Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
- Thread starter
- #141
Akikujibu naomba nitag
Akikujibu naomba nitag
[emoji23][emoji23]Hebu nikumbushe ilikuwa miaka gani vile??Ni kama 'unazingua'. Jamaa kavu kweli! Hii walikuwa waongea mabitoz waliokuwa wanavaa 'pekosi' na 'diganza'.
Ule mji ni jangwa sana hata haupendezi,Singida pangevutia.Makao makuu walibugi pale,,singida ndo ilitakiwa kuwa mji mkuu wa Tanzania sio pale😂😂
mbeya kilo buku 3 wilaya ya rungweMkulungwa, unalinganisha bei ya bidhaa Dodoma na kipande kipi cha nchi. Bei ulizozitaja nikilingasha na DAR mbona ni za kawaida, mfano kilo ya mdudu kwa TZS 10,000
😃Hata sipendi kuja mjini, shida tu ndo zilinileta.
Mwaka siwezi kukumbuka Kwa kweli Kiswahili huzaliwa, haishi na kufa kama neno 'Jau' Iko siku litakufa.[emoji23][emoji23]Hebu nikumbushe ilikuwa miaka gani vile??
Hii ndiyo sababu halisi, ukame pale ndio tatizo.Iringa imekaa pazuri, ukienda kusini wanalima, ukienda moro wanalima na bado tu yenyewe na wilaya zake kuna kilimo. Ukija dodoma pakame inabidi waagize sana sana japo kuna wilaya zinalima, labda cha kufaidi ni nyama ya mbuzi, the rest ni ghali
Hahahaha mkoloni hapendi jangwaNdo maana wananchi wake wanakuja kuombaomba town huku,dodoma pagumu kwa nzia zamani,mkoloni na tamaa zake zote ,dodoma aliparuka hakukaa pale
Sasa watu wananibishia wakati ukweli wenyewe upo wazi.Ule mji ni jangwa sana hata haupendezi,Singida pangevutia.
Dom vitu ni ghali toka zamani, hasa vyakula masokoni nadhani ukame unachangia. Lodge na hotel za maana bado siyo nyingi kwa hiyo monopoly inachangia bei kuwa juu kiasi.
Uliza mkuu na ufatilie maeneo Yapo kuna yanayouzwa na makampuni na yanayouzwa na serekali nenda jiji pale utaunganishwa na afisa ardhiWeee!!!, Nitajie niende nikanunue nijenge kwaajili ya kupangisha sio kuishi.
Sawa Mama mkubwa.Mwaka siwezi kukumbuka Kwa kweli Kiswahili huzaliwa, haishi na kufa kama neno 'Jau' Iko siku litakufa.
Ukute maeneo unayosema ni bei ndogo labda yapo nje ya mji.Uliza mkuu na ufatilie maeneo Yapo kuna yanayouzwa na makampuni na yanayouzwa na serekali nenda jiji pale utaunganishwa na afisa ardhi
magumu au ghaliWakuu hbr za jioni??,Wiki hii Nilikuwa DODOMA kwa shughuli za Kiofisi,nimependa jinsi jiji la Dodoma linavyokua kwa kasi,Lakini hali ya maisha inaonekana ni ngumu Sana kuliko Dar es salaam.
Nilitafuta guest house,bodabo whyda akaniambia kuwa vyumba vya bei ya chini ni 20,000/=,nikashangaa Sana kwasababu niliwahi kwenda DSM na nikafanikiwa kupata gesti ya 10,000/=, nzuri tu.Chakula kwa Dodoma ndo usiseme,kipimo changu cha kwanza ni kwa Mama ntilie, maana watu wengi wa hali ya chini huenda huko kununua chakula;
Aise kina bei hatari [emoji134][emoji134][emoji134], Kuna sehemu niliambiwa wali nyama 3,000/=,Ugali nyama 3000/=,Wali samaki 3500/=, Ugari Maharage 2000/= na wali Maharage 2500/=, Sehemu nyingi za Mama Ntilie bei ni hizo.Nilipolala ni karibu na Holly Cross Center inayomilikiwa b
Na Kanisa Katoliki Jimbo kuu la DODOMA,Aise hapo kitimoto ya kukaanga kilo ni 10,000/=,Ya kubanikwa ni 12,000/=,Ndizi moja 500/=. Ugari kuku robo 6000/=.Na vyakula vingine bei zipo juu pia.Haya nikasema Niulize Vipi kuhusu nyumba za kupanga?;Kheee!!!,Bei nilizotajiwa nilishangaa Sana.Twende Bodaboda aisee Hivi kweli kutoka Holly Cross Center hadi Mkonze mtu anaanza na 6000/=baada ya kuvutana Sana ndo anaishia kwenye 4000/=.
Sijauliza viwanja.Nastaajabu kwasababu miaka ya Nyuma DODOMA haikuwa ghali kiasi hicho.Nilijiuliza swali moja kuwa DODOMA ni wafugaji wazuri wa mifugo sasa Kwanini bei ya Nyama ya ng'ombe ipo juu hivi?? Mnazidiwa na Morogoro ambao hawafugi km ninyi kweli??!!!.
Serikali ichunguze Hali hii, kwasababu inachangia kwa kiasi kikubwa sana Watumishi wa wizara waliokuwa wamehamishiwa DODOMA kutoka Dar kutamani kurudi Dar kuliko kuishi DODOMA.Tafadhari Serikali inusuru Hali hii.
