Mahusiano na Wakwe/Mawifi Nini kifanyike?


Nauliza tu je kuna vitu maalumu ambavyo ukiviobserve vema vinawezatupunguzia hizi clashes?
Nini ambacho tunawezamfanyia mama mkwe/wifi ili tuishi nao kwa amani na upendo?
What are the limits inapokuja katika mahusiano yetu na hawa wapendwa
Are there any sacrifices ambazo sisi kama wake tunapaswa kuzifanya ili tuepushe migongano hii?

Kuna hii e-mail mama mkwe mtarajiwa aliituma kwa the bride-to-be, bahati mbaya ika leak kwenye vyombo vya habari last month. This is a true story (BBC - Newsbeat - Mum-in-law's critical email about bride goes viral). Inaweza kukupa mwanga vitu gani ambavyo mama mkwe hataki. Kumbuka signs za kutoelewana zinaanza hata kabla ya kuolewa (pale tuu unavyokuwa in contact na watu wa upande wa mume mtarajiwa) hasa ukizingatia sisi wanadamu tunapenda sana ku make assumptions and kuwa na prejudice pale tunapomwona mtu kwa mara ya kwanza.

An email to a bride-to-be from her future mother-in-law has gone viral on the internet. Heidi Withers was sent a list of rules by Carolyn Bourne, the stepmother of her fiance Freddie Bourne, after she visited the family home in Devon in England. The 29-year-old bride to be was apparently shocked to be told she acted "like a brash celebrity" and that she had a "lack of manners". So, she forwarded the email to her friends. They sent it to others and the message was forwarded around the world. So, here is the email.

From: Carolyn Bourne

To: Heidi Withers

Subject: Your lack of manners


WHEN you are a guest in another's house, you do not declare what you will and will not eat - unless you are positively allergic to something.

YOU do not remark that you do not have enough food. You do not start before everyone else. You do not take additional helpings without being invited by your host.

WHEN a guest in another's house, you do not lie in bed until late morning in households that rise early - you fall in line with house norms.

YOU should never ever insult the family you are about to join at any time and the most definitely not in public. I gather you passed this off as a joke but the reaction in the pub was one of shock, not laughter.

YOU regularly draw attention to yourself. Perhaps you should ask yourself why. No-one gets married in a castle unless they own it. It is brash celebrity style behaviour.

I understand your parents are unable to contribute very much towards the cost of your wedding. (There is nothing wrong with that except that convention is such that one might presume they would have saved for their daughters' marriages.) If this is the case, it would be most ladylike and gracious to lower your sights and have a modest wedding as befits both your incomes.

One could be accused of thinking that Heidi Withers must be patting herself on the back of having caught a most eligible young man. I pity Freddie.
 
..........Ah The Finest umenikumbusha heartbreaker wangu ambaye tulishafikia mbali, nshafahamika kwao akasepa kabla ya kufunga pingu za maisha.....akampata mjuzi, mrembo MwanajamiiOne na surale ka panya nikaachwa nalia na mito na kujifunika shungi la aibu. Leo hii anarudi kwa madai eti Mamake ananitaka mie! (Emotional roller coaster)......Sasa hapa najiuliza je ningeingia bado huyu mama angekuwa na upendo huu au ndo kwa vile yule ndie aliolewa na hawaivi!!? najiuliza tu.

Lakini mbona sijawahi kusikia matatizo ya mke na shemeji zake? (yaani kaka/ wadogo wa kiume wa mumewe?) kama ni suala la kaka yao kupunguza attention kwa ndugu zake kwa nini mama na mawifi tu ndo iwaume?
Unajua ni vigumu sana kukuta kaka/wadogo wa kiume wameingilia ndoa ya shemeji yao mara nyingi unakuta wanapatana sana, pili hana muda wa kuanza kufuatilia ndoa ya kaka/shemeji yake wakati yeye naye ana mchumba wake tofauti na mawifi au mama (maana hawa ni kitu kimoja) ambao utawakuta wanajadili sana ndoa ya kaka/mtoto wao
 
Upendo ndo dawa!Upendo tafsiri yake kumkubali mtu bila ya masharti,yaani haijalish yeye anakupa au kukufanyia nini wewe kwako ni furaha tu,

Unapokuwa na mtu au mama mkwe mkorofi au wifi wewe wapende furahi nao haijalishi wanakusema wanakusengenya ama la, cha kuzingatia ni kuangalia kama anaweza kufanya mambo ambayo yanaweza kukudhuru kimwili,

Madhara ya hisia mara nyingi mpaka wewe mwenyewe ukubalini ndo utadhurika,ukiwa na upendo kwa maana ya kujua maana yake hakuna kitakachokusumbua!
 
Mimi nafikiri tatizo ni attitude ambayo wengi wamekuwa nayo hata kabla ya kuingia huko kwenye ndoa. Mtu anaanza kutengeneza mikakati ya kupambana kabla ya kuingia huko.

Kwa uzoefu wangu, kama ukiwaona hao wakwe ni wazazi wako (maana wamekuzalia mume), utawaheshimu na kuwapenda kama wazazi wako mwenyewe, nafikiri wala hapatakuwa na malumbano ya aina yeyote.

Naamini katika hii kanuni...UKITOA UPENDO UTAPOKEA UPENDO. Na UKITENDA MEMA UTAPATA KIBALI.....

Stay blessed and have a wonderful weekend.
 
Suala hili huwa linanishangaza sana hasa ni namna mwanamke anavyoweza kuonesha pande (sura?) mbili ambazo zipo tofauti (Mkwe/wifi na mke).

Yaani kwa mfano, kwenye uhusiano ambao yeye ndiye dada anabehave tofauti (towards mke wa kaka yake) na mwanamke huyohuyo anabehave tofauti kwenye uhusiano ambapo yeye ndio mke (towards dada/mama wa mumewe).

Hii duality haionekani sana kwa wanaume.
 
kwa mfumo huu wa maisha yetu ya kitanzania, yaani extended families................
mahusiano mengi ya wifi/mkwe Vs mke ni kama paka na panya.......


ngoja ntarudi baadae kidogo MJ1!!!!!!!!

Mh bacha hapo pa extended family hapo..hebu urudi haraka utoe shule hapa mydia.

Recently, rafiki yangu aliyekuwa ameolewa na rafiki yangu (wote ni marafiki zangu) baada ya kuachana na huyo mumewe yaani anaumwa......si kwamba anaumwa kwa kuwa kaachana na mumewe,

anaumwa kwa kuwa hajui atawahandle vipi mawifi na wakwe ambao kwa kipindi chote cha ndoa (miaka almost 4) walikuwa