km gume gume.Ni kukomaa
Boss mbona mitaa ya holycross unayosema mim ndo nakaa apa na guest za 15000 zipo nyingi tu apa uliulizia morningstar , kuna johnson zipo nyingi tu apa mpak za 10000 ata msosi wa mamntilie wa 1500 upo au ulikua holycross sehemu ganWakuu hbr za jioni??,Wiki hii Nilikuwa DODOMA kwa shughuli za Kiofisi,nimependa jinsi jiji la Dodoma linavyokua kwa kasi,Lakini hali ya maisha inaonekana ni ngumu Sana kuliko Dar es salaam.
Nilitafuta guest house,bodabo whyda akaniambia kuwa vyumba vya bei ya chini ni 20,000/=,nikashangaa Sana kwasababu niliwahi kwenda DSM na nikafanikiwa kupata gesti ya 10,000/=, nzuri tu.Chakula kwa Dodoma ndo usiseme,kipimo changu cha kwanza ni kwa Mama ntilie, maana watu wengi wa hali ya chini huenda huko kununua chakula;
Aise kina bei hatari [emoji134][emoji134][emoji134], Kuna sehemu niliambiwa wali nyama 3,000/=,Ugali nyama 3000/=,Wali samaki 3500/=, Ugari Maharage 2000/= na wali Maharage 2500/=, Sehemu nyingi za Mama Ntilie bei ni hizo.Nilipolala ni karibu na Holly Cross Center inayomilikiwa b
Na Kanisa Katoliki Jimbo kuu la DODOMA,Aise hapo kitimoto ya kukaanga kilo ni 10,000/=,Ya kubanikwa ni 12,000/=,Ndizi moja 500/=. Ugari kuku robo 6000/=.Na vyakula vingine bei zipo juu pia.Haya nikasema Niulize Vipi kuhusu nyumba za kupanga?;Kheee!!!,Bei nilizotajiwa nilishangaa Sana.Twende Bodaboda aisee Hivi kweli kutoka Holly Cross Center hadi Mkonze mtu anaanza na 6000/=baada ya kuvutana Sana ndo anaishia kwenye 4000/=.
Sijauliza viwanja.Nastaajabu kwasababu miaka ya Nyuma DODOMA haikuwa ghali kiasi hicho.Nilijiuliza swali moja kuwa DODOMA ni wafugaji wazuri wa mifugo sasa Kwanini bei ya Nyama ya ng'ombe ipo juu hivi?? Mnazidiwa na Morogoro ambao hawafugi km ninyi kweli??!!!.
Serikali ichunguze Hali hii, kwasababu inachangia kwa kiasi kikubwa sana Watumishi wa wizara waliokuwa wamehamishiwa DODOMA kutoka Dar kutamani kurudi Dar kuliko kuishi DODOMA.Tafadhari Serikali inusuru Hali hii.