Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini.
Nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana umetoswa na manzi wewe sio bure...
Hili life ukili chekea na lenyewe Luna Cheka. .ukinuna na lenyewe lina Nina..
Mkuu sisi wa mikoani tuta kusikia kwa millad [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mtu anatoa taarifa tena kwa maamuzi yake mwenyewe kumzuia ni ngumu. Atangulie tu wote njia yetu ni moja KIFO tunatofautiana style za kufa tunyie mnaojibu vibaya,akifa kweli sio mrudi na majuto kwa nini mliongea vibaya kwenye thread yake..
Nadhan unafaaKwanini mimi?
Kweli mkubwa ,watu wanamengi makubwa ila kujiua sio suruhu ni roho ya ubinafsi sana,fikiria washikaji. Na ndugu itakuwaje baada ya kujiua,kubwa kama umetaitika vizuri kuomba ushauri. Na dili za kupata ya kula tunaweza kupeana pia hapa ni zaidi ya familia.Oya chongoe brother sikia kwanza. Wengi tumepitia magumu zaidi yako. Naomba utulie kwanza wadau wakupe ideas.
Mwenyewe hapa nina majanga nikikuambia utanitumia hela mbona. Sema nimeamua kukausha tu.
Tupambane kaka.