Maisha ya dada zetu wakiwa vyuoni

Maisha ya dada zetu wakiwa vyuoni

Ila ntaanzia wapi kuelimisha watu wazima mimi?We nenda kawachane laivu...maana mambo yenyewe mi hata sijaona nasikia tu!Labda mnawasingizia..au mnaona wivu maana hao mapedeshee na wauza sura sio nyie!

Lizzy hukitakii mema hiki kidume ha ha haaaa :lol:
 
We sasa unaanza kuchanganya mambo!Vazi na tabia wapi na wapi?Ina maana mtu akivaa tu jeans tite basi hajatulia?
sio hivyo si bora hiyo jeans ya kubana .hivi hayo maziwa wanamwachia nani kwa kweli dada zetu wanavyaa vibaya hili usikatae na wala usilitete unafikir kama mtu unajiheshimu unaweza kutuachia maziwa yako au mapaja yako kweli huu utu dada angu?mtu kama huyu ni mtete kweli au ndo umordenazation si tuko mwaka arobaini saba?
 
ni kweli usemalo i.la dada zetu badilikeni yaani hizo nguo mnazo tuvyalia kwenye lecture mhh .jiheshimuni jamani mbona mnatakakupoteza thamani na urembo wa msichana wa kitanzania.

Yaani hata kimavazi inaweza kumwakilisha heshima ya mwanamke.
Mi nimejionea. Tena ilikuwa mshikemshike siku hiyo.
Ilikuwa ni siku ya test, mdada kaingia darasani na nguo ya nguvu ya mpasuo hadi maeneo ya chini kidogo kutoka kiunoni, halafu mpasuko uko mbele. Kumbe bana ameandika na kubandika madesa mengine kwenye paja. Alijua msimamizi atakuwa ni mwalimu wao ambaye ni mwanaume, akajua hawezi kumfuata na kumshika maeneo ya mapaja kwa vile anaweza akamzushia anamdhalilisha kwa kumpapasa mapajani. Lecturer akafanya ujanja, akaita lecturer wa kike amfumanie . .. . . . . hehehehe
kila nikikumbuka naanza kucheka, binti alijuta
 
sio hivyo si bora hiyo jeans ya kubana .hivi hayo maziwa wanamwachia nani kwa kweli dada zetu wanavyaa vibaya hili usikatae na wala usilitete unafikir kama mtu unajiheshimu unaweza kutuachia maziwa yako au mapaja yako kweli huu utu dada angu?mtu kama huyu ni mtete kweli au ndo umordenazation si tuko mwaka arobaini saba?
Mpaka hapa umeninyima raha ya kuendelea kuchangia!MAVAZI NI UHURU WA MTU NA TABIA NI HULKA!Kwani akionyesha mapaja ndo ana tabia ulizotaja
 
Nakubaliana na wewe mkuu
Mavazi ni ishu kubwa kwa wadada wa vyuoni
Sijui kama wanatambua kwamba uvaaji wao ndio una-reflect hata heshima yao ktk jamii
Kama unajiheshimu huwez kukavaa jeans taiti mpaka inaonyesha hadi mistari ya sehemu za mwili ilivyo, matiti wanayapandisha juu mpaka yanaonekana kama yapo matiti matatu, then wanasingizia uhuru wa kuvaa???
Ni uhuru wa kujidhalilisha
 
Mpaka hapa umeninyima raha ya kuendelea kuchangia!MAVAZI NI UHURU WA MTU NA TABIA NI HULKA!Kwani akionyesha mapaja ndo ana tabia ulizotaja

My dia
Hapa nilichoelewa ni kwamba hata kama huna tabia za uzinzi, lakin sio heshima hata kidogo kuonyesha sehemu za mwili nje unapokuwa hadharani au kuvaa nguo zinazokuchoresha ramani ya mwili. Huo ndio mwanzo wa kuvutia wanaume wenye tamaa zao za mwili na hata kufikia kubakwa.
 
Kuna bwana mmoja alimpenda dada mmoja. Kiuwezo jamaa anazo na alipomwona huyu dada akataka wawe na long relationship maana bado alikuwa hajaoa. Kamrudisha tu chuo na kumwachia vijisent kidogo dada kushuka tu kamtumia shoga yake eti amepata buzi na kwa siku ya kwanza tu bila hata ku do naye kapewa hela ya matumizi. Alivyo zuzu akaituma ile sms kwa yule jamaa badala ya kwa shoga yake. Jamaa akampigia akamuuliza inakuwaje kumuita buzi! Akaanza oooooooh sorry haikuwa dhamira yake mara nisamehe.........jamaa akamtosa.
 
yawapasa dada zetu kwanza watambue wamefuata nini chuo.kuhusu la mwanaume YUPI abaki nae apo iko kazi maana ni mifano mingi ya rafiki zangu na jamaa wa karibu wanachanganyikiwa sana huwa wanakuwa na urafiki na wasichana toka o-level au a-level na msichana wakifika chuo msichana anakupiga chini sijui inawakumba nini dada zetu .jamani dada zangu kuweni realistic.so wajitahidi kuwa na MPENZI MMOJA WA DHATI AND IT IS POSSIBLE KWANZA AFTER ALL SIONI HAJA YA MDADA WA CHUO KUTAPATAPA HIVYO.

