Mahusiano na Wakwe/Mawifi Nini kifanyike?

mama wakwe na mawifi kwenye ndoa nyingi ni bad news. na mimi huwa sioni kama kweli wanawake wanaoolewa ndio huwa chanzo cha matatizo. hapa ninichokiona ni tabia mbaya tu za baadhi yao kupenda kuingilia kwenye ndoa za kaka zao. mke huhitaji kujikomba,

kusacrifice chochote ili eti tu uwe na uhusiano mzuri na ndugu wa mume, ukiolewa you just stick to your rules, wewe na mume muwe na mipango yenu ya kuendesha nyumba/ndoa yenu na wote wanaokuja kwenu lazima waheshimu mtindo wa maisha yenu. Tatizo la waswahili tunataka hata baada ya kaka kuoa bado wazazi/madada waendelee kuwa waratibu wa maisha ya kaka... how???

matokeo yake kuingilia uhuru wa nyumba ya kaka na kuleta mifarakano isiyo na lazima,. nadhani tubadilike, kila mtu akikaa kwake akawa bize na maisha yake na familia yake hakika hautauona muda wa kwenda kuchungulia nyumba ya mwenzako na bado mtakuwa na mahusiano mazuri tu.

mimi nina mawifi 5 kati ya hao naongea vizuri na 1 tu wengine tulishatoleana uvivu. mama mkwe ndio kasheshe sijapata kuona hataki hata kuniona kisa si wa kabila la mwanae,

sijaelewa mwisho wa vita yake ni lini lakini nilimwambia in black and white ajifunze tu kunizoea na kuishina mimi kwa kuwa mie ni mwanamke kama yeye nina familia yangu na yeye ana familia yake na baba mkwe sioni wapi tunaingiliana na asiendelee kupoteza muda wake na mimi. kanuna hata kwetu hafiki na ikilazimu kuja anakaa 20 mnts anaondoka!!!!!!
 
mama wakwe na mawifi kwenye ndoa nyingi ni bad news. na mimi huwa sioni kama kweli wanawake wanaoolewa ndio huwa chanzo cha matatizo. hapa ninichokiona ni tabia mbaya tu za baadhi yao kupenda kuingilia kwenye ndoa za kaka zao. mke huhitaji kujikomba, kusacrifice chochote ili eti tu uwe na uhusiano mzuri na ndugu wa mume, ukiolewa you just stick to your rules, wewe na mume muwe na mipango yenu ya kuendesha nyumba/ndoa yenu na wote wanaokuja kwenu lazima waheshimu mtindo wa maisha yenu. Tatizo la waswahili tunataka hata baada ya kaka kuoa bado wazazi/madada waendelee kuwa waratibu wa maisha ya kaka...

Eh........mchakato unapoanzia hapo. Tupo tunaoamini (fanywa tuamini) kuwa siye waolewaji ndio wakosaji na sasa wewe unasema sio!!
Nakubali kuwa sometimes mke hata atende jema lipi anaweza akalipwa ubaya............ na kuna sehemu nyingine unakuta mama mkwe hana neno, neno liko kwa mawifi..................................
 
Tenda wema nenda zako......................... usitake kabisa kuwafwatilia hao ndugu wanatenda au kuwaza nini juu yako, utapasuka kichwa. mimi rule yangu ni kufanya yale ninayopaswa kuwafanyia/ yanayonihusu, yasiyonihusu hata sihangaiki nayo. atakayeona natenda yanayofaa sawa na anayeona sivyo atajiju.
 
haswaa dear, unachotakiwa ni kuw ana msimamo na mambo yako tu, tenda lile unalotakiwa kutenda timiza wajibu wako, huwezi kuwaridhisha binadamu. na ukiwa na msimamo usioyumba kila mtu atakuelewa hivyo na whether they like you or not itabidi tu wakuaccept kuwa ndio mke wa mtoto/kaka yao.

huwezi kuwa na watu around you ambao wana tabia zile tu unazozitaka wewe, binadamu mmoja anatofautiana na mwingine kwa kiasi kikubwa sana na ukitaka kuzifanyia kazi hizo tofauti zao ili zi-match na matakwa yako utaishia kugombana na watu bure. wachukulie vile walivyo, timiza wajibu wako endelea na maisha yako.

