Mahusiano yanataka kuniumiza akili

Wanawake bhana, sisi huwa tunawahudumia nyiny mpaka familia zenu na marafik,ila wew kumtoa mshikaj vibuku 5 imekuwa n tatzo huwez pata maendeleo.

Basi tafuta mume wa mtu unaefanana nae kipato upate maendeleo.

Maisha ni haya haya.
 
Pole sana wanafalisafa wanasema ukiona unatembea na umepotea njia hata kama umefika mbali (9yrs) Usione shida kugeuka na Kuanza upya!
Kiukweli inaonekana huyo mwanaume umeshamchoka kwa tabia zake hizo.

Lakini mbona umechelewa hivyo kumjua miaka 9? So sad najaribu kuangalia uwekezaji wa penzi la miaka 9 bila Kujua future wala hamna mtoto huyo kijana anaonekana ana shida kibwa sana hajawahi hata kukuambia how about future planing to family us?
Kimbia haraka sana

Naamini Mume utampata Mshirikishe Mungu vizuri katoe sadaka ya kwa Mungu kwa kujitambua kisha Omba Mungu akupe Mume , mume mzuri ni yule anaetoka kwa Mungu huyo utafrahia nae Maisha
 

Sijui nikutongoze aisee. Wengine wanacheza na mijike inayojitambua na kujielewa yaani.

Hebu dada niruhusu nikutongoze kama vipi tukayajenge. Achana na huyo boya.
 
Mpalestina katika ubora wako.......kwani wewe unavyo jisifia hivo na kujiweka hiyo class katika hayo mahusiano unaongeza Nini Cha ziada ....? Kuna ulazima gani wa kuwa na wewe.....? Lipi ambalo lipo kwako kwa wengine hamna .....? .....for sure hao wanaume wasio na akili unawaendesha Kama makatapila ndio levo zako [emoji1][emoji1][emoji1]

Big boys huwezi kuwaambia hivo Bali wao ndio watakuambia fanya moja mbili tatu simple and clean .

Sasa hao wako ili tu muende mkasuguane lazima mgimbanee na kuoneshana umwamba for sure wewe ni cheaper ila umejipa tittle sio ....jishushe muendelee kuvimbiwa magimbi na hao jamaa zako
 

Check your PM tuyajenge tafadhali
 
Jaribu kumsaidia kama anasaidika, kwa mfano kama anapenda kufanya biashara flani bac mpe mtaji kama unampenda ,ila kama hajisumbui kujishuhulisha au kama hana idea yoyote take action tena iwe hard decision.
 
Kama jamaa amezingua kiasi hicho piga chini,tena mapema sana ucipoteze mda
 
Dm please
 
achana na huyo marioo
kumbuka hata mkioana wewe ndio utakaemlisha, so sepa mapema
mkipata watoto wewe ndio utakaelipa fees na huduma zote, so achana nae huyo mjinga

VITU VYAKE PAKIA KWENYE GARI PELEKA KWAO.
KAMA UMEPANGA HAPO MLIPOKUWA MNAISHI WOTE HAMAA
 
Wanawake wengi wanashindwa kuwa independent ila wewe umeweza na hongera kwa ilo,sio kila kitu mwanaume sometimes men tunakuwa na madhambi sana kwa wanawake ila kama upo free from stress ni vizuri sana kulinda afya ya akili ucje jiua kisa mwanaume.
 
Muombe mungu akupe mume. Fanya mipango ya kimaendeleo mwenyewe usiforce matapeli ni wengi.
 
Ila huyo anaye mzungumzia huyo mwanamke anakosa ule uanaume.

Mwanaume unaombaje zawadi kwa mtoto wa kike ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…