Maisha ya dada zetu wakiwa vyuoni

Maisha ya dada zetu wakiwa vyuoni

Hii ni kweli kabisa kuna mzee mmoja Tumaini University Iringa alidongoka kwa BP alikwenda kumtembelea mwanae chuo kakuta ana ungo mbili ya DSTV na nyingine sijui gani wakati father yeye hata TV home (Tosamaganga) hana dogo ana hometheatre na mavitu kibao alishangaa mzee wa watu walimuwahisha tu hosp.

Kweli umeongea kweli ndugu yangu wana mambo hawa vijana wa siku hizi sijui kuna nini huko

Huyo mzee nae kaenda kutafuta balaa
 
yaani kama anlijuwa hilo bora aweke alama yake kabisa mapema la sivyo anaweza kinyonga au kuua kama yule mkurya alivyomuua mpenzi wake waliyekuwa na mahusiano toka form four ila baada ya kufika chuo na kukutana na jamaa wa TRA na Rav4 yake akaanza kumsema jama yake kuwa ni mlevi wa kupindukia.Wanawake bwana yaani tunoma.

Kwa toka mwanzo hakumwona kama ni mlevi mpaka amusema chuoni?

Ale kitu tena kwa saana tu kwa kuwa hata ukiwa na mimba unaweza endelea soma.
wewe UNAFANYA MATUSI sana hapo chuoni eeh?
 
nikiwa mwaka wa pili chuo hapo,kuna siku niliona kioja cha mwaka!ilikuwa ijumaa moja hivi,tulikuwa tuna mafungo na kukesha tukisali,kuabudu ekaristia(wakatoliki wanaelewa)!

.baada ya rozali kwa muda mrefu sana ,mida ya kama saa tisa hivi nikatoka pale kanisani,natembea tembea naelekea Hall five walau usingizi utoke!dah!nilikuta madada wawili na men mmoja njemba hivi ''wanafanya ngono'' kwenye mtalo.kwakweli nilimuonea huruma sana wazazi wa wale ma-binti!

Maisha halisi ya wasichana vyuoni ni huzuni
mkuu kwahiyo jamaa alikuwa ana-click mbunye mbili kwa wakati mmoja? umenitamanisha sana kiongozi!
 
2.Peer Pressure-Lawama kwa marafiki:Msichana katoka Seminari ya Visitation huko moshi (huu ni mfano) anakuja Daslam na kukaa chumba kimoja na Chausiku mtoto wa Aza-Jangwa mabaye bilicanas alikua akienda kwa kutembea na mguu anaanza kumfundisha jinsi ya kuvaa kipedo na kuvaa bra inayoshika maziwa vizuri na kwenda pedicure etc basi mtoto anaona maisha ndo hayo: Hapa namkumbuka yule aliyeingia mlimani baaada ya kupata alama za A tatu high school lakini akadisko mwaka wa kwanza-Mgongochuma wa kitivo cha sheria si mchezo!!

Hapo kwenye RED umenikumbusha mabli sana. Lazima utakuwa ulisomea Azania wewe. Mimi nilikaa pale Hosteli na unayosema ni kweli. Kuna siku patron alihesabu jembe pale jamaa alikuwa ameenda Disko pale Muhimbili aka Disco la Mortuary. Patron kufika akaambiwa jamaa akiguswa anapandwa na mashetani hivyo amwache tu apumzike, mzee wa watu akaingia line kiurahisi.
 
sasa nitaanza kuwafanyia ziara huko kwenye vyuo vyenu ili NIWACHAKAZE
 
angalia isije ikawa kinyume chake ukachakazwa wewe???

Kaka atachakazwa kweli. Watoto wamekata tamaa na maisha wanajua siku zao zimehasibiwa tu. Unajua kupitia ngono ndipo mapepo na majini huwapata watu na kuwa na maisha ya mateso mpaka vizazi vyao. Omba Mungu usimpate aliasi radhi za wazazi wake na dini yake maana laana yake itakuwa nawe. Je ni watoto wangapi waliao kuwa baba katuacha wakimuomba mungu awape hata mlo mmoja huku binti asomaye chuo kafaulu kwa maombi anachukua pesa za huyo baba na akitegemea siku moja atapata mume bora. For God sake let us get what we deserve.
 
I remember siku ya kwanza natua chuoni from ver strict family ambayo hata mchana dingi anataka akuone home, wiki ya kwanza friends wakasema twende Bills ilipofika saa nne usiku I started feeling guilty as if dingi ataniuliza natoka wapi mida hii, after sometimes nikazoea hanging out hadi morning, kitu ambacho kilinifanya nibaki grounded ni knowing my values as a woman, pia maisha mazuri yanapatikana kwa kufanya kazi na si short cuts,
2nd year nilipangiwa room na mdada matawi ya juu balaa alikuwa na kastarlet kake na mme wa mtu, binti salio kwenye simu those days 2004 laki ! Kibinadamu unawish u were u ila ukiona anapata hussle zipi for that life unaretreat mwenyewe, after finishing nilimkuta mtaani now driving my beautiful car though ya mkopo akiwa anasubiri daladala sikusimamisha gari as zikutaka ajisikie vibaya.
Kitu ambacho wadogo zetu wanamiss nowdays ni kuwa na subira na kuamini katika kujisatisfy financilaly as woman baada ya chuo ni ver ver possible, kuwa designer perfumes n classic clothes u will afford smoothly after getting ur salary so just wait, pia kujitambua thamani yao as women kuwa a man f..ng u for cash haina thamani kama ur diginity.
 