mie huwa namwangalia binti yangu nimemzaa mwenyewe lakini sometimes huwa kuna tabia anazo najaribu kujiuliza kazitoa wapi nashindwa kuelewa na simuelewi, na huyo nimemuweka tumboni 9 months,

sembuse mkwe umemkuta na mvi hadi kwapani, wifi na magego yake 32 mdomoni... aaghh.. spare me, siwezi kwa kweli mie najipenda nafsi yangu ikae kwa amani sitaki kelele zisizo na tija ktk maisha yangu...
 
Kweli kabisa mamito yaani aksante kwa hii rule yako but nadhani kama ndo unaishi nao nyumba moja lazima iko siku utakereka na itakuwa inakusumbua tu. Jamani mie ninavyoipenda amakni na furaha yangu yaani kitu kidogo tu kikiingilia huwa nakuwaga kama nimemwagiwa maji, naumia haswa.......mpaka najichukia sijui ugonjwa!!

Juzi kati hapa, mpenzi aliamka na uchovu, yaani kawa mgonjwa, ukimwuliza anakujibu ni uchovu tu mamii (yuko safarini) lakini siamini nahisi kuna kitu hataki nambia mwe!! sasa sijui ndo kutojiamini au vipi. The same kama naishi na mama mkwe au wifi ikahappen unaamka unamsabahi anakukalia kimya,.....au anakujibu kimkato.nawe hujamkosea na wema unamtendea , mie bado kinanisumbua sana mwenzenu nahic nitakuwa na matatizo!!
 
you can say that again..................... muda wenyewe uko wapi ya kuanza kufwatiliana na wakwe? huyo mume sina muda wa kumfwatilia, sembuse wao?
 
Eh........mchakato unapoanzia hapo. Tupo tunaoamini (fanywa tuamini) kuwa siye waolewaji ndio wakosaji na sasa wewe unasema sio!!
Nakubali kuwa sometimes mke hata atende jema lipi anaweza akalipwa ubaya............ na kuna sehemu nyingine unakuta mama mkwe hana neno, neno liko kwa mawifi..................................

ukiolewa angalau na 25yrs naamini mtu anaweza kufikiri sawasawa na ku-reason mambo, ukiwa mtoto mdogo sana huwa kuna tatizo kila unachofanya/kufanyiwa unajipekua mara mbilimbili nimekosea wapi???

mie binafsi nilishajaribu sana kufanya mambo ambayo nilidhani nawaridhisha mawifi, nilipopata watoto wangu kila nikitaka kubadilisha maisha niconcentrate na familia yangu ikawa ngumu kwao kukubali wanataka tuendelee kuw apart ya maisha yao hiyo ikawa ngumu na ikawa ni chanzo cha magomvi, wifi kabadilika, wifi anabagua wattoto wake tu,

wifi kambadilisha kaka, wifi anatuwekea vikwazo kwa kaka, wifi hivi wifi vile, nikawapiga stop nikafunga milango kila mtu akae kwake na maisha yanaendelea vizuri sana kwangu, sihitahijiki kujitesa nafsi yangu na familia yangu ili wao wafurahi... nooooo thank you! LAKINI INATAKA MOYO SANA NA MUME NAE AKUELEWE OTHERWISE LOOOH UTAONJA JOTO YA JIWE KUBADILISHA HALI!
 
Kweli kabisa mamito yaani aksante kwa hii rule yako but nadhani kama ndo unaishi nao nyumba moja lazima iko siku utakereka na itakuwa inakusumbua tu. Jamani mie ninavyoipenda amakni na furaha yangu yaani kitu kidogo tu kikiingilia huwa nakuwaga kama nimemwagiwa maji, naumia haswa.......mpaka najichukia sijui ugonjwa!!

