Namuacha shemeji yenu!

cold water

Senior Member
Oct 6, 2021
175
618
Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.

Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?

Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.

Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
 
As long as wewe unaweza kujihudumia mwenyewe kuna shida gani?

Wewe umeingia nae kwenye mapenzi kisa pesa au upate uroda... Ukiona unataka kujitoa kwenye mahusiano kisa mwenzako hana pesa, basi huenda ulijiegesha tu kwake hili kuondoa upweke, hakukuwa na mapenzi ya dhati kati yenu. Mtu ukiwa una mpenda mara nyingi inakuwa ni unconditionally love, hakuna hayo mambo sijui hana pesa, sijui hana hiki.

Na siku zote mpenzi wa kweli ni yule ambaye atakayeweza kukuvumilia wakati wa shida, huyo ambae hauna kazi au pesa anataka kukukimbia vipi ukipata ulemavu au changamoto ya kimaisha?
 
SHEMEJI MRUDIE MWANA!
SHEM KAMA SHEM
Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.

Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?

Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.

Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
 
Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.

Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?

Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.

Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Nimejukuta tena nimeingia dhambini kuchangia hoja,za,wazinifu, kabla kamati kuu ya maadili haijatoa maoni yake tunaomba kufahamu hao wenye pesa walikuacha au uliwaacha .

Nini kulikuwa chanzo cha kuachana kwenu??,
eidha uliwafumani au walikufumania??

Lkn umesema wapenzi wako wa awali tunahitaji kujua hao wapenzi ulikua nao kwa mara moja au kwa nyakati toauti?? Baada ya majibu ya swali langu wanazengo watajua ww ni wa aina gani kisha tutakusahuli,

La mwisho , kipayo chako hakikidhi mahitaji yako ??

Ikiwa kipayo chako kinakidhi ridhika mdada kuna utu nje pesa
 
Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.

Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?

Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.

Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!

Cold water
 
Kwa mwanaume unataka nini? Moto anajua kupeleka? Kwanini uliachana na hao Xs wawili wakati walikuwa na maokoto?
 
Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.

Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?

Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.

Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Design hii ya wanawake ndio vijana mnatakiwa muowe hakun kuoneana huruma
 
Shoga Kwa nn hukuhudhuria kikao Cha Wana wake??? Tulikubaliana mwanaume masking apendwe na mama yake na dada zake....huo uhandsome unasaidia nn ikiwa hata vocha Hana??? Tupa uchafu huo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom