Maisha ya dada zetu wakiwa vyuoni

Maisha ya dada zetu wakiwa vyuoni

mavazi tu kaka angu yanakutoa roho? Huko tunapoelekea na utandawzi huu si itakuwa htari hutoki nje kabisa
si mavazi tu dada angu kuna mengi na baadhi nimeyaorodesha ikiwemo ya hizi tamaa za muda mfupi.

Kuna bwana mmoja alimpenda dada mmoja. Kiuwezo jamaa anazo na alipomwona huyu dada akataka wawe na long relationship maana bado alikuwa hajaoa. Kamrudisha tu chuo na kumwachia vijisent kidogo dada kushuka tu kamtumia shoga yake eti amepata buzi na kwa siku ya kwanza tu bila hata ku do naye kapewa hela ya matumizi. Alivyo zuzu akaituma ile sms kwa yule jamaa badala ya kwa shoga yake. Jamaa akampigia akamuuliza inakuwaje kumuita buzi! Akaanza oooooooh sorry haikuwa dhamira yake mara nisamehe.........jamaa akamtosa.

Hahahahahahhhhh umenikumbusha mbali!!!!!!!!!!!!!!

mi mwenzenu nina tatizo moja na wanachuo.
hivi kwaninini, utakuta dogo kamaliza kidato ch sita akiwa na maadili mazuri tu kutoka kwa wazazi na walimu wake wa shule but akifika tu chuo within one to two month anakuwa kama si yule aliyekuwa akiambiwa mambo utamsikia akisema mambo kwa yesu?
hiyo ni moja, mbili kwanini wanapenda kuishi maisha ambayo siyo yao? nina maana kuwa wanapenda maisha ya juu ambayo hata ukoo wake hawajawahi kuishi maisha hayo.
wanakula chips kuku, mbuzi, kiti moto na mazagazaga kibao ya gharama tena maeneo ambayo ni expensive sana kila siku, pia wanataka kuvaa expensive kuwazidi hata mastaa wa amerika na ulaya lakini ukuwaona baada ya kumaliza masomo yao hupauka kama mhogo wa kiangazi majumbani mwao tena kuliko hata hawajaanza masomo ya chuo.
nisaidieni wadau, hivi hii tabia ya wadada zetu kupenda maisha ya juu wakiwa vyuon inatokana na nini? na kwaninim wanafanya hivyo haali wakijua wanatoka kenye familia za namna gani?

sababu ni hizi ni hizi:
1.chuo hakuna walimu tofauti na huko katika elimu ya chini.
2.wengi wametokea kwenye pango la giza hivyo mwanga kwao
ajabu na kile wanachokiona kwenye mwanga ni kigeni kwa nini
wasifanye wasichokijua au unadhanani watakijua wapi na ukizinga-
tia wakitoka hapo ni kwenye ndoa na majukumu ya kifamilia.
3.wanajiuza kwasababu ya kanuni ya ''ukitaka kujua kitu ni lazima
ujaribu kilivyo'' na najua one day wataacha tu.
4. labda baada ya kufika chuo wamegundua Mugu hayupo na kile
ambacho wazazi wao wamewazuilia ni kizuri ....ok ni hayo tu kwa leo.

hawa pia ndiyo mawaziri wetu wa baadaye ambao wanajifunza
kwa sasa kuwachuna watu pale mjengoni

wengi wao wanakuwa wametoka maisha ya kubanwa sana na wengine ni kujiona huko ndiko kuendana na wakati. lakini mostly ni kutokan na kuwa na kipato kidogo na hivyo kushindwa kukubaliana na hali hiyo so ili aweze kumeet mahitaji yake must be awe na muwezeshaji

Chuma, naunga mkono hoja yako. Ni kweli uhuru unachangia sana. Mabinti wengi wakiwa sekondari huwa hawapati nafasi ya kufanya ngono kutokana na kubanwa na wazazi au walezi wao lakini wakishatinga vyuoni ni 'full kujiachia'! Na kwa wale waliotoka girls' schools ni mbaya zaidi. Kwa upande wa wavulana pia hali ni hiyo hiyo.
Hilo nmelifanyia utafiti....hapo vyuoni mara nyingi ndipo na uchumba unakolea zaidi.
Kwa mitazamo ya kimaisha kua wote ni wasomi...so maisha watayaweza...hivyo uchovu utakua ndio bye bye!
Mitazamo mingine haina usahihi.
Ndio ndoa zenye mashaka hizo baada ya kuanza maisha mtaani.
Wanasahau maisha ya vyuoni ni tafauti sana na yale maisha ya mtaani.
Hilo watapoligundua watabadilika...japo wachache hilo wameligundua...lol.

Mi mwenzenu nina tatizo moja na wanachuo.

Hivi kwanini, utakuta dogo kamaliza kidato cha sita akiwa na maadili mazuri tu kutoka kwa wazazi na walimu wake wa shule but akifika tu chuo within one to two month anakuwa kama si yule aliyekuwa akiambiwa mambo utamsikia akisema mambo kwa yesu?
hiyo ni moja, mbili kwanini wanapenda kuishi maisha ambayo siyo yao? Nina maana kuwa wanapenda maisha ya juu ambayo hata ukoo wake hawajawahi kuishi maisha hayo.

Wanakula chips kuku, mbuzi, kiti moto na mazagazaga kibao ya gharama tena maeneo ambayo ni expensive sana kila siku, pia wanataka kuvaa expensive kuwazidi hata mastaa wa amerika na ulaya lakini ukuwaona baada ya kumaliza masomo yao hupauka kama mhogo wa kiangazi majumbani mwao tena kuliko hata hawajaanza masomo ya chuo.