Apana ndomana nakwambia nenda jiji pale usje ukaenda kwa madalali uchwaraUkute maeneo unayosema ni bei ndogo labda yapo nje ya mji.
Hapana ndege haina fixed price unaweza siku unanunua ticket labda bei ilikuwa laki moja ila kila inavykuwa inajaa viti vinachukuliwa bei inapanda unaweza kujikuta umekaa na mtu yeye kanunua laki wewe laki 3. wanakuwa wanaweka class zikiwa booking nyingi bei inabadilika. Nadhani kama unaona siku za Xmass stand ya ma bus abiria wakiwa wengi demand kubwa watu wanapigwa bei za juu japo serikali huwa inaingilia lakini wapi mtu yuko tayari kutoa pesa asafiri hiyo ndio maana halisi ya demand and supply. Hata hiz hotel kubwa zikiwa vyumba vinachukuliwa haraka na wakiona wateja wengi bei zinapanda kila siku chumba cha pili labda kalipa dola 100 wewe umelipa 200. Demand and supplyKwani kwenye ndege nauli si tayari walishazipanga??.
Ila kuku wa chako Ni chako watamu balaaa na nyama mnadani tamu Sana sijui wanachomaje maana hapa unguja hakuna wachomaji nyama wengi wote wanakaanga kwenye mafuta.Dodoma ni kawaida sio kipindi hiki wala nini.
Kila kitu dodoma kipo juu. Dodoma maisha yake yapo juu wenyewe washazoea wanaona kawaida. Unayetoka mkoani lazima uone dodoma pagumu
Ukifika mji usioujua kwanza uliza wenyeji ili uelekezwe vijiwe vinavofanana na hadhi yako,sio unavamia tu halafu ukipigwa unaanza kulialia,hivyo vijiwe vya bei poa mbona pale Dodoma viko vingi sana...Wakuu hbr za jioni??,Wiki hii Nilikuwa DODOMA kwa shughuli za Kiofisi,nimependa jinsi jiji la Dodoma linavyokua kwa kasi,Lakini hali ya maisha inaonekana ni ngumu Sana kuliko Dar es salaam.
Nilitafuta guest house,bodabo whyda akaniambia kuwa vyumba vya bei ya chini ni 20,000/=,nikashangaa Sana kwasababu niliwahi kwenda DSM na nikafanikiwa kupata gesti ya 10,000/=, nzuri tu.Chakula kwa Dodoma ndo usiseme,kipimo changu cha kwanza ni kwa Mama ntilie, maana watu wengi wa hali ya chini huenda huko kununua chakula;
Aise kina bei hatari [emoji134][emoji134][emoji134], Kuna sehemu niliambiwa wali nyama 3,000/=,Ugali nyama 3000/=,Wali samaki 3500/=, Ugari Maharage 2000/= na wali Maharage 2500/=, Sehemu nyingi za Mama Ntilie bei ni hizo.Nilipolala ni karibu na Holly Cross Center inayomilikiwa b
Na Kanisa Katoliki Jimbo kuu la DODOMA,Aise hapo kitimoto ya kukaanga kilo ni 10,000/=,Ya kubanikwa ni 12,000/=,Ndizi moja 500/=. Ugari kuku robo 6000/=.Na vyakula vingine bei zipo juu pia.Haya nikasema Niulize Vipi kuhusu nyumba za kupanga?;Kheee!!!,Bei nilizotajiwa nilishangaa Sana.Twende Bodaboda aisee Hivi kweli kutoka Holly Cross Center hadi Mkonze mtu anaanza na 6000/=baada ya kuvutana Sana ndo anaishia kwenye 4000/=.
Sijauliza viwanja.Nastaajabu kwasababu miaka ya Nyuma DODOMA haikuwa ghali kiasi hicho.Nilijiuliza swali moja kuwa DODOMA ni wafugaji wazuri wa mifugo sasa Kwanini bei ya Nyama ya ng'ombe ipo juu hivi?? Mnazidiwa na Morogoro ambao hawafugi km ninyi kweli??!!!.
Serikali ichunguze Hali hii, kwasababu inachangia kwa kiasi kikubwa sana Watumishi wa wizara waliokuwa wamehamishiwa DODOMA kutoka Dar kutamani kurudi Dar kuliko kuishi DODOMA.Tafadhari Serikali inusuru Hali hii.
Ndo maana kumbe? Lol [emoji23][emoji23][emoji23]Tunaoishi dodoma na familia zetu zinaenda chooni bila shida ni wanaume kweli kweli mtupe Heshima zetu,
Huku chumba kibaya kibaya tu ili mradi kiwe na umeme na maji ni elfu 50,
Chumba angalau, angalau Single tu elfu 60k au 70k kwa mwezi,
Self kuanzia 80k mpaka 100k huku bili ya maji ikikuelemea,
Ukitaka master, Yenye chumba kimoja, sebure na choo ndani jiandae na kuanzia 150k mpaka 180k kwa mwezi huku bili ya umeme,maji na ya kodi ya jengo ikikuelemea,
Ukitaka Apartment, au Nyumba nzima ya kuanzia vyumba viwili au vitatu yenye sebure, choo ndani, master room moja na jiko jiandae na kuanzia 350K mpaka 500k kwa mwezi.
Usisahau na malipo ya dalali ya mwezi mmoja.
Ukifanikiwa kuishi dodoma mwaka bila shida yeyote basi hakuna mkoa utashindwa kuishi hapa Tanzania.
Cc Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app