Maisha ya Babu Tale, Fella, hayati Kanumba yana financial freedom kuliko wasomi wengi. Tunakosea wapi?

FRESHMAN kuna vijana wanafanyakazi kwenye international companies wanalipwa mishahara ya ajabu! Kuna vijana wanalipwa bonus za ajabu kwenye banks hapa Tz ni vibaya tu kutaja majina.

Usichukulie watu wachache unaowajua wewe wanalipwa 1m kwa mwezi ndio uwafananishe na hao akina Tale. Sio kila msomi atalipwa hela nyingi na sio kila msanii anapata hela nyingi hao akina Diamond na Tale wako wangapi?
 
Ni mengi huwa yanaongelewa kuhusu elimu ila hitimisho huwa sijawahi kulipata naomba tusaidiane hapa chini wazee??

1. Mfumo wa elimu ndo tatizo?

2. Wasomi ndo wabovu??

3. Je watu waachane na elimu ya darasani??

4. Je tatizo ni elimu, mitahala, mfumo au MTU BINAFSI???
Mkuu umetafakari vema sana
 
ukitaka kufanikiwa first change your mind set, second achakulalamika and take action..ndio upo tayari kwenye mfumo huo wa elimu yetu ya ktz ambayo inamwanda muhitimu kuwa mfanyakazi tu..
take action opportunities zipo nyingi we changa karata zako vizuri..
 
Always entertners na wafanyabiashara ndio wana income kubwa zaidi ya wafanyakazi na wasomi duniani
 
habari wadau..

nilikuwa natazama kwenye tv kipindi cha arobaini ya mtoto wa babu tale.. hiyo nyumba ya babu tale ni ndoto za wasomi wengi kuimiliki.. ni wasomi wachache sana wanaimiliki tena wengi ya hao wachache ni kwa rushwa, na ufisadi.. sio kwa hela halali..

mahojiano ya fella pia nyumbani kwake mbagala... napo maisha yake yanaonekana yana financial freedom kubwa kuliko hata ya kaka yangu ambaye ni lecture mzumbe kwa miaka mingi na ni mbahili sana huyo bro.. ila hana maisha na vitega uchumi kama vya fella.. na bro ana umri mkubwa kuliko fella na amefanya kazi miaka mingi kama mhadhiri

mwisho kabisa kanumba..

hadi mauti inamkuta alikuwa na miaka 28.. ila aliacha kampuni yake... magari kadhaa ikiwemo lexus, na hiace,, na account yake benki ilikuwa na milion 40 savings... je wasomi wangapi wenye miaka 28 wana uwezo wa kuwa na savings ya milion 40... na huku maisha mengine yanaenda kama kawaida tena maisha ya anasa sio ya kula matembele

sijamtaja diamond sababu kila mtu anajua mchango wake..

naomba tuelezane ukweli wasomi tunakosea wapi kiasi ikifika tarehe 23 tu humu thread za mishahara imechelewa zinakuwa nyingi sana,,, na wengine tunakopa hadi elfu 10 ili zisogeze siku mbele..

tutasema ni vipaji hatuna,, je babu tale au fella wana kipaji gani? mbona hawaimbi, wala hawana studio tuseme ni ma producer.. ila wana maisha mazuri tu... je degree zetu zinatusaidia kweli au zinaturudisha nyuma..

kuna thread ya visa humu..watu wengi wanalalamika kunyimwa visa na balozi hasa wa marekani na canada.. na tena wengi ya wanaolalamika ni wasomi wana elimu kubwa sana.. na wanashangaa kina fella, au babu tale wakipeleka documents tu visa wanapewa na wanasafiri mara nyingi kama JK vile kushangaa dunia.. ila wasomi hatuwezi hata kuweka mazingira ya kumshawishi mzungu akupe visa ukatembelee nchi yake

dick sound mfunga mziki wa magari magomeni.. wengi waliokaa magomeni wanamjua na amewahi kuwauzia maji kwenye madumu ya mkokoteni pale magomeni, anasukuma mkokoteni anauza maji kipindi ametoka kwao iringa... angalia leo alipo ana nyumba kibao mpaka mama yake kamjengea nyumba dar... na angalia gari zake anavyozibadili kila mwaka. angalia umri wa dick hata 35 sizani kama amezidi.. hizi degree zinatusaidia kweli au zinatufelisha?
Ukitazama kwa mtazamo wa kibinadamu hutopata jibu ila nakupa fact ukipinga ukweli n huo ............

