Necta ianpoandaa mtihani, inaamini kila swali lilitolewa, basi, umeshafundishwa mada husika..Necta inaamini pia umeshafundishwa kila kitu na una uwezo wa kupata 100% lakini kutokana na kupoteza umakini, au kutokua sahihi kabisa, ndio maana Grade A inaanzia 81%
Ninachomaanisha
Mungu anapomuumba binadamu, anategemea siku moja aione Roho yake (mwanadamu) baada ya kifo...
Unapowekwa Duniani, ndo unaamua kwa hiari yako uende wapi..Matendo yako ndio yatakayo kuelekeza wapi pa kwenda!
Eti mkuu
Rodyizzy imani (sio dini) yako inakuambiaje kuhusu uzima wa milele?
Mungu anajua yote haya ndio maana anakupigania kwa kukupatia watumishi wake (wachungaji, mapadre etc)...Unaposhikwa na kushindwa kujishikiria, unapobebwa na kushindwa kubebeka, lazima utapambana na hali yako...
Hatima yako, ipo mikononi mwako....