jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
eti kiongozi wa familia, yaani hadi sasa unamhesabia? najua unampenda sana ila move on mkuuMkuu hilo suala la kurudiana na ex najua sababu nimepunguza mapenzi. Upendo wangu kwake umeshuka sana. Ni mtu ambaye nikijisikia kurudiana naye its just after masaa matatu naweza kudate naye. So hiko sio kitu kinachoniumiza. Najua anafanya hivyo sababu l told him tuachane. So lazima atafute mtu wa kumkeep busy. Ishu ni kwamba sioni muelekeo yeye akiwa kama kiongozi wa familia tunayotaka kuanzisha
utakuja kunishukuru nakwambia,,,huyu ni mvulana na sio mwanaume
ila kama unataka ku enjoy nae tu kwa mapenzi yako bila wazo la kuanzisha familia,,well and good