Kuna kitu kinaitwa decree au kadar ......haya n makadilio ya muumba kwa wajawake na mambo yao yote yamo humu .Hakuna kinachoitwa bahat n tayar ilishapangwa na hayo yote unayosema walishakadiliwa miaka Ming kabla mbingu na ardhi hazijaumbwa ..............elimu haitabadilisha kadar yko ktk kipato iwe kuongezeka au kupungua .........so umesoma ila ikiwa umekadiliwa umaskini utakukuta tu ......na ka hujasoma umekadiliwa utajir utakupata tu .......njia pekee ya kubadilisha kadar n dua s ubunifu wala mganga
 
Tatizo sio utajiri, Tatizo ni kulipa gharama za kuwa tajiri ndio huwa tunaogopa wasomi wengi. Ukiwa tayari kulipa gharama za utajiri unakuwa tajiri.
Mkuu jazia nyama kidogo utuondoe kwenye ukungu unakitu kizut cha kushare na ss
 
habari wadau..

nilikuwa natazama kwenye tv kipindi cha arobaini ya mtoto wa babu tale.. hiyo nyumba ya babu tale ni ndoto za wasomi wengi kuimiliki.. ni wasomi wachache sana wanaimiliki tena wengi ya hao wachache ni kwa rushwa, na ufisadi.. sio kwa hela halali..

mahojiano ya fella pia nyumbani kwake mbagala... napo maisha yake yanaonekana yana financial freedom kubwa kuliko hata ya kaka yangu ambaye ni lecture mzumbe kwa miaka mingi na ni mbahili sana huyo bro.. ila hana maisha na vitega uchumi kama vya fella.. na bro ana umri mkubwa kuliko fella na amefanya kazi miaka mingi kama mhadhiri

mwisho kabisa kanumba..

hadi mauti inamkuta alikuwa na miaka 28.. ila aliacha kampuni yake... magari kadhaa ikiwemo lexus, na hiace,, na account yake benki ilikuwa na milion 40 savings... je wasomi wangapi wenye miaka 28 wana uwezo wa kuwa na savings ya milion 40... na huku maisha mengine yanaenda kama kawaida tena maisha ya anasa sio ya kula matembele

sijamtaja diamond sababu kila mtu anajua mchango wake..

naomba tuelezane ukweli wasomi tunakosea wapi kiasi ikifika tarehe 23 tu humu thread za mishahara imechelewa zinakuwa nyingi sana,,, na wengine tunakopa hadi elfu 10 ili zisogeze siku mbele..

tutasema ni vipaji hatuna,, je babu tale au fella wana kipaji gani? mbona hawaimbi, wala hawana studio tuseme ni ma producer.. ila wana maisha mazuri tu... je degree zetu zinatusaidia kweli au zinaturudisha nyuma..

kuna thread ya visa humu..watu wengi wanalalamika kunyimwa visa na balozi hasa wa marekani na canada.. na tena wengi ya wanaolalamika ni wasomi wana elimu kubwa sana.. na wanashangaa kina fella, au babu tale wakipeleka documents tu visa wanapewa na wanasafiri mara nyingi kama JK vile kushangaa dunia.. ila wasomi hatuwezi hata kuweka mazingira ya kumshawishi mzungu akupe visa ukatembelee nchi yake

dick sound mfunga mziki wa magari magomeni.. wengi waliokaa magomeni wanamjua na amewahi kuwauzia maji kwenye madumu ya mkokoteni pale magomeni, anasukuma mkokoteni anauza maji kipindi ametoka kwao iringa... angalia leo alipo ana nyumba kibao mpaka mama yake kamjengea nyumba dar... na angalia gari zake anavyozibadili kila mwaka. angalia umri wa dick hata 35 sizani kama amezidi.. hizi degree zinatusaidia kweli au zinatufelisha?
Wasomi ni kwamba mnasomea utumwa. Yaani skilled labourers. Zamani walikua unskilled labourers.

Mnasoma ili mje mtumike. Na hakuna utumwa wa kukufanya uwe tajiri.

Tafakari!!!
 
HAYUPO na HATAKUWEPO.
Maana huo umri ndo yuko Masters au anafanya PhD na kazi atakua hajafanya zaidi ya miaka 10, bado mshahara ni mdogo.