Nisaidieni wadau, hivi hii tabia ya wadada zetu kupenda maisha ya juu wakiwa vyuoni inatokana na nini? Na kwanini wanafanya hivyo hali wakijua wanatoka kwenye familia za namna gani?

Mkuu umenikumbusha miaka ile pale UDSM kulikuwa na mambo ya "KCC"=kima cha chini. ha ha ha haaaa LOL!!

Mi mwenzenu nina tatizo moja na wanachuo.

Hivi kwanini, utakuta dogo kamaliza kidato cha sita akiwa na maadili mazuri tu kutoka kwa wazazi na walimu wake wa shule but akifika tu chuo within one to two month anakuwa kama si yule aliyekuwa akiambiwa mambo utamsikia akisema mambo kwa yesu?
hiyo ni moja, mbili kwanini wanapenda kuishi maisha ambayo siyo yao? Nina maana kuwa wanapenda maisha ya juu ambayo hata ukoo wake hawajawahi kuishi maisha hayo.

Wanakula chips kuku, mbuzi, kiti moto na mazagazaga kibao ya gharama tena maeneo ambayo ni expensive sana kila siku, pia wanataka kuvaa expensive kuwazidi hata mastaa wa amerika na ulaya lakini ukuwaona baada ya kumaliza masomo yao hupauka kama mhogo wa kiangazi majumbani mwao tena kuliko hata hawajaanza masomo ya chuo.

Nisaidieni wadau, hivi hii tabia ya wadada zetu kupenda maisha ya juu wakiwa vyuoni inatokana na nini? Na kwanini wanafanya hivyo hali wakijua wanatoka kwenye familia za namna gani?

haya mambo SUA yalikuwa machache, nahsi vyuo vingine hamkuwa bize

Hii ni kweli kabisa kuna mzee mmoja Tumaini University Iringa alidongoka kwa BP alikwenda kumtembelea mwanae chuo kakuta ana ungo mbili ya DSTV na nyingine sijui gani wakati father yeye hata TV home (Tosamaganga) hana dogo ana hometheatre na mavitu kibao alishangaa mzee wa watu walimuwahisha tu hosp.

Kweli umeongea kweli ndugu yangu wana mambo hawa vijana wa siku hizi sijui kuna nini huko

Tena hao vijana na majimama kuliko bibi zao mbona tafrani ....... BUT what does this potray?? MAADILI YAMEPOROMOKA... Je tutarudi vipi??

Mi mwenzenu nina tatizo moja na wanachuo.

Hivi kwanini, utakuta dogo kamaliza kidato cha sita akiwa na maadili mazuri tu kutoka kwa wazazi na walimu wake wa shule but akifika tu chuo within one to two month anakuwa kama si yule aliyekuwa akiambiwa mambo utamsikia akisema mambo kwa yesu?
hiyo ni moja, mbili kwanini wanapenda kuishi maisha ambayo siyo yao? Nina maana kuwa wanapenda maisha ya juu ambayo hata ukoo wake hawajawahi kuishi maisha hayo.

Wanakula chips kuku, mbuzi, kiti moto na mazagazaga kibao ya gharama tena maeneo ambayo ni expensive sana kila siku, pia wanataka kuvaa expensive kuwazidi hata mastaa wa amerika na ulaya lakini ukuwaona baada ya kumaliza masomo yao hupauka kama mhogo wa kiangazi majumbani mwao tena kuliko hata hawajaanza masomo ya chuo.

Nisaidieni wadau, hivi hii tabia ya wadada zetu kupenda maisha ya juu wakiwa vyuoni inatokana na nini? Na kwanini wanafanya hivyo hali wakijua wanatoka kwenye familia za namna gani?

Kwani kutoka kwenye familia masikini ndio inamaanisha mtu aisha maisha ya umasikini milele?

tofautisha kati ya kuishi ulimwenguni na dunian bas utajua tofaut kat ya chuo na maisha ya nyumban au sekondar

Mi mwenzenu nina tatizo moja na wanachuo.

Hivi kwanini, utakuta dogo kamaliza kidato cha sita akiwa na maadili mazuri tu kutoka kwa wazazi na walimu wake wa shule but akifika tu chuo within one to two month anakuwa kama si yule aliyekuwa akiambiwa mambo utamsikia akisema mambo kwa yesu?

hiyo ni moja, mbili kwanini wanapenda kuishi maisha ambayo siyo yao? Nina maana kuwa wanapenda maisha ya juu ambayo hata ukoo wake hawajawahi kuishi maisha hayo.

Wanakula chips kuku, mbuzi, kiti moto na mazagazaga kibao ya gharama tena maeneo ambayo ni expensive sana kila siku, pia wanataka kuvaa expensive kuwazidi hata mastaa wa amerika na ulaya lakini ukuwaona baada ya kumaliza masomo yao hupauka kama mhogo wa kiangazi majumbani mwao tena kuliko hata hawajaanza masomo ya chuo.

Nisaidieni wadau, hivi hii tabia ya wadada zetu kupenda maisha ya juu wakiwa vyuoni inatokana na nini? Na kwanini wanafanya hivyo hali wakijua wanatoka kwenye familia za namna gani?

mhh kumbe umeonaee? wananiboa mimi, nina mdogo wangu toka aanze chuo wanaume wamekuwa wakimchanganya akili sana na yeye umuch know umemjaa keshakunywa sumu mara mbili nusra afe kisa mamen wanamtema life style yake utazani anafanya kazi ofisi yanguvu wakati home maisha duni usipime.

Back
Top Bottom