Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

Dah huyo dogo amesharudi ndugu ? Mkuu Prince mhando kweli upo bongo ndugu ?
 
Wee uko mkoa gani kwani? Km uko ndani ya mikoa hii, Dar, Arusha, na Dom, afu wrr sio mzawa wa hapo.
Fanya urudi kijijini kwenu, ukaanze upya.
Polee sanaaa
Wakunyumba umeamua umtume kwenye mizimu ya babu zake kwanza sio kudandia watu mitandaoni
 
Mdogo etu Toka Lekchara akushike matako na ukatulia tuli tulijua maisha yatakuphira kabisa.
 
-Nenda kapange geto sehemu ambayo haujulikani. Itakua ni rahisi kwako kufanya kazi yoyote bila kujali macho ya watu

-Anza kupita kwenye vibanda vya chipsi kuomba uwe msaidizi, hautalipwa chochote lakini angalao kula itakua uhakika.

-Jichunguze utofauti wako uko wapi halafu angalia namna unaweza kuugeuza kuwa hela, mfano mimi kabla sijapata ajira kwa mara ya kwanza nilikua lecture wa mchongo nawafundisha wanafunzi wa chuo masomo ya finance, economics na hesabu kwa sababu hayo masomo nilikua nafaulu kwa daraja la juu wakati nasoma.

-Usisite kuomba msaada kwa ndugu ambae unaona anaweza kukusaidia.

-Andika mpango wako wa maisha. Short terms and long terms na akikisha kila siku unafanya kitu kipya kuendea ndoto yako. Msaada au bahati ikikukuta uwe tayari una ramani nzima.

-Usijaribu kutengeneza commitment relationship na mwanamke kwa wakati huu. Mahusiano ni liability kwa mwanaume. Upwiru ukikuzidia piga nyeto au kama una kiakiba kidogo nenda kanunue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…