Suali la msingi kwa nini mchumba wako akishaingia na kujiunga chuo mostly mnaachana kwa sababu za ajabu ajabu tu.
Kwa hiyo ndungu yangu we acha tu.
Kuna jama alikuwa anamchumba wake hall three pale.jama akamununulia jiko la mchina(stove) ili liwe linamsidia kujipikilisha badala ya kwenda cafeteria.
Siku moja akaja kumwona mchumba wake akakuta jiko lake linamkaangia mayai jamaa mwingine huku amekaa kitandani!! aise jama alichukiwa na kuchukuwa jiko lake na kuweka kwenye mfuko wa rambo!! aisee usiombe yakukute.
Truee story sio joke.
Kwa hiyo sisi Woman( ni kweli tunakutana na vitamanisho vingi lakini tujitahidi kuwa firm na mahusiano ya awali otherwise tutakuwa tunawalaumu wanaume bila kufikiria nani chanzo cha ajali.