Ukizingatia hatuna wasomi wabunifu wa kuweza kupiga hela kabla ya umri huo
I wanna prove u wrong... Nipe 3 years
 
habari wadau..

nilikuwa natazama kwenye tv kipindi cha arobaini ya mtoto wa babu tale.. hiyo nyumba ya babu tale ni ndoto za wasomi wengi kuimiliki.. ni wasomi wachache sana wanaimiliki tena wengi ya hao wachache ni kwa rushwa, na ufisadi.. sio kwa hela halali..

mahojiano ya fella pia nyumbani kwake mbagala... napo maisha yake yanaonekana yana financial freedom kubwa kuliko hata ya kaka yangu ambaye ni lecture mzumbe kwa miaka mingi na ni mbahili sana huyo bro.. ila hana maisha na vitega uchumi kama vya fella.. na bro ana umri mkubwa kuliko fella na amefanya kazi miaka mingi kama mhadhiri

mwisho kabisa kanumba..

hadi mauti inamkuta alikuwa na miaka 28.. ila aliacha kampuni yake... magari kadhaa ikiwemo lexus, na hiace,, na account yake benki ilikuwa na milion 40 savings... je wasomi wangapi wenye miaka 28 wana uwezo wa kuwa na savings ya milion 40... na huku maisha mengine yanaenda kama kawaida tena maisha ya anasa sio ya kula matembele

sijamtaja diamond sababu kila mtu anajua mchango wake..

naomba tuelezane ukweli wasomi tunakosea wapi kiasi ikifika tarehe 23 tu humu thread za mishahara imechelewa zinakuwa nyingi sana,,, na wengine tunakopa hadi elfu 10 ili zisogeze siku mbele..

tutasema ni vipaji hatuna,, je babu tale au fella wana kipaji gani? mbona hawaimbi, wala hawana studio tuseme ni ma producer.. ila wana maisha mazuri tu... je degree zetu zinatusaidia kweli au zinaturudisha nyuma..

kuna thread ya visa humu..watu wengi wanalalamika kunyimwa visa na balozi hasa wa marekani na canada.. na tena wengi ya wanaolalamika ni wasomi wana elimu kubwa sana.. na wanashangaa kina fella, au babu tale wakipeleka documents tu visa wanapewa na wanasafiri mara nyingi kama JK vile kushangaa dunia.. ila wasomi hatuwezi hata kuweka mazingira ya kumshawishi mzungu akupe visa ukatembelee nchi yake

dick sound mfunga mziki wa magari magomeni.. wengi waliokaa magomeni wanamjua na amewahi kuwauzia maji kwenye madumu ya mkokoteni pale magomeni, anasukuma mkokoteni anauza maji kipindi ametoka kwao iringa... angalia leo alipo ana nyumba kibao mpaka mama yake kamjengea nyumba dar... na angalia gari zake anavyozibadili kila mwaka. angalia umri wa dick hata 35 sizani kama amezidi.. hizi degree zinatusaidia kweli au zinatufelisha?
Yamoto band!!,ilizurumiwa,we ndugu yangu inaelekea unaishi dar tu,Mzee Mengi,Bakhressa,Mfuruki,Antony Dialo,Lowasa,Ngowi (anamiriki kampuni ya solar ),
Njoo huku kwetu kwenye mitandao ya simu,uone,wahandisi wanavyopiga hela,nakumiriki assets/makampuni kibao,
Acha story za vijiweni,sio kila msomi ni tajiri,na si kila Msanii ni tajiri,Wapo wengi tu,j mo,sister p,Keisha,ruby,dury Sykes,
Kuwa tajiri sio lazima uwe msomi,ila matajiri wakubwa duniani,ni wasomi,na walikuwa waajiriwa kabla ya kujitegemea,Bill gate,Dangote,TATA,
Tafuta information za kutosha,usiishi dar tu,ukafikiri Dar ndio TZ,ukimuona Babu Tale,unajua kumbe wasanii wote matajiri,au ukiwaona wasomi kadhaa mtaani,wanapigikia,unafikiri wasomi wote wapo hivyo,
Acha kukurupuka dogo!!
 
Shule zote zinafundisha kuajiriwa.....
wasomi wengi wanafundishwa kuajiriwa ..
ukiweza kujiajiri ni freedom kubwa sana
but kwa kila Babu Tale mmoja au Diamond mmoja alieweza
kuna wengine 200 au zaidi wameshindwa na hali zao mbaya kupita maelezo

So kuajiriwa ni nafuu kuliko kushindwa kujiajiri..ingawa kujiajiri ni better ukiweza fika
Ili mtu asikuelewe hapa anahitaji kujifyatua kiasi fulani!
 
Naanza kuelewa kwann Lowassa alisisitiza ELIMU ELIMU ELIMU,
Kwanza elimu ni kwa mental liberation ila ukiamua kui-commercialize ni ww.
Uzezeta wa mtoa mada nmeuona pale anapo-conclude mambo bila kuangalia uwiano (ratio) ya hizo variables unazozilinganisha.umewataja wachache waliofanikiwa ukasahau mamilioni ya wanaoishi maisha magumu kwa sababu ya kukosa elimu pia ukasahau watu wanaoishi maisha nafuu kwa sababu wana elimu.
 
Back
Top Bottom