Maige aichana serikali ya JK

Kwa ujumla Maige amelost hana credibility yeyote ya kumnyooshe mtu kidole. Kwa ujumla jamaa alichemka sana kwenye wizara yake lakini bado anataka kujionyesha alifanya kazi, bora akae kimya kama Dr Chami..
 
nchi hii ya ajabu sana mimi binafsi naona bado tunasafari ndefu hebu fikiria mtu alikuwa waziri wakati wa mkapa akaviuza kwa lugha ya kubinafsisha kumbe kajinufaisha......halafu leo anasema nchi inatakiwa iwe na viwanda
 
:spy: KUNYA ANYE KUKU AKINYA BATA ................. ATAKUWA ANAKUMBUKIA ALIVYOKUWA WAZIRI PEKE YAKE
 
Maigeee! unapoelekea utatoa siri za kile mlichofanya pale Serengeti wewe na Mkulu
 
Hakuna msafi ndani ya CCM.Wengi wapo kimaslahi zaidi.Hata wana vyuo ambao ni wafuasi wa CCM wanavizia vyeo na kazi.Mfano utaona wakati huu wa zoezi la sensa, maafisa wakuu wote walichukuliwa wanavyuo kwa hapa Songea japo si wote.Lakini wale waliopata nafai hiyo ni wale tu waliofuatana na Nape wakati amekuja kwenye kiziara chake hapa Songea.Hivyo utaona hili ni kuwa maslahi mbele kwanza.
 
Aliyekuwa waziri wa JK ambae alitoswa kwenye reshuffle, akichangia bajeti ya wizara ya nishati na madini amesema


  1. mawaziri wanaofanya maamuzi wako hatarini sana kwa sababu kama maamuzi yataenda kinyume na maslahi ya mafisadi basi inaweza ikala kwa waziri

  2. akimpa ushauri naibu waziri masele, amemwambia aende kahama kurekebisha mambo maana huko vitalu wamepewa mabwenyenye ila awe makini maana maauzi ya kutetea wanyonge yana gharama zake, na ushahidi upo na akamaliza kwa kusema 'najua wewe ni mtu mzima, nafikiri utakua umenielewa!'
walewale tu hana jipya
 
Tatizo maige anakuwa mnafiki! angeanza kuyasema hayo tangu akiwa naibu waziri hadi waziri kamili baadae tunge muelewa, lakini anacho kifanya sasa hivi ni kumwaga mboga baada ya wajanja wenzake kumwagia ugali.Apumzike kwa amani asubiri kimbunga kjimboni kwake.
 
Ni vizuri kumpa nafsi aendelee kuongea anaweza kutusaidia kupata majibu ya maswali ambayo huenda bado waliowengi hajapata majibu. Tena nashauri watu ambao ni majeruhi kuomba kuongea waruhusiwe maana wanakinyongo na hivyo kuwa rahisi kusema ambayo waliowengi hawana uwezo wa kuyasema.
 
Ukiwaa mwanasiasa hata kama una PHD usipokuwa makini akili yako inaweza ikawa kama ya mtoto kutokana na kauli, kwanini hakusema wakati akiwa Waziri? mpaka walipomuondoa ndio anasema maana anachokifanya ni kama mtoto mdogo akigombana na mwenzie anasema maovu yote waliyofanya enzi za urafiki wao wakati alitakiwa aseme yote katika kipindi cha urafiki wao
 
Yeye anampa alert masele ili asijetemwa kwenye kitengo kama yeye, unafiki wake nh kwamaa kama yeye ameshatemwa kitengo na ana nia nzuri na nchi hii aweke kila kitu hadharani ili aeleweke kwa ufasaha nani aligawa vitalu, nani alipndisha twiga ndgege, hela za tanapa zinaenda wapi n.k
 
What is making this guy to hold so much grudges against his CCM ?Kaonewa au kunani?
 
mfumo wa serikali mbaya waziri hata akiwa na dhamiri njema ya kuchapa kazi atakamatwa tu mafisafi kwa njia yoyote ile.
 
Back
Top Bottom