Maisha ya Babu Tale, Fella, hayati Kanumba yana financial freedom kuliko wasomi wengi. Tunakosea wapi?

naomba unitajie msomi moja tu aliyetoboa kati ya wengi hapa tanzania ambaye ana savings milion 40 benk na hajazidi miaka 28.. ambaye hela yake imeletwa na elimu yake.

daimond ana miaka 29... na umesema ni mmoja kati ya wengi... naomba unitajie na msomi mmoja kati ya wengi ambaye ana miaka 29 hapa tanzania mwenye asset au kipato kumzidi diamond ambapo elimu yake na ajira yake imemfanya apate hizo asset... iwe vita ya mmoja mmoja tu
Nimesoma hoja zako mleta mada lakini nawiwa na hofu kuwa unachukuwa sample ya kina diamond na kuilinganisha na sample ya wasomi wa umri sawa na kina diamondi....

Elewa kuwa kwenye uwekezaji wowote zipo miradi ambazo return yake huchukua muda mfupi na ipo miradi ambayo return huchukua muda mrefu.

UWEKEZAJI KATIKA KAZI ZA SANAA NA MICHEZO NI SHORT TERM INVESTMENT WITH A LIMITED RETURN PERIOD...NAYMER KWA PATO LA WIKI MOJA NI UTAJIRI WA WASANII WENGI TUU HAPA TANZANIA NA ULAYA PIA.

UWEKEZAJI KATIKA ELIMU NI LONG TERM NA RETURNS ZAKE NI ZA MUDA MREFU...NDIO MAANA BILL GATES MARK ZUCKEBERG NA WENGINEO WANAENDELEA KUWA MABILIONEA KWA MIAKA ZAIDI YA 30 ILHALI WASANII NA WANAMICHEZO WANAKUWA MABILIONEA KWA SIKU 2 AU 3 WANAPOTEA KWENYE RAMANI.

Turudi tanzania yetu...diamond kanumba na samatta siku wakiwa na billions 10 kwenye acc zao at 40yrs of age njoo niambie....ila msomi anakuwa na pesa mpaka anakufa....
 
Yote HERI. Kusoma unaweza soma ila changamoto za maisha usizimudu pia hata kwa asiyesoma hivyo hivyo. Kumbukeni kuna kitu kinaitwa katika maisha Mapito. Mapito ndio inawakwamisha watu wengi
 
naomba unitajie msomi moja tu aliyetoboa kati ya wengi hapa tanzania ambaye ana savings milion 40 benk na hajazidi miaka 28.. ambaye hela yake imeletwa na elimu yake.

daimond ana miaka 29... na umesema ni mmoja kati ya wengi... naomba unitajie na msomi mmoja kati ya wengi ambaye ana miaka 29 hapa tanzania mwenye asset au kipato kumzidi diamond ambapo elimu yake na ajira yake imemfanya apate hizo asset... iwe vita ya mmoja mmoja tu
HAYUPO na HATAKUWEPO.
Maana huo umri ndo yuko Masters au anafanya PhD na kazi atakua hajafanya zaidi ya miaka 10, bado mshahara ni mdogo.

Ukizingatia hatuna wasomi wabunifu wa kuweza kupiga hela kabla ya umri huo
 
Ni mengi huwa yanaongelewa kuhusu elimu ila hitimisho huwa sijawahi kulipata naomba tusaidiane hapa chini wazee??

1. Mfumo wa elimu ndo tatizo?

2. Wasomi ndo wabovu??

3. Je watu waachane na elimu ya darasani??

4. Je tatizo ni elimu, mitahala, mfumo au MTU BINAFSI???
 
tatizo lako hujanielewa na unajifanya umenielewa.. mimi naongelea ubunifu na siongelei mavyeti vyeti na mishahara tgsd..... je bil gate au zuckerberg wana degree.. na kama wanazo wamezipata lini? je wameshawai kuandika barua ya kumuomba mtu kazi? na kusubiri mishahara mwisho wa mwezi na ukichelewa wanalalamika? au ndio mambo ya degree za shigongo hizo anaenda chuo na range rover sports na ana makampuni kibao

je wamewahi kuajiriwa sehemu??

na je utajiri wao au uwekezaji wao waliufanya kutegemea vyetii..