Kwa hiyo unahalalisha MDADA ASIYE WA CHUO KUTAPATA????
 
My dia
Hapa nilichoelewa ni kwamba hata kama huna tabia za uzinzi, lakin sio heshima hata kidogo kuonyesha sehemu za mwili nje unapokuwa hadharani au kuvaa nguo zinazokuchoresha ramani ya mwili. Huo ndio mwanzo wa kuvutia wanaume wenye tamaa zao za mwili na hata kufikia kubakwa.
Dah!Ngoja niende Kariakoo kununua heshima!
 
Kumbukumbu zangu zinaniambia ulikuwa unatafuta mchumba. Hivi ushapata eeh?
 
Habari wakuu kwa kweli nakwera sana na tabia ya dada zetu hasa hawa wa vyuoni .kwa miaka minne niliyo kaa mlimani hili jambo limenisumbua sana ,maana tulipokuwa tunaanza chuo (ntatumia udsm as my reference) wadada wengi walikuwa wastaarabu wanajiheshimu sana .lakini baada ya kukaa ka semister na kupata kabumu kuanza kutumia vimemake up tu shida inaanza mabadiliko ya ghafla .na kunatabia kubwa wanayo dada zetu ya kurubunika kirahisi kwa tamaa za muda mfupi na kupenda makubwa huu umambo sasa(the mordenazation) kwa dada zetu unawaharibu. nina ushahidi kwa hili wasichana wengi pale chuoni wana hii tabia kwangu naona ni chafu sana ya mafiga matatu/Mwanaume zaidi ya mmoja (bwana wa madesa (kisovio)/mtu wakumsaidia kwenye masomo,beedeshe kwa ajili ya pesa ya matumizi akiishiwa bumu na handsome boy kwa ajili ya mitoko na show up za kizembe) kwa kweli dada zetu wanapokuwa vyuoni they are too material ,realistic hakuna wanasahau ulimwengu hauko hivyo
kuna maswali ningeomba dada zangu niwaulize hivi
as intelectual ya kupasa ufanye huu ujinga?
Hivi ukimaliza chuo cant you earn money na wewe uwe na gari lako au ndo mwanamke ameumba kwa utegemezi sawa ,but haki sawa maanake nini?
Huu umambo sasa ni halali tucopy na kupaste kila kitu ?
DADA ZANGU JIHESHIMUNI NYIE NDO MAMA WATOTO ZETU MIAKA MICHACHE IJAYO TAIFA LETU LITAKUWA LA NAMNA GANI JAMANI !!!!!!!!!!!!!!

Na bado wakitoka hapo kuna mabwana wakuwapa kazi za post nzuri kwenye mabenki kuu, wabunge wa kuteuliwa , ukuu wa wilaya n,k hii ndiyo TZ bana
 
Unapata wapi muda wa kuchunguza wanafunzi wenzako? Nadhani masomo ya Chuo Kikuu kama "unasomwa kweli" usingepata muda wa kuwachunguza "Wadada" kiasi cha kufahamu mpaka wanafanya "ngono" na nini!

Soma kijana acha umbea - It does not help - Anywayz Karibu kijiweni uyaone zaidi ya hao
kweli tunatofautiana kwa uwelewa wa mambo .a real intellectual hawezi kwenda in your direction and perhaps wewe ni mmoja wa ninao wazungimzia na kwa taarifa yako nimesoma mlimani nanimeshagraduate na nilikuwa najua ninacho kifanya .kwasababu nipo kwnye society ile mabaya nayaona nashukuru mungu amenipa macho na busara kidogo ya kuona haya
kuwa na walau akilimya kiintellectual wewe
 
Poleni sana vijana.... lakini msiwe na hofu uto tubinti tunatoharibika ni asilimia ndogo sana ya wanawake wazuri wanaofaa kuolewa huku duniani!!! Wewe wapotezee tu jifanye kama huwaoni na kama pedeshee ndo alikupora basi mwambie huyo dada asante kwani fainali ni huku duniani.... Endelea na life lako chapa shule ufaulu vizuri!!!
nishamaliza mkuu na walasiaporwa msichana just maneno ya ushauri kama wanapotezea wanaona nonsense it is okey ujumbe unafika kwa namna moja au nyingine .
 
Mpaka hapa umeninyima raha ya kuendelea kuchangia!MAVAZI NI UHURU WA MTU NA TABIA NI HULKA!Kwani akionyesha mapaja ndo ana tabia ulizotaja
hivi mapaja yako unamuonesha nani ?kweli dada kama wewe una tabia nzuri utatuonyesha mapaja hebu dada tuthink wise ushabiki ukae pembeni
 
hawa jamaa wanaingizwa hadi ndani (hostelini mabibo) na vicheche vyao kwa kisingizio ni ndugu zao, tena wanakuja na mabmw, volkswagen, audi, other sexy cars
inauma mkuu na ukiwaonea huruma wajinga wanasema we inakuhusu nini?
 
Back
Top Bottom