Nakupa namba zangu Pm mkuu nikulete huku uwe unainjoi maisha bichi pale NungwiUmeona michezo yako hii halafu unawaambia vijana wakajichanganye Unguja wakafirwe si ndio? Tena hio nimekupa kesi 1 tu zipo kesi zingine kibao mnawaongopea vijana wakija huko empty kumamakezenu mnataka kuwafira
Kumbe vijana wanapoteza muda huku kitaa na fursa zipo huko kumbe,Hiyo ndo kima cha chini mkuu. Nguvu zikiruhusu huku mpaka 60 unapata. Day saidia fundi 20 fundi 30. Ukiuziwa kifusi au kazi nguvu zako tu day yakoinasoma mpaka 40. Tofali za juu 500 per 1. Mkijipinda tofali 150 kwa siku fjndi na kibarua piga hesabu
Tafuta information, tafuta watu sahihi. Anaesikia na asikie. Kijana anaongea kiingereza vizuri, kijana amesomea utalii. Kijana ana nguvu kabisa. Anahitaji nn tena? Kuna wachaga na wameru wengi huku wamejikita wanafanya biashara. Kijana anaimba mziki live! Kijana ana kpaji na sanaa dah! Kumamae walahi kweli exposure ukiikosa inawez kusababisha umaskiniKumbe vijana wanapoteza muda huku kitaa na fursa zipo huko kumbe,
Unipe namba yako ili iweje nimekwambia mnachowaambia vijana na kilichopo huko ni vitu viwili tofauti, kuna mdau hapa anaitwa prince Muhando huyu baadae alibadirisha jina akajiita X Intelligence km sijakosea aliomba sana wadau huku wamsaidie aende Qatar kufanya kazi yeye aliambiwa hivyo hivyo km wewe unavyoipamba Unguja kweli wadau humu hawana choyo wakampa connection safi akakwea pipa mpaka huko hakukaa alirudi tena mbio mbio na akaja kutolea maelezo vizuri kilichomkuta, acheni usengeNakupa namba zangu Pm mkuu nikulete huku uwe unainjoi maisha bichi pale Nungwi
Nakupa namba yangu nikulete Unguja mkuu. Uje ukae kidogo uinjoi kula vitu laini laini huku unapigwa na upepo wa bichi. Nakupa na mafuta ya kun'garisha ngozi unakolea saafi kabisaaaUnipe namba yako ili iweje nimekwambia mnachowaambia vijana na kilichopo huko ni vitu viwili tofauti, kuna mdau hapa anaitwa prince Muhando huyu baadae alibadirisha jina akajiita X Intelligence km sijakosea aliomba sana wadau huku wamsaidie aende Qatar kufanya kazi yeye aliambiwa hivyo hivyo km wewe unavyoipamba Unguja kweli wadau humu hawana choyo wakampa connection safi akakwea pipa mpaka huko hakukaa alirudi tena mbio mbio na akaja kutolea maelezo vizuri kilichomkuta, acheni usenge
Mm napiga mishe zote mkuu ujenzi nipo, hotelini nipo, na kazi za sanaa freshMishe kubwa unguja ni zipi kaka,
Safi mkuu,pambana.Mm napiga mishe zote mkuu ujenzi nipo, hotelini nipo, na kazi za sanaa fresh
Ahsante sanaWee uko mkoa gani kwani? Km uko ndani ya mikoa hii, Dar, Arusha, na Dom, afu wrr sio mzawa wa hapo.
Fanya urudi kijijini kwenu, ukaanze upya.
Polee sanaaa
Hapo hio paragraph ya pili ndio penyewe hapaHuku ukiwa fundi wa aina yoyote fresh. Ukiwa mfanyahiashara fresh!. Ukiwa na nguvu fresh. Lugha ipo fresh. Yani hakuna marginalization
Ukiw na wazo la biashara upate watu sahihi fresh.
Ahsante sana mkuuPole kwa changamoto
Kila kitu mkuu ni watu, kutoka sehem moja kwenda sehem nyingine unahitaji watu waliosahihi. Sio lazima wawe ndugu wala marafiki.Hapo hio paragraph ya pili ndio penyewe hapa
Omba usaidiwe kazi mkuu usiombe helaWakuu naomba msinisahau namba yangu inapokea 0679408345 - Patrick ( Mix by Yas)
🙏
Mtoa mada naona kama wewe ni tapeli,Wakuu sijaptisha kitu kinywani leo
Naomba support yenu
0679408345
Inapokea jina Patrick 🙏
Kumbe unakumbuka ?Mhando mkuu ni special case yule, yule alikuwa na bodaboda kabisa ya kwake na akaiuza. Wakat kuna watu mpaka leo wanatafuta boda tu waendeshe maisha yao. Alikuja tena kuandika uzi wa kuomba msaada watu waliwaka sana humu, akafyata. Mana alieleza kilekile cha mwaka jana na watu walijotoa walimtumiaga hadi hela. Aliemda Dubai mwezi mmoja tu akataka kuanza kutembeza watu kama tour guide huki dubai na matangazo akiyafanya humuhumu na yeye alipelekwa kuuza laptop. Mm nikacrash wazo lile mana kilichompeleka kule ni kuuza laptop ili apate hela.