Juzi kati hapa, mpenzi aliamka na uchovu, yaani kawa mgonjwa, ukimwuliza anakujibu ni uchovu tu mamii (yuko safarini) lakini siamini nahisi kuna kitu hataki nambia mwe!! sasa sijui ndo kutojiamini au vipi. The same kama naishi na mama mkwe au wifi ikahappen unaamka unamsabahi anakukalia kimya,.....au anakujibu kimkato.nawe hujamkosea na wema unamtendea , mie bado kinanisumbua sana mwenzenu nahic nitakuwa na matatizo!!
niliwahi kukaa na mama mkwe karibia mwaka............ ni mkorofi balaa. cha kufanya sikubadili maisha yangu. job - home - kama nina appointment na watu natoka na kurudi usiku sana, hata kama bila mwanae. sisi tuna maisha yetu, sometimes natoka na rafiki zangu bila mr, na narudi nitakapoachana nao, yeye kama hana misele atarudi nyumbani mapema.
cha muhimu tu alikuwa anapata kila kinachowezekana na kwa wakati unaowezekana, zaidi ya hapo sikuwa na la kufanya
 
Tenda wema nenda zako......................... usitake kabisa kuwafwatilia hao ndugu wanatenda au kuwaza nini juu yako, utapasuka kichwa. mimi rule yangu ni kufanya yale ninayopaswa kuwafanyia/ yanayonihusu, yasiyonihusu hata sihangaiki nayo. atakayeona natenda yanayofaa sawa na anayeona sivyo atajiju.
Amani ya bwana iwe juu yako.
 
ukiolewa angalau na 25yrs naamini mtu anaweza kufikiri sawasawa na ku-reason mambo, ukiwa mtoto mdogo sana huwa kuna tatizo kila unachofanya/kufanyiwa unajipekua mara mbilimbili nimekosea wapi???

mie binafsi nilishajaribu sana kufanya mambo ambayo nilidhani nawaridhisha mawifi, nilipopata watoto wangu kila nikitaka kubadilisha maisha niconcentrate na familia yangu ikawa ngumu kwao kukubali wanataka tuendelee kuw apart ya maisha yao hiyo ikawa ngumu na ikawa ni chanzo cha magomvi, wifi kabadilika, wifi anabagua wattoto wake tu,

wifi kambadilisha kaka, wifi anatuwekea vikwazo kwa kaka, wifi hivi wifi vile, nikawapiga stop nikafunga milango kila mtu akae kwake na maisha yanaendelea vizuri sana kwangu, sihitahijiki kujitesa nafsi yangu na familia yangu ili wao wafurahi... nooooo thank you! LAKINI INATAKA MOYO SANA NA MUME NAE AKUELEWE OTHERWISE LOOOH UTAONJA JOTO YA JIWE KUBADILISHA HALI!

sasa mtoto mdogo sana unafwata nini kwenye ndoa?
 
ukiolewa angalau na 25yrs naamini mtu anaweza kufikiri sawasawa na ku-reason mambo, ukiwa mtoto mdogo sana huwa kuna tatizo kila unachofanya/kufanyiwa unajipekua mara mbilimbili nimekosea wapi???

mie binafsi nilishajaribu sana kufanya mambo ambayo nilidhani nawaridhisha mawifi, nilipopata watoto wangu kila nikitaka kubadilisha maisha niconcentrate na familia yangu ikawa ngumu kwao kukubali wanataka tuendelee kuw apart ya maisha yao hiyo ikawa ngumu na ikawa ni chanzo cha magomvi, wifi kabadilika, wifi anabagua wattoto wake tu, wifi kambadilisha kaka,

wifi anatuwekea vikwazo kwa kaka, wifi hivi wifi vile, nikawapiga stop nikafunga milango kila mtu akae kwake na maisha yanaendelea vizuri sana kwangu, sihitahijiki kujitesa nafsi yangu na familia yangu ili wao wafurahi... nooooo thank you! LAKINI INATAKA MOYO SANA NA MUME NAE AKUELEWE OTHERWISE LOOOH UTAONJA JOTO YA JIWE KUBADILISHA HALI!

