Mhando mkuu ni special case yule, yule alikuwa na bodaboda kabisa ya kwake na akaiuza. Wakat kuna watu mpaka leo wanatafuta boda tu waendeshe maisha yao. Alikuja tena kuandika uzi wa kuomba msaada watu waliwaka sana humu, akafyata. Mana alieleza kilekile cha mwaka jana na watu walijotoa walimtumiaga hadi hela. Aliemda Dubai mwezi mmoja tu akataka kuanza kutembeza watu kama tour guide huki dubai na matangazo akiyafanya humuhumu na yeye alipelekwa kuuza laptop. Mm nikacrash wazo lile mana kilichompeleka kule ni kuuza laptop ili apate hela.