Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 10,152
- 18,096
Oyaa, Kuna hatua ukifika kwenye haya maisha unaona kanakwamba bora hata usingezaliwa. Ndo maana kabla sijashusha chupi ya mtoto wa watu huwa na waza kuwa akipata mimba isiyotarjiwa itakuwaje? Badala yake nanyetuka tu.
Nashukuru kwa kuwatag ila bado hawajanifikiaNgoja nicheki mabos wanasemaje Madwari Madwari @niachie mm na TUKANA UONE
Kaka Mshana fanya jambo kwa your young brother 🙏Unadhani hawajisikii vibaya? | Page 8 | JamiiForums Unadhani hawajisikii vibaya?
Instapreneur yeye amebase kwenye instagram pekee.Infropreneur idea hii ina tofaut gan na ile ya instapreneur
Kipindi hiko ndio unaamini kwamba kweli Yesu alikufa kisha Siku ya 3 akafufuka km ilivyoandikwa kwenye Biblia na aliesababisha yeye afe ni Mwanafunzi wake mmoja alimchoma kwa sababu ya vipande 30 tu vya fedhaHapa mfukoni ipo buku jero, kodi imeisha unampiga chenga faza wa nyumba huku ukisubiri mishe zitiki lakini wapi. Unaweza hata kukufuru kwa Mungu kwanini alikuumba uteseke hivi huku wenzio wanamaisha safi huko nje.
Member atakaye guswa nipush siku huku ukisubiri ajira portal iteme asiache kunishika mkono, nitamuombea kwa Mola.
Cha kukushaur jf ni heri kuomba kaz utapata na watakaouchek sio hawa unaochat nao kila siku humu. Hao wako hum muda mref kufurahisha genge, kusakq fursa kamq wewe na kujifunza.Nashukuru kwa kuwatag ila bado hawajanifikia
Approach? Phylosphy? Mision and vision. Modus operandi?Instapreneur yeye amebase kwenye instagram pekee.
Infopreneur ni kotekote, Online yote.
Selling information online.
Kuna dogo aliambiwa hivyo basi akaacha kazi ya 400k Dar akakwea boti mpaka huko anafika huko anaambiwa kazi aliyoifuata km aliyoiacha Dar atalipwa 200k, akamweleza ndugu yake akamwambia acha usenge unaacha kazi ya 400k unaenda kufanya kazi hio hio kwa 200k una akili wewe? Rudi huku ulipwe 400k dogo akatumiwa nauli akarudi kufanya kazi ya 400k, mnapovumisha mambo na kuwachota vijana akili muwe mnatumia akili sio mnawafanya mazuzuKwa mm Unguja ina pesa 100× kuliko dar.
It up to him/her. Very simple mkuu usiumize kichwa sana. Hiyo ni experience yangu mm. Na kwa ushaur tu kama kuna kaz ya kulipwa laki 4 dar na kaz hiyohiyo kulipwa laki 6 Unguja bakia dar. Mana hizo hela zina thamani sawa kabisa kulingana na mazingira.Kuna dogo aliambiwa hivyo basi akaacha kazi ya 400k Dar akakwea boti mpaka huko anafika huko anaambiwa kazi aliyoifuata km aliyoiacha Dar atalipwa 200k, akamweleza ndugu yake akamwambia acha usenge unaacha kazi ya 400k unaenda kufanya kazi hio hio kwa 200k una akili wewe? Rudi huku ulipwe 400k dogo akatumiwa nauli akarudi kufanya kazi ya 400k, mnapovumisha mambo na kuwachota vijana akili muwe mnatumia akili sio mnawafanya mazuzu
Mishe kubwa unguja ni zipi kaka,It up to him/her. Very simple mkuu usiumize kichwa sana. Hiyo ni experience yangu mm. Na kwa ushaur tu kama kuna kaz ya kulipwa laki 4 dar na kaz hiyohiyo kulipwa laki 6 Unguja bakia dar. Mana hizo hela zina thamani sawa kabisa kulingana na mazingira.
Maeneo ninayokaa mm mpaka wehu wanapata hela mzee. Kujichanganya kwako tu. Ila unguja kuna sehem watu wanaishi kama dar kabisa. Uswhilin
Kufirwa hata dar unafirwa tu. Si makalio wanayapaka mafuta?Kujichanganya kwenye nini mwisho unaishia kufirwa
Kudalalia wazungu labdaMishe kubwa unguja ni zipi kaka,
Huku ukiwa fundi wa aina yoyote fresh. Ukiwa mfanyahiashara fresh!. Ukiwa na nguvu fresh. Lugha ipo fresh. Yani hakuna marginalizationMishe kubwa unguja ni zipi kaka,
Kufirwa hata hapo dar ukitaka ninakuunganisha unaenda kufirwa mkuu.Huko ndio michezo yao unajipeleka unajichanganya wakuchanganye wakufire
Kwa hyo hata ukiwa na nguvu pekee,ukapiga hata ukuli..kulaza 20 kwa siku ni uhakika?Huku ukiwa fundi wa aina yoyote fresh. Ukiwa mfanyahiashara fresh!. Ukiwa na nguvu fresh. Lugha ipo fresh. Yani hakuna marginalization
Ukiw na wazo la biashara upate watu sahihi fresh.