Muhanga aksante sana kwa shule hii.............jamani natamani ungeendelea kuhadithia! maana huo ujasiri ndo bado wengi tunaukosa Ni somo zuri sana kujitambua kuwa unahitaji kuijenga familia yako . na si kwa akina dada tu hata wakaka wakiielewa hii nadhani jamii itabadilika. Aksante muhanga, ubarikiwe
 
niliwahi kukaa na mama mkwe karibia mwaka............ ni mkorofi balaa. cha kufanya sikubadili maisha yangu. job - home - kama nina appointment na watu natoka na kurudi usiku sana, hata kama bila mwanae. sisi tuna maisha yetu, sometimes natoka na rafiki zangu bila mr, na narudi nitakapoachana nao, yeye kama hana misele atarudi nyumbani mapema.
cha muhimu tu alikuwa anapata kila kinachowezekana na kwa wakati unaowezekana, zaidi ya hapo sikuwa na la kufanya

Okay Fixed nimekuelewa so sometimes ni zile nidhamu zetu za uwoga....unataka mama mkwe akuone ni mwanamke wa kiafrica kabisa, anaingia jikoni kumpikia mumewe, anampelekea maji ya kuoga, anampa glasi ya maji ya kunywa na goti linapigwa n.k. kiasi kwamba unaogopa hata kwenda kwa jirani kusogoa achilia mbali kutoka out na friends pasipo mumeo na kurudi usiku.
 
ndo maana yake MJ1.
mimi napenda sana kupika, lakini siyo kila siku mtu unakuwa na mood ya kupika. sasa kinachotokeaga, huyo mama akiwepo, pia sijilazimishi kupika, kama najisikia napika, kama sijisikii atapika mdada......... na wala sijisikii vibaya. na sipendi kufua, so, hata mama akiwepo sifui.................... that's me!
 
Muhanga aksante sana kwa shule hii.............jamani natamani ungeendelea kuhadithia! maana huo ujasiri ndo bado wengi tunaukosa Ni somo zuri sana kujitambua kuwa unahitaji kuijenga familia yako . na si kwa akina dada tu hata wakaka wakiielewa hii nadhani jamii itabadilika. Aksante muhanga, ubarikiwe

amina. kwenye maisha kubali ku-take risk ili ubadilishe baadhi ya mambo, be urself, lean to depend on yourself, lean to care & love yourself . wengi hawatapenda au kukuelewa lakini ndio hali halisi u have to hakuna njia ya mkato.
 
Nyamayao, Unaweza kushare siri hiyo ya kuweza kuwa marafiki wakubwa kwa sasa hivi.................ASANTE

nilimtolea uvivu my dia, niliyakusanya yote cku hiyo nikasema haiwezekani hapana kabisa inatosha sasa liwalo na liwe, nilimuita nikamkalisha chini, kweli nilimtolea nyongo, nilimsema vya kutosha na kumweleza kama anaona yeye ndio wa kunipangia mambo ya nyumbani kwangu bac na afungashe atimue kwao na acrudi daima,

kaka yake atawafata huko walipo, ilileta kasheshe sana lakini ilinisaidia kiac cha kutosha, mama mkwe alikuja juu sana kuhusu hilo nae nilimwambia namaanisha nilichokisema....tuheshimiane, mie sio mke mwenzake bali ni mke wa kaka yake....kuanzia hapo heshima ilianza kushika mkondo wake,

kupasua nyongo napo kunahitaji moyo uwe tayari kwa lolote, ilinilietea kasheshe sana sana na mr lakini nikakomaa nayo....hawa watu(wifi/mkwe) unatakiwa utafute mbeleko special la kuwabebea, sio warahic hata kidogo.
 
sasa mtoto mdogo sana unafwata nini kwenye ndoa?

kuna factors nyingi zinapelekea wadogo kujiingiza kwenye ndoa na nikisema wadogo simaanishi eti 10, 14 yrs, namaana 16-22 yrs kwa mikiki mikiki ya maisha ya ndoa za ck hizi kwa kweli huwa ni ngumu sana kumudu, labda muolewaji abahatike kupata familia iliyo na upendo wa kuchukuliana kila mtu kwa jinsi yake otherwise ni tatizo...
 
Back
Top Bottom