ni Ushamba tu kuona Ukifika Chuo ndio umeibuka kimaisha...!!!... Uhuru nao unachangia kwa kiasi Kikubwa MNO...!!! Vijana wa Kiume waliokuwa Boys tupu wakifika Vyuo Moto chini....na Mabinti waliokuwa Girls nao usiseme....Watu wa Geti kali nao mmhhh....!!! I still believe kuwa Asasi za KIDINI bado zinajukumu la kuwafundisha Vijana Roles zao wanapokuwa vyuoni...!!!
kusoma boys au girls cyo sababu, ni hulka tu ya mtu.
 
ni Ushamba tu kuona Ukifika Chuo ndio umeibuka kimaisha...!!!...

Uhuru nao unachangia kwa kiasi Kikubwa MNO...!!! Vijana wa Kiume waliokuwa Boys tupu wakifika Vyuo Moto chini....na Mabinti waliokuwa Girls nao usiseme....Watu wa Geti kali nao mmhhh....!!!

I still believe kuwa Asasi za KIDINI bado zinajukumu la kuwafundisha Vijana Roles zao wanapokuwa vyuoni...!!!
Mimi na wenzangu wengi tu tulikuwa boys tupu lakini chuoni hatukuwa na mambo ya ajabu. Tena kwa uzoefu wangu vijana wengi waliopita boys tupu huwa hawana matatizo kwa sababu nyingi ya shule za wavulana tupu zina uhuru mkubwa sana. Siwezi kusema sana kuhusu wasichana lakini ukilinganisha shule za wavulana na wasichana utagundua kuwa wavulana huwa wana uhuru mkubwa sana.
 
Sure!ila asikwambie m2 watoto wa marian,kifungilo,st.fransis,mazinde juu,mary goreth nk,wakifika varsity wanakuwa balaa..zile perfomance zao kali kushney wanabaki kuchomoa supp ever semester,lakn wazee wa ilboru,tbr boys,mzumbe,kibaha,pugu,azaboy,tosa n.k wanasurvive kama kawaida,wadada acheni kutia aibu vyuoni.
 
Babu zetu hawakulalamika!Tatizo lenu ni macho ya tamaa na wivu kwa mnaowaita mapedeshee!Kuna watu wanazunguka na kanga mbili kutwa ila matendo yao ni zaidi ya kutembea mtupu barabarani!Heshima ya mtu haipo kwenye nguo bali kwenye matendo!Kujisitiri wakati mwingine inatumika kuwadanganya nyie mnaodhani sketi ndefu ndo heshima!Mtapangwa mpaka mkome!I'm out!
Najiuliza kama wewe ni hao babu zetu? Pili kumbuka ni hao hao babu zetu walikuwa wanajitwaliwa wake kama 40 hivi.
 
I remember siku ya kwanza natua chuoni from ver strict family ambayo hata mchana dingi anataka akuone home, wiki ya kwanza friends wakasema twende Bills ilipofika saa nne usiku I started feeling guilty as if dingi ataniuliza natoka wapi mida hii, after sometimes nikazoea hanging out hadi morning, kitu ambacho kilinifanya nibaki grounded ni knowing my values as a woman, pia maisha mazuri yanapatikana kwa kufanya kazi na si short cuts,
2nd year nilipangiwa room na mdada matawi ya juu balaa alikuwa na kastarlet kake na mme wa mtu, binti salio kwenye simu those days 2004 laki ! Kibinadamu unawish u were u ila ukiona anapata hussle zipi for that life unaretreat mwenyewe, after finishing nilimkuta mtaani now driving my beautiful car though ya mkopo akiwa anasubiri daladala sikusimamisha gari as zikutaka ajisikie vibaya.
Kitu ambacho wadogo zetu wanamiss nowdays ni kuwa na subira na kuamini katika kujisatisfy financilaly as woman baada ya chuo ni ver ver possible, kuwa designer perfumes n classic clothes u will afford smoothly after getting ur salary so just wait, pia kujitambua thamani yao as women kuwa a man f..ng u for cash haina thamani kama ur diginity.

very well said I wish wenzio wangesoma hapa na kuelewa...
 
aise maziwa nje mapaja nje huyu mtu ana heshima mhh hiyo ni falacy kabisa haiwezi kuwa kweli kamwe
sasa uvae nusu uchi so what ?
Na kumbuka nguo ni symbolic tu hapa kuna mengi ambayo mnatakiwa kujirekebisha .
Nadhani utakuwa unatwangia beberu gitaa aisee. Huyo ndiyo lady L, kubwa la maadui lol
 
Back
Top Bottom