Elevat Kapela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2017
- 630
- 1,837
Tatizo sio utajiri, Tatizo ni kulipa gharama za kuwa tajiri ndio huwa tunaogopa wasomi wengi. Ukiwa tayari kulipa gharama za utajiri unakuwa tajiri.
zuruma zao unazijua kuliko wasanii wanao show tvhabari wadau..
nilikuwa natazama kwenye tv kipindi cha arobaini ya mtoto wa babu tale.. hiyo nyumba ya babu tale ni ndoto za wasomi wengi kuimiliki.. ni wasomi wachache sana wanaimiliki tena wengi ya hao wachache ni kwa rushwa, na ufisadi.. sio kwa hela halali..
mahojiano ya fella pia nyumbani kwake mbagala... napo maisha yake yanaonekana yana financial freedom kubwa kuliko hata ya kaka yangu ambaye ni lecture mzumbe kwa miaka mingi na ni mbahili sana huyo bro.. ila hana maisha na vitega uchumi kama vya fella.. na bro ana umri mkubwa kuliko fella na amefanya kazi miaka mingi kama mhadhiri
mwisho kabisa kanumba..
hadi mauti inamkuta alikuwa na miaka 28.. ila aliacha kampuni yake... magari kadhaa ikiwemo lexus, na hiace,, na account yake benki ilikuwa na milion 40 savings... je wasomi wangapi wenye miaka 28 wana uwezo wa kuwa na savings ya milion 40... na huku maisha mengine yanaenda kama kawaida tena maisha ya anasa sio ya kula matembele
sijamtaja diamond sababu kila mtu anajua mchango wake..
naomba tuelezane ukweli wasomi tunakosea wapi kiasi ikifika tarehe 23 tu humu thread za mishahara imechelewa zinakuwa nyingi sana,,, na wengine tunakopa hadi elfu 10 ili zisogeze siku mbele..
tutasema ni vipaji hatuna,, je babu tale au fella wana kipaji gani? mbona hawaimbi, wala hawana studio tuseme ni ma producer.. ila wana maisha mazuri tu... je degree zetu zinatusaidia kweli au zinaturudisha nyuma..
kuna thread ya visa humu..watu wengi wanalalamika kunyimwa visa na balozi hasa wa marekani na canada.. na tena wengi ya wanaolalamika ni wasomi wana elimu kubwa sana.. na wanashangaa kina fella, au babu tale wakipeleka documents tu visa wanapewa na wanasafiri mara nyingi kama JK vile kushangaa dunia.. ila wasomi hatuwezi hata kuweka mazingira ya kumshawishi mzungu akupe visa ukatembelee nchi yake
dick sound mfunga mziki wa magari magomeni.. wengi waliokaa magomeni wanamjua na amewahi kuwauzia maji kwenye madumu ya mkokoteni pale magomeni, anasukuma mkokoteni anauza maji kipindi ametoka kwao iringa... angalia leo alipo ana nyumba kibao mpaka mama yake kamjengea nyumba dar... na angalia gari zake anavyozibadili kila mwaka. angalia umri wa dick hata 35 sizani kama amezidi.. hizi degree zinatusaidia kweli au zinatufelisha?
Asante.
Sasa pendekeza nin kifanyike.
2. Je wapewe magari wote?
Wapewe majumba,
Au madaktari wache kutibu wawe maprojuza,
Walimu waaidundishe wawe diamond
Em brify
I mean walimu wasifundishe?
Dimond 1=100,000,000 msio na ajira au wafanyabiashara 10,000Diamond mmoja sawa na wasomi 10,000
Mfano kubeba madawa herroin nkWafanye chochote kitakacho wawezesha kuwa na uhuru wa kifedha.
Majibu yakuapi hap. Au ndvo ulivyoelewa mkuuSasa kumbe una majibu
Majibu yakuapi hap. Au ndvo ulivyoelewa mkuu
Saikolojiko point...kilichokutuma kufikiri kuandika uzi huu ndo kilicho kukwamisha mpaka sasa!!
Tafadhali hapo ccm haihusiki ujinga wako na dgreee zako ndio tatizo usitwishe mzigo ccmHii inatokana na mazingira magumu yaliyowekwa na uongozi mbovu wa CCM.