Maige aichana serikali ya JK

Maige aichana serikali ya JK

Mkuu naomba ufafanuzi kwenye red hapo. Maana naona siku hizi kiongozi akivuliwa uongozi kutokana na kashfa tunamwita mstaafu. Kwa maana hii pia hata akina Jairo na Muhando na wao ni wastaafu!

Binafsi huwa napenda kuwaita hivyo kwa mana ya kwamba sipendelei kusikia wanarudi tena kwenye madaraka; it is in that narrow sense;
 
US$ 700,000 amedumbuliza kwa muda mrefu pamoja na kukopa kama alivyosema, lakini wizi wa TShs. 6 billion kwa mwezi wewe CHUAKACHARA unaoni ni ufisadi wa kawaida?

By all standards, figure zote kwa mtanzania mwajiliwa wa serikali tena kijana kama maige ni hela ya wizi.
 
Aliyekuwa waziri wa JK ambae alitoswa kwenye reshuffle, akichangia bajeti ya wizara ya nishati na madini amesema


  1. mawaziri wanaofanya maamuzi wako hatarini sana kwa sababu kama maamuzi yataenda kinyume na maslahi ya mafisadi basi inaweza ikala kwa waziri

  2. akimpa ushauri naibu waziri masele, amemwambia aende kahama kurekebisha mambo maana huko vitalu wamepewa mabwenyenye ila awe makini maana maauzi ya kutetea wanyonge yana gharama zake, na ushahidi upo na akamaliza kwa kusema 'najua wewe ni mtu mzima, nafikiri utakua umenielewa!'
ametoka kwenye ulaji huyo
 
Alibwagwa nae amwage mboga kwa faida ya taifa
 
Back
Top Bottom