nilimtolea uvivu my dia, niliyakusanya yote cku hiyo nikasema haiwezekani hapana kabisa inatosha sasa liwalo na liwe, nilimuita nikamkalisha chini, kweli nilimtolea nyongo, nilimsema vya kutosha na kumweleza kama anaona yeye ndio wa kunipangia mambo ya nyumbani kwangu bac na afungashe atimue kwao na acrudi daima,
kaka yake atawafata huko walipo, ilileta kasheshe sana lakini ilinisaidia kiac cha kutosha, mama mkwe alikuja juu sana kuhusu hilo nae nilimwambia namaanisha nilichokisema....tuheshimiane, mie sio mke mwenzake bali ni mke wa kaka yake....kuanzia hapo heshima ilianza kushika mkondo wake, kupasua nyongo napo kunahitaji moyo uwe tayari kwa lolote,
ilinilietea kasheshe sana sana na mr lakini nikakomaa nayo....hawa watu(wifi/mkwe) unatakiwa utafute mbeleko special la kuwabebea, sio warahic hata kidogo.
eh nyamayao upo dear... hongera kwa kuuvaa moyo wa chuma ndio inavyotakiwa kwa maisha yetu ya kibongo ya 'mshikamano' bila hivyo utawakuta mawifi hadi chumba chako cha kulala tena juu ya kitanda nako wanapekua mambo!!!