Mahusiano yanataka kuniumiza akili

Mahusiano yanataka kuniumiza akili

Kama hataki kuchukua vitu vyake vipeleke kwao inaonekana wewe unahitaji aje kukuona na kurudiana na X wake inakuumiza kama Una Nia ya dhati kabisa kurudisha vitu vyake vipeleke kwao na apo unapokaa kama unaweza ama Anza ukurasa mwingine WA wamaisha amua Kwa dhati kuanza maisha yako na mwingine au peke yako usipokuwa makini atakufanya mchepuko wake na kukudanganya Yule X wake kamuacha
 
Aiseee haya mapenzi mimi mbona sina? Yaani amekugeuza chuma ulete wewe ndo mtoa pesa? Uko nae miaka 9? Wewe umerogwa sio bure, mpuuzi anaishi kwao miaka hiyo yote?

Kweli kuna wanawake mnapenda kiboya sana.mimi mwanaume ambae hatowi chochote kwangu siwezi mvumilia zaidi ya miezi 3.

Amka usingizini, huyo fala anakuona wewe ndo una shida sana wewe ndo unamuhitaji kuliko yeye snavyokuhitaji.

Manina zake nyau huyo.mpigie simu mwambie aje muongee, akifika uwe umeshaandaa nguo zake mkabidhi funga mlango.

Au muulize alipo akisema yupo nyumbani mwambie unakuja kumuona, nenda na mizigo yake yote.
Ikiwezekana hama huo mtaa, mwambie vitu vyake umeviacha ndani akavifate, kha yaani nimesikia hasira sana huu upuuzi siwezi ufanya.

Mpuuzi huyo ana nini cha maana kinachokufanya uendelee kuwa mtumishi wake?

Mwanaume wa hivyo awe wa mwisho kwako, umepoteza muda mwingi sana.sasa amka usingizini.

Ukipata mwingine, hakikisha usimfiche ualisia wako muoneshe mwanzoni kuwa anatakiwa kuwajibika kwako kama mwanaume.lazima atowe pesa kwa ajili yako.

Tangu niwajuwe wanaume walivyo wapuuzi siteswi na mapenzi, zamani nilikuwa nawaza atanionaje nikimwambia mambo ya pesa?niliteseka sana

Nikawaza hawa ni wa kuwambia indirectly.

Kuna mmoja huyoanataka kunipandisha nyeunge niende kwake ahaaaaa nimenyoosha maelezo, nikamwambia mimi sipandi basi masaa 13 nimekalisha tako kwenye basi kukufata, nikamwambia nasubiri tiketi ya ndege asipotuma kwangu nakula nakusaza. Na ataituma asipotuma sina cha kupoteza kwake.

Inabidi nimzoeshe hivyo asije niona mimi ni wa kusafiri na nyeunge kha. Mtu uwezo anao afu nijitese? Nyooolooo zake

Dada leo hii hakikisha huyo tegemezi anaondoka kwako mwambie umepata mwanaume mwingine. Ishiiiiiy
Uwe mentor wangu tu aisee . maana naona nazingua
 
Sawa toa mitatu au ata minne ya chuo ubaki na mitano. Sasa wee mwanamke anajielewa miaka mitano yote hiyo umekaa unapanua mipaja na kugegedwa bila kuolewa huoni huo ni ujinga huku ukiwa unamatumaini ya ndoa.

Huoni kama ni shida kwa sababu society ni ya kipuuzi na haina maadili. Watoto wa kike kugegedwa bila ndoa imekuwa fashion, tunaona ni sawa. No it is not ryt mtoto wa kike anapaswa agegedwe akiwa ameolewa. Other than that ni umalaya tuu
Na wewe mwanaume kwa nn unagegeda kabla hujaoa??
 
Habari humu ndani?

Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha JF

Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni mwetu.

Ipo hivi, nimekua kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka 9 na huyu mwenzangu. Tulianza mahusiano tukiwa chuo kikuu. By the time tumeanza mahusiano, sikuwahi kufikiria ndoa. Ingawa mwenzangu alinitamkia mara kadhaa ingawa sina hakika kama ni hali ya utani ama la.

Sasa tumekua watu wazima 30+. Kila mtu ana kazi yake, mi mdada nimepanga kwangu na mwenzangu anaishi kwao bado. Kiukweli maisha ambayo tulikua tunayaishi sikuyapenda. Kila mara mwenzangu anatoka kwao kuja kwangu. Ingawa mimi nina kipato kikubwa sana zaidi ya mwenzangu, lakini bado mimi ni mwanamke ninayehitaji mapenzi ya mwanaume. Lakini mwenzangu amekua kama mtoto kwangu. Anakuja nyumbani kwangu, kila kitu nafanya mimi. Na bado kuna muda ananiomba nimnunulie zawadi.

Kiukweli nilikaa naye chini nikamueleza. Binafsi kupata pesa nyingi zaidi yake sikuona kama ni kikwazo. Nilichohitaji ni kufanya vitu vya kimaendeleo zaidi kuliko starehe. Ila mwenzangu utasikia "Naenda kwenye mpira sasa utanitumia nipate japo mbili tatu?" Kiukweli hali hii ilinifanya nipunguze sana mapenzi kwake. Mwenzangu akaanza wivu labda nina mtu.

Kiukweli, nimejaribu kuongea naye mara kadhaa. Mwenzangu hata mpango wa kujiinua yeye kama yeye hataki. Na sasa nimegundua kwamba wamerudiana na ex wake. Nilichokifanya sikumwambia lakini nilimuomba same day same time, kila mtu afanye maisha yake. Amejaribu kunibembeleza lakini sioni cha maana anachokiongea.

