Maisha ya dada zetu wakiwa vyuoni

hivi mapaja yako unamuonesha nani ?kweli dada kama wewe una tabia nzuri utatuonyesha mapaja hebu dada tuthink wise ushabiki ukae pembeni

Naonyesha watu!Kwani bibi wa bibi yangu alivyokua havai gauni alikua anamwonyesha nani?Alafu mimi si mshabiki!
 
Hao unaowasema hapa ni kati ya wengine wengi tu waliopo uraiani kama sehemu ya jamii,la msingi hapa ni tatizo la siku hizi kwa wakina dada kuwa na wanaume wengi kwa vigezo hivyo vya mafiga matatu,utakuta hata yule mwanamke ambaye ana uwezo wa kujitegemea kwa maana ya kuwa na kazi nzuri na mshahara mzuri wa kumtosha lakini bado atakuwa na wanaume si chini ya watatu kwa wakati mmoja huku kila mwanaume akiwa na wakati wake wa kuenjoy nae.
Kikubwa na cha msingi ni kwa kina dada kubadilika kwa kutoendekeza utegemezi katika maisha yao kila ya kila siku.
 
Naonyesha watu!Kwani bibi wa bibi yangu alivyokua havai gauni alikua anamwonyesha nani?Alafu mimi si mshabiki!
Huu umambo sasa ni halali tucopy na kupaste kila kitu ? REJEA POST YANGU
HALAFU JIULIZE BASI SUALA LA MSINGI KWELI NYUMBANI KWETU /KWENU BAADA YA HUU UGUNDUZI WA NGUO MAMA ZETU NA SHANGAZI ZETU WALIENDELEA KUBAKI BILA NGUO NA KWANINI WALIAMUA KUVAA NGUO TENA WAKAWANAJISTILI MWILI MZIMA ARE THEY STUPID? MY SISTER FIKIRIA IN 3D USIENDELEE KUTETEA UJINGA AMBAO HAUNA TIJA KWA TAIFA HUU NI UKWELI DADA ZETU MAADILI YENU YAMESHUKA JIREKIBISHENI .HESHIMA NI PAMOJA NA MAVAZI YAKO NANI ATAKUHESHIMU KWA KUTAKALIA UCHI SISI AGHHHHHHHHHHH
 
Bwana Maganga,

Mi naona umeongea kitu ambacho ni vere vere
Hawa dada zetu wasomi na hata wengine mitaani ndo tumeshawazoeza hivyo, yaani wanapenda kuvaa kimatata-matata aka kitamanishi-tamanishi. Then tukianza kuwasema wabadili mavazi wanaanza kujisikia vibaya.
Yaani wanapenda watamanishe wanaume, lakin ukiwataka watukate hizo kiu zetu wanaanza kudai ABYUZI, mara uzalilishaji, na wakiingiliwa bila ridhaa zao na wale wanaume wasio na simile ndo inakuwa balaa zaidi. Tukiwaambia wabadilike ili wasisumbuliwe hawataki
 
Basi nini tena?Alafu leo nalala jeans.....!

Daaaaaah
Azabu hiyo ya kusapoti sredi ya maganga . . . .
Lakin wewe uko sawa mamiii
We vaa tu unavyotaka, heshima yako bado iko juu
Sawa kipenzi, mi sijakusema wewe sweetie
 
Babu zetu hawakulalamika!Tatizo lenu ni macho ya tamaa na wivu kwa mnaowaita mapedeshee!Kuna watu wanazunguka na kanga mbili kutwa ila matendo yao ni zaidi ya kutembea mtupu barabarani!Heshima ya mtu haipo kwenye nguo bali kwenye matendo!Kujisitiri wakati mwingine inatumika kuwadanganya nyie mnaodhani sketi ndefu ndo heshima!Mtapangwa mpaka mkome!I'm out!
 
Daaaaaah
Azabu hiyo ya kusapoti sredi ya maganga . . . .
Lakin wewe uko sawa mamiii
We vaa tu unavyotaka, heshima yako bado iko juu
Sawa kipenzi, mi sijakusema wewe sweetie

Mmmh umewasema marafiki zangu!
 
Hao unaowasema hapa ni kati ya wengine wengi tu waliopo uraiani kama sehemu ya jamii,la msingi hapa ni tatizo la siku hizi kwa wakina dada kuwa na wanaume wengi kwa vigezo hivyo vya mafiga matatu,utakuta hata yule mwanamke ambaye ana uwezo wa kujitegemea kwa maana ya kuwa na kazi nzuri na mshahara mzuri wa kumtosha lakini bado atakuwa na wanaume si chini ya watatu kwa wakati mmoja huku kila mwanaume akiwa na wakati wake wa kuenjoy nae.
Kikubwa na cha msingi ni kwa kina dada kubadilika kwa kutoendekeza utegemezi katika maisha yao kila ya kila siku.

Joseph hapo kwenye red ndio tatizo kubwa sana la dada zetu Tanzania. Wengi wao hawataki kabisa kujishughulisha badala yake wanategemea kutumia miili yao kama mtaji, ndio sababu ya hayo mafiga matatu na hata zaidi. Akina dada jamani pungueni utegemezi. Yaani hata ukimpa kazi yenye mshahara wengi wanakuwa wavivu wakitegemea hayo mafiga. Binafsi nimeshafanya kazi na akina dada wa kitanzania, wakenya na Wabongo, na nikashuhudia mwenyewe jinsi dada zetu wa kitanzania walivyokuwa hawathamini kazi zao wakiendekeza utegemezi.
 
Waganda
 
bwana maganga,

mi naona umeongea kitu ambacho ni vere vere
hawa dada zetu wasomi na hata wengine mitaani ndo tumeshawazoeza hivyo, yaani wanapenda kuvaa kimatata-matata aka kitamanishi-tamanishi. Then tukianza kuwasema wabadili mavazi wanaanza kujisikia vibaya.
Yaani wanapenda watamanishe wanaume, lakin ukiwataka watukate hizo kiu zetu wanaanza kudai abyuzi, mara uzalilishaji, na wakiingiliwa bila ridhaa zao na wale wanaume wasio na simile ndo inakuwa balaa zaidi. Tukiwaambia wabadilike ili wasisumbuliwe hawataki
mkuu leo ilibidi niliseme hili haina shida sana kama hatazingatia jambo la msingi ni kuwaeleza ukweli hawa ndio wakina mama wa kesho unafikiri tukikaa kimya si itakuwa vituko .najua wadada hampendi kusikia hili ila lazima mbadilike mkitaka watu wawaheshimu .kwanini nampenda kushusha thamani zenu dada zangu aghghhh
 
"NYINYI hampedi hilo la kwanza(kutumikishwa).Ndiyo,hampendi upagazi.lakini hili la pili mnalipenda.Mnapenda kuwa maua.Mkikubali kuwa maua na kujipamba kwa ajili ya kumfurahisha mtu mwingine (mwanaume)na si nafsi zenu,mjue pia mtatumiwa,mtakuwa wapagazi."Jk Nyerere-18/12/1976.Chuo Kikuu Dar es Salaam.
 
Hapa we are not rational, why too many words on these young College ladies? kwa nini hata wanaume nao wasibadilike?? Wanaume ndiyo wamebeba mapepo ya ngono na kuwakoroga mabinti namna hiyo na vipea vyao vya wizi na madawa ya kulevya. Kwa ujumla we are a cursed generation no matter you are man or woman!
 
babu zetu hawakulalamika!tatizo lenu ni macho ya tamaa na wivu kwa mnaowaita mapedeshee!kuna watu wanazunguka na kanga mbili kutwa ila matendo yao ni zaidi ya kutembea mtupu barabarani!heshima ya mtu haipo kwenye nguo bali kwenye matendo!kujisitiri wakati mwingine inatumika kuwadanganya nyie mnaodhani sketi ndefu ndo heshima!mtapangwa mpaka mkome!i'm out!
aise maziwa nje mapaja nje huyu mtu ana heshima mhh hiyo ni falacy kabisa haiwezi kuwa kweli kamwe
sasa uvae nusu uchi so what ?
Na kumbuka nguo ni symbolic tu hapa kuna mengi ambayo mnatakiwa kujirekebisha .
 
hapa we are not rational, why too many words on these young college ladies? Kwa nini hata wanaume nao wasibadilike?? Wanaume ndiyo wamebeba mapepo ya ngono na kuwakoroga mabinti namna hiyo na vipea vyao vya wizi na madawa ya kulevya. Kwa ujumla we are a cursed generation no matter you are man or woman!
hivi kuna mtu anaye kwambia ukatamani gari zuri kweli, kwanini hutaki kuwa mvumilivu ule mbivu? Mbona wakati wakiwa a level walikuwa watiifu .na kuva nguo fupi nalo wanaume wanalazimisha ?
 
mavazi tu kaka angu yanakutoa roho? huko tunapoelekea na utandawzi huu si itakuwa htari hutoki nje kabisa
 
aise maziwa nje mapaja nje huyu mtu ana heshima mhh hiyo ni falacy kabisa haiwezi kuwa kweli kamwe
sasa uvae nusu uchi so what ?.
We ulianza na mafiga matatu sasa unakomaa na maziwa!Sioni uhusiano wa hayo mawili!Na hata hilo la pili umeshindwa kutetea point yako kwa wale wanaojifunika huku wameshindikana!Ushauri nenda kwa Mswati kwanza ukawavalishe tisheti uwape heshima alafu urudi kuvuta za wabongo juu!
 
we ulianza na mafiga matatu sasa unakomaa na maziwa!sioni uhusiano wa hayo mawili!na hata hilo la pili umeshindwa kutetea point yako kwa wale wanaojifunika huku wameshindikana!ushauri nenda kwa mswati kwanza ukawavalishe tisheti uwape heshima alafu urudi kuvuta za wabongo juu!
kwanini unakazania sana hii issue ya mavazi dada angu? Nishakwambia hii ni moja ya hayo matatizo kuna mengi mnatakiwa kubalika ila endelea kutetea huu ujinga ila hupaswi kudai haki ya kusema umedhalilishwa pale kariakoo na wanaume kwa kuvaa hivyo vinguo
kwa ujumla badilikeni dada zangu it does not make sense for you kutetea huu wehu
 
Back
Top Bottom