Tunaoishi dodoma na familia zetu zinaenda chooni bila shida ni wanaume kweli kweli mtupe Heshima zetu,
Huku chumba kibaya kibaya tu ili mradi kiwe na umeme na maji ni elfu 50,
Chumba angalau, angalau Single tu elfu 60k au 70k kwa mwezi,
Self kuanzia 80k mpaka 100k huku bili ya maji ikikuelemea,
Ukitaka master, Yenye chumba kimoja, sebure na choo ndani jiandae na kuanzia 150k mpaka 180k kwa mwezi huku bili ya umeme,maji na ya kodi ya jengo ikikuelemea,
Ukitaka Apartment, au Nyumba nzima ya kuanzia vyumba viwili au vitatu yenye sebure, choo ndani, master room moja na jiko jiandae na kuanzia 350K mpaka 500k kwa mwezi.
Usisahau na malipo ya dalali ya mwezi mmoja.
Ukifanikiwa kuishi dodoma mwaka bila shida yeyote basi hakuna mkoa utashindwa kuishi hapa Tanzania.
Cc Zero IQ
Sent using
Jamii Forums mobile app