Kuna baadhi ya mali zake ambazo zipo kwangu, nimeshamuomba mara kadhaa azichukue na hataki. Nikimwambia kuwa nazigawa anasema atatuma mtu azifate. Ikifika siku ya kuzifata hata nimwambie mtu anamletea, hajibu chochote.

Nimeamua kuondoka kwenye maisha yake. Sioni future wala sioni akibadilika. Ila l feel bad. Though najua kuèndelea kumganda mtu wa namna hii, itanifanya mimi nisipige hatua ya maisha.

This is what l wanted to share with you JF family.
mh!!! mtoto wa kike30+ mpaka leo hujaolewa tuu, unahangaika na mapenzi!!!!!!???? tena unakazi yako kabisa!!!!!. olewa tuu, ufanye mambo mengine umri huo umeenda, kuna mambo mengi ya kufanya zaidi ya mapenzi.

Na ukizubaa utajikuta ushakuwa kajibibi, ukose hata mwendesha bodaboda. Shauri zako.
 
Sawa toa mitatu au ata minne ya chuo ubaki na mitano. Sasa wee mwanamke anajielewa miaka mitano yote hiyo umekaa unapanua mipaja na kugegedwa bila kuolewa huoni huo ni ujinga huku ukiwa unamatumaini ya ndoa.

Huoni kama ni shida kwa sababu society ni ya kipuuzi na haina maadili. Watoto wa kike kugegedwa bila ndoa imekuwa fashion, tunaona ni sawa. No it is not ryt mtoto wa kike anapaswa agegedwe akiwa ameolewa. Other than that ni umalaya tuu
Kikao kipya kimeamua mbususu iliwe baada ya ndoa...other than that ni umalaya tu WADADA MMESIKIA ?
 
Anyway, binafsi sioni kama kuna jambo linalo kutesa zaidi nafikiri kwasasa wewe umemuona huyo mpenzi wako hakufai kwasababu hafanani tena na wewe.

Maana kama ni tabia ungeweza kuzigundua mapema tangu mkingali chuoni, na ninadhani amerudiana na Ex wake kwasababu anaona hapati mapenzi tena kwako kama zamani.

Kurudi kwake kwa Ex maana yake Ex anakitu cha ziada kinacho mpa furaha kuliko wewe.

Ebu achana na mapenzi mkuu, fanya mambo mengine.
"Mambo kama hayaendi achana nayo, nenda mwenyewe"
 
Kikao kipya kimeamua mbususu iliwe baada ya ndoa...other than that ni umalaya tu WADADA NMESIKIA ?
na pia usikubali mke wako akuzidi kipato wala usioe mwanamke aliyekuzidi kipato. Vinginevyo jiandae kisaikolojia. Jiandae kupika, jiandae kumfulia chupi na nguo, jiandae kuletewa mabwana zake ndani huku akikuita mkagongwe wote, jiandae kuitwa mwanamke, jiandae kunyimwa mbususu.

Oa mwanamke unaye mzidi kipato mbali sana, ikiwezekana awe anakuomba hadi pesa ya sukari, pedi, sabuni, hapo hata ukikoroma lazma ashuke chini na kuwa mtiifu na mnyenyekevu
 
Let him go get baby sitted elsewhere maybe he will grow some balls.
We mwanamke, Balls unataka zi-grow ziende wapi, ziwe kama mayai au.??

Life is not that serious.. Wakati ukifika ataweka mambo yake sawa... Yanini akaze msuli wakati upaja wake mdogo.
 
Yaani buku la mpira ndio limeleta yote haya
hela ya demu chungu mzee yani demu ka huna kitu suala la mda tu anakuchenjia...

Mana life sometimes linagoma unaeza kuwa mwanaume una fight ila tu kimavi dazani hutusui so bada ya mda demu anaona unamuwangia tu ukute na mtaji alishawahi kukupa mara kadhaa mambo yakabuma naturally kama zinavobuma biashara zingine ila demu akishachoka ili apate justification lazma uonekane ulikua hupambani umekaa tu unakunywa k vant....

NB : Ka mwanaume huna hela achana na mapenzi tu kazana utafute hela na ka tyr upo kwny uhusiano na demu kakuzidi hela hesabu siku tu lazma kinuke
 
Yaani buku la mpira ndio limeleta yote haya
😂😂😂😂😂😂 huyo ndio mwanamke mkuu!

Hapo yeye unakuta anaweza kuwa anakulilia shida maisha yote😅 na wadogo zake unawa support.
 
Hivi mkuu umewahi kukutana na mwanamke ambaye anakuthamini na ukiwa mkweli mkafanya maisha pamoja? Ni mimi. Ila mwanaume sawa anapokea kidogo basi kwa hicho kidogo chako nunua hata unga. Hakuna. Vocha ya buku nilimuomba tangu hatujakorofishana hadi sasa haijafika. Kweli hayo mahusiano upo na mwanaume?

Akipata shida ni mimi wa kwanza kunishirikisha. Akipata shida hakuna anayemsikiliza zaidi yangu. Lakini yeye anataka nimthamini mimi nikiwa na shida wala hana habari. Kuna siku nimeumwa mafua akagoma kuniletea chakula. Do you think naondoka sababu ya pesa mkuu?
Hapa nimekuelewa Sasa, pole. Sorry, naweza kuja PM yako mama?
 
Back
Top Bottom