Aliyekuwa waziri wa JK ambae alitoswa kwenye reshuffle, akichangia bajeti ya wizara ya nishati na madini amesema
- mawaziri wanaofanya maamuzi wako hatarini sana kwa sababu kama maamuzi yataenda kinyume na maslahi ya mafisadi basi inaweza ikala kwa waziri
- akimpa ushauri naibu waziri masele, amemwambia aende kahama kurekebisha mambo maana huko vitalu wamepewa mabwenyenye ila awe makini maana maauzi ya kutetea wanyonge yana gharama zake, na ushahidi upo na akamaliza kwa kusema 'najua wewe ni mtu mzima, nafikiri utakua umenielewa!'
Maige huna aibu, na wewe unakemea wala rushwa. Mpaka leo hujawaeleza watanzania dola 700,000 US$ za kujenga hekalu Mbezi beach ulizipata wapi!!! Twiga wetu walipita KIA. UMEPATA WAPI MORAL AUTHORITY ! SHAME UPON YOU!!!
Maige kama vile Karai la magamba lililotupwa baada ya nyumba kukamilika.
Maige kama vile Karai la magamba lililotupwa baada ya nyumba kukamilika.
Huyu Waziri mstaafu mwaka jana nilitoa maoni yangu on facebook kuhusu madudu ya serikali ya CCM ndani na nje ya bunge; aliponisoma, akaenda mwambia mtu mmoja ambae ninamfahamu kwamba huyu mtoa maoni ni mtu wa ajabu sana, na kwamba hoja zangu hazina mashiko na badala yake ninakisingizia tu chama na serikali yake.
Typical Tanzanian politician. Baada a kutoswa sasa amegeuka na kuwa mtetezi wa ''wanonge'' huku akiwashauri mawaziri nini cha kufanya