hata hapa tanzania kuna matajiri wengi na wana elimu kubwa tu.. swali langu je huo utajiri wao waliupata kwa kutegemea degree zao kusubiri mishahara au waliumiza vichwa na kujiajiri...

narudia tena hakuna sehemu niliyosema elimu mbaya.. ila nimeuliza je elimu hii inatusaidia kweli au hatuitumii vizuri na kuanza anzisha thread kila tarehe 25 za mshahara.. huku kina fella wanatumia akili tu kupata hela.. na hata kuimba hawaimbi

mtu aliyesoma hawezi kweli kufanya ujanja kupata hata dili ya kumsimamia aslay hadi kina fella watoke mtaani ndio wamsimamie wao wapige hela tu.. shuleni si tumefundishwa management.. au wasomi tunajua management za ofisini tu benk na wizarani kuitwa meneja huku huna hata mia mfukoni.. tutumie elimu zetu kujikomboa

Nimesoma hoja zako mleta mada lakini nawiwa na hofu kuwa unachukuwa sample ya kina diamond na kuilinganisha na sample ya wasomi wa umri sawa na kina diamondi....

Elewa kuwa kwenye uwekezaji wowote zipo miradi ambazo return yake huchukua muda mfupi na ipo miradi ambayo return huchukua muda mrefu.

UWEKEZAJI KATIKA KAZI ZA SANAA NA MICHEZO NI SHORT TERM INVESTMENT WITH A LIMITED RETURN PERIOD...NAYMER KWA PATO LA WIKI MOJA NI UTAJIRI WA WASANII WENGI TUU HAPA TANZANIA NA ULAYA PIA.

UWEKEZAJI KATIKA ELIMU NI LONG TERM NA RETURNS ZAKE NI ZA MUDA MREFU...NDIO MAANA BILL GATES MARK ZUCKEBERG NA WENGINEO WANAENDELEA KUWA MABILIONEA KWA MIAKA ZAIDI YA 30 ILHALI WASANII NA WANAMICHEZO WANAKUWA MABILIONEA KWA SIKU 2 AU 3 WANAPOTEA KWENYE RAMANI.

Turudi tanzania yetu...diamond kanumba na samatta siku wakiwa na billions 10 kwenye acc zao at 40yrs of age njoo niambie....ila msomi anakuwa na pesa mpaka anakufa....
 
tatizo lako hujanielewa na unajifanya umenielewa.. mimi naongelea ubunifu na siongelei mavyeti vyeti na mishahara tgsd..... je bil gate au zuckerberg wana degree.. na kama wanazo wamezipata lini? je wameshawai kuandika barua ya kumuomba mtu kazi? na kusubiri mishahara mwisho wa mwezi na ukichelewa wanalalamika? au ndio mambo ya degree za shigongo hizo anaenda chuo na range rover sports na ana makampuni kibao

je wamewahi kuajiriwa sehemu??

na je utajiri wao au uwekezaji wao waliufanya kutegemea vyetii..

hata hapa tanzania kuna matajiri wengi na wana elimu kubwa tu.. swali langu je huo utajiri wao waliupata kwa kutegemea degree zao kusubiri mishahara au waliumiza vichwa na kujiajiri...

narudia tena hakuna sehemu niliyosema elimu mbaya.. ila nimeuliza je elimu hii inatusaidia kweli au hatuitumii vizuri na kuanza anzisha thread kila tarehe 25 za mshahara.. huku kina fella wanatumia akili tu kupata hela.. na hata kuimba hawaimbi

mtu aliyesoma hawezi kweli kufanya ujanja kupata hata dili ya kumsimamia aslay hadi kina fella watoke mtaani ndio wamsimamie wao wapige hela tu.. shuleni si tumefundishwa management.. au wasomi tunajua management za ofisini tu benk na wizarani kuitwa meneja huku huna hata mia mfukoni.. tutumie elimu zetu kujikomboa
Usomi hauamini katika uchawi na ushirikina ndio maana tunashindwa ku wamanage wenye imani hizo....msomi seven anam manage ally kiba....umeelewa tofauti ya utendaji wa kisomi na konyume chake?
 
Nimesoma hoja zako mleta mada lakini nawiwa na hofu kuwa unachukuwa sample ya kina diamond na kuilinganisha na sample ya wasomi wa umri sawa na kina diamondi....

Elewa kuwa kwenye uwekezaji wowote zipo miradi ambazo return yake huchukua muda mfupi na ipo miradi ambayo return huchukua muda mrefu.

UWEKEZAJI KATIKA KAZI ZA SANAA NA MICHEZO NI SHORT TERM INVESTMENT WITH A LIMITED RETURN PERIOD...NAYMER KWA PATO LA WIKI MOJA NI UTAJIRI WA WASANII WENGI TUU HAPA TANZANIA NA ULAYA PIA.

UWEKEZAJI KATIKA ELIMU NI LONG TERM NA RETURNS ZAKE NI ZA MUDA MREFU...NDIO MAANA BILL GATES MARK ZUCKEBERG NA WENGINEO WANAENDELEA KUWA MABILIONEA KWA MIAKA ZAIDI YA 30 ILHALI WASANII NA WANAMICHEZO WANAKUWA MABILIONEA KWA SIKU 2 AU 3 WANAPOTEA KWENYE RAMANI.

Turudi tanzania yetu...diamond kanumba na samatta siku wakiwa na billions 10 kwenye acc zao at 40yrs of age njoo niambie....ila msomi anakuwa na pesa mpaka anakufa....
NAKATAA na NITAZIDI KUKATAA..!!

Usishangae hata hao kina Diamonds, wakawa matajiri for 50+ yrs, if and only if, wakapata akili ya kufanya investments kubwa kma hao kina Bill Gates.

Lazima tukubali kwamba MFUMO WETU WA ELIMU UNATUTENGENEZA TUWEZE KUAJIRIWA, na sio kujiajiri.

Kutengeneza hela kibongo bongo KIHALALI KWA KUTUMIA ELIMU, ni kazi sana na lazima umri uwe umeshaenda, labda ujiajiri kwa kutumia mtaji kutoka katika familia.
 
george weah amegombea urais mwambie na anakari bia kuwa rais.... maisha ni mipango tu.. ajira kama haikupi financial freedom sio ya kuiendekeza sana .. fursa zipo nyingi na wasomi wakizifanya watatoboa zaidi.. ndio nikatoa mifano kina babu tale

Wasomi wangapi unaowafahamu wewe? Acha ulimbukeni...elimu haina mbadala hata hao unaowataja hawana academic freedom hawawezi kufanya kazi nyanja za kimataifa.
Aaah we Kibunange unaongea nn asee...ao kina Fella,Tale,Diamond hawafanyi kazi kimataifa?_wewe iyo Academic Freedom imekupa fursa zipi katika nyanja izo za kimataifa?...aaah halafu unamwita mtu 'limbukeni' aseee
 
Ugumu wa maisha kwa mtu aliyesoma na ambaye hajasoma ni tofauti mkuu, mtu ambaye hajasoma anakuwa na maisha magumu haswaaaa, ila hawa wa degree si kwamba wana maisha magumu hapana ila tu hawana fedha za ku afford luxuries. Ila basic needs wanazimudu bila wasiwasi ukilinganisha na wengi ambao hawakufanikiwa kiwango cha juu cha elimum
'Mtu ambaye hajasoma anakuwa na maisha magumu haswaa'....aseee we Properah sijui iyo research yako ulifanyia wapi...
 
george weah amegombea urais mwambie na anakari bia kuwa rais.... maisha ni mipango tu.. ajira kama haikupi financial freedom sio ya kuiendekeza sana .. fursa zipo nyingi na wasomi wakizifanya watatoboa zaidi.. ndio nikatoa mifano kina babu tale
Its true. Yule aliyefananisha hao na kina bill gates, alishindwa kuangalia hata background zao zilivyokuwa rafiki katika kufikia mafanikio waliyofikia.

Tukikubali kuachana sana na vyeti tukaangalia dunia inaendaje, na kukubaliana na hali halisi ya maisha huku tukiacha kujikweza kwa elimu zetu na kujifananisha na hao tunaowaita wajinga, wasiokwenda shule, hakika TUTATOBOA..!!! Trust me..!!
 
Back
Top Bottom