Mahusiano yanataka kuniumiza akili

Mahusiano yanataka kuniumiza akili

Umekimbia mwanaume ambaye Hana akili ya maisha lakini ana mapenzi, unakutana na mwanume mwenye akili ya maisha lakini ni hit and run, Hana muda na wanawake Wala mapenzi ......

Huwezi pata mwanaume mkamilifu hii dunia ...

Unachofanya unakimbia tatizo tu ,
Ubarikiwe
 
Mambo yanaongeleka kama hela haihusiki ila kama hela ya mwanaume unakula af unaleta mambo ya kichoko lazma kiumane tu
Jamaniiiii, mtuhurumie wajameni,,,mtufukuze tu msituuue loooh, nikifikiria raha za hii dunia unikatize hivi hivi kweli?
huruma huna kwani?
 
😂😂😂😂 humu kuna wengine wanatoa stress ila kuna wengine wanapata stress kwa majibu kama hayo kama mtoa mada
Mimi kila nikiingia huku nasikia tu kufurahi, kuna wakati wananitukana lakini mimi nachukulia poa tu,,kwani shilingi ngapi,,unakuta anayenitukana maskini wa Mungu hata hanijui ni stress tu zimembana

hahahahha kwa kweli JF furaha iendeleeee
 
mimi kila nikiingia huku nasikia tu kufurahi, kuna wakati wananitukana lakini mimi nachukulia poa tu,,kwani shilingi ngapi,,unakuta anayenitukana maskini wa Mungu hata hanijui ni stress tu zimembana

hahahahha kwa kweli JF furaha iendeleeee
Hahahahahahahah
 
Miaka 9 mwanangu bado unapimwa tu?

Hawa watoto wa kiume wengi hawakui yaani ni wadogo tu na hivi anakaa kwao ndo kabisa.

Tatizo na nyie mnakuwa soft mno, hivi mwanaume akutumie for 9 years kweli ?

Amua sasa maana mapenzi ni yenu wawili.
 
Mie narudia tena huyu kidume alikuwa anamkojolesha vizuri bidada ndio maana kavumilia miaka yote hiyo
 
Vijana kila aimu tunawaamboa hela ya mwanamke chungu mnakataaaa

Hapo kunachowasilishwa ni ubinafsi wa asili wa mwanamke

Na huyu jamaa sio aggressive ila labda angevumilika kama asingekula heka za moto

Ni kiumbe mbinafsi sasa
Nikweli ukitaka kuishi Kwa furaha maisha husi subutu kuchukua pesa au kitu cha mpenzi wako wanawake wabinafsi sana na wachoyo Mimi nili jaribu siku kumuomba godoro mpenz nilitumie Kwa mwez Mmoja kwasabab godoro langu Lili rohana wakati naamisha vitu vya ndani yeye alikuwa na magodro mawili moja halitumii kaliweka uvuguni wa kitanda chake, cha Ajabu aka ninyima akasema mama yake mdogo ana kuja atakuwa ana litumia lakin mpasasa miez 4 imepita mama yake mdogo hajaja na Mimi nilisha nunua la kwangu kitambo, Yan mpaka Leo najiuliza mbona mim akiwa na shida na msaidia hela nyingi kuzidi bei ya godoro lake nili mjaribu nimuone je ana roho ya kutoa tu
 
As long as huyo mzungu ana matiti na ana mbususu nae hawezi kumvumilia mwanaume wa hivyo. Wanawake wote tabia yao moja
Rafik zangu hawa kaz na hela making wanaishi na wanawake wa kizungu lakin maisha yanaenda tu sema wanawake wakizungu hawapendi uongo
 
Rafik zangu hawa kaz na hela making wanaishi na wanawake wa kizungu lakin maisha yanaenda tu sema wanawake wakizungu hawapendi uongo
hamna mtu anayependa uongo bwana sema ndio dunia ilivyo. ila hao jamaa sasa watakuwa watumwa. usikute wanaamrishwa wafyonze tigo🤣🤣🤣
 
Aiseee haya mapenzi mimi mbona sina? Yaani amekugeuza chuma ulete wewe ndo mtoa pesa? Uko nae miaka 9? Wewe umerogwa sio bure, mpuuzi anaishi kwao miaka hiyo yote?

Kweli kuna wanawake mnapenda kiboya sana.mimi mwanaume ambae hatowi chochote kwangu siwezi mvumilia zaidi ya miezi 3.

Amka usingizini, huyo fala anakuona wewe ndo una shida sana wewe ndo unamuhitaji kuliko yeye snavyokuhitaji.

Manina zake nyau huyo.mpigie simu mwambie aje muongee, akifika uwe umeshaandaa nguo zake mkabidhi funga mlango.

Au muulize alipo akisema yupo nyumbani mwambie unakuja kumuona, nenda na mizigo yake yote.
Ikiwezekana hama huo mtaa, mwambie vitu vyake umeviacha ndani akavifate, kha yaani nimesikia hasira sana huu upuuzi siwezi ufanya.

Mpuuzi huyo ana nini cha maana kinachokufanya uendelee kuwa mtumishi wake?

Mwanaume wa hivyo awe wa mwisho kwako, umepoteza muda mwingi sana.sasa amka usingizini.

Ukipata mwingine, hakikisha usimfiche ualisia wako muoneshe mwanzoni kuwa anatakiwa kuwajibika kwako kama mwanaume.lazima atowe pesa kwa ajili yako.

Tangu niwajuwe wanaume walivyo wapuuzi siteswi na mapenzi, zamani nilikuwa nawaza atanionaje nikimwambia mambo ya pesa?niliteseka sana

Nikawaza hawa ni wa kuwambia indirectly.

Kuna mmoja huyoanataka kunipandisha nyeunge niende kwake ahaaaaa nimenyoosha maelezo, nikamwambia mimi sipandi basi masaa 13 nimekalisha tako kwenye basi kukufata, nikamwambia nasubiri tiketi ya ndege asipotuma kwangu nakula nakusaza. Na ataituma asipotuma sina cha kupoteza kwake.

Inabidi nimzoeshe hivyo asije niona mimi ni wa kusafiri na nyeunge kha. Mtu uwezo anao afu nijitese? Nyooolooo zake

Dada leo hii hakikisha huyo tegemezi anaondoka kwako mwambie umepata mwanaume mwingine. Ishiiiiiy
au sio!
 
Kwa maelezo haya kwa kifupi ni kama unajiuza hivi.

Asante
 
hamna mtu anayependa uongo bwana sema ndio dunia ilivyo. ila hao jamaa sasa watakuwa watumwa. usikute wanaamrishwa wafyonze tigo
Hapana malez, Tamaduni ni tofauti wao wazungu pesa ni kitu kidogo Sanaa tofauti na sisi, mfano Dada yako ni mpenzi wangu tu ukisikia ana nijengea nyumba au kaninunulia gari wewe utamgombeza na utaenda kumshtaki kwenu na mtamuona mji nga Sana na wewe uki mjengea mpenzi wako nyumba na kumpa gari ndugu zako wata kuona mjinga na huna akili, tofauti Kwa wenzetu wanzungu wao nijambo la kawaida
 
Jamani njooni mlishuhudie Malaya huku limejianika peupeee,

eti sitaki daladala, kwa kipi hasa ulichonacho, ukute hata mnduku hujui kusafisha, vuvuzela hujui kunyoa, kwapa linanuka kama choo cha stendi,

Mwisho wa siku, mwanaume atabaki kama alivyo, mtoa mada kuna kitu anaficha hajaongea ukweli wote,

Alipaswa kuyaona haya ndani ya miaka miwili au mitatu lkn miaka tisa , big no.

Kama kapata danga jipya aseme tu asizunguke saanaaa
Mzee hi spana yako balaa.
 
Habari humu ndani?

Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha JF

Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni mwetu.

Ipo hivi, nimekua kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka 9 na huyu mwenzangu. Tulianza mahusiano tukiwa chuo kikuu. By the time tumeanza mahusiano, sikuwahi kufikiria ndoa. Ingawa mwenzangu alinitamkia mara kadhaa ingawa sina hakika kama ni hali ya utani ama la.

Sasa tumekua watu wazima 30+. Kila mtu ana kazi yake, mi mdada nimepanga kwangu na mwenzangu anaishi kwao bado. Kiukweli maisha ambayo tulikua tunayaishi sikuyapenda. Kila mara mwenzangu anatoka kwao kuja kwangu. Ingawa mimi nina kipato kikubwa sana zaidi ya mwenzangu, lakini bado mimi ni mwanamke ninayehitaji mapenzi ya mwanaume. Lakini mwenzangu amekua kama mtoto kwangu. Anakuja nyumbani kwangu, kila kitu nafanya mimi. Na bado kuna muda ananiomba nimnunulie zawadi.

Kiukweli nilikaa naye chini nikamueleza. Binafsi kupata pesa nyingi zaidi yake sikuona kama ni kikwazo. Nilichohitaji ni kufanya vitu vya kimaendeleo zaidi kuliko starehe. Ila mwenzangu utasikia "Naenda kwenye mpira sasa utanitumia nipate japo mbili tatu?" Kiukweli hali hii ilinifanya nipunguze sana mapenzi kwake. Mwenzangu akaanza wivu labda nina mtu.

Kiukweli, nimejaribu kuongea naye mara kadhaa. Mwenzangu hata mpango wa kujiinua yeye kama yeye hataki. Na sasa nimegundua kwamba wamerudiana na ex wake. Nilichokifanya sikumwambia lakini nilimuomba same day same time, kila mtu afanye maisha yake. Amejaribu kunibembeleza lakini sioni cha maana anachokiongea.

Kuna baadhi ya mali zake ambazo zipo kwangu, nimeshamuomba mara kadhaa azichukue na hataki. Nikimwambia kuwa nazigawa anasema atatuma mtu azifate. Ikifika siku ya kuzifata hata nimwambie mtu anamletea, hajibu chochote.

Nimeamua kuondoka kwenye maisha yake. Sioni future wala sioni akibadilika. Ila l feel bad. Though najua kuèndelea kumganda mtu wa namna hii, itanifanya mimi nisipige hatua ya maisha.

This is what l wanted to share with you JF family.
Thank you for sharing beloved, but sorry uko single tayari? Nimeona uko focused katika maisha, na Mimi ni muda natafuta mtu wa aina yako. Sihitaji mtu wa kunihudumia bali wa kujenga nae future, ikiwemo kumpa sababu ya kutabasamu!

Karibu Usukumani, na PM iko wazi! Obheja sana
 
Back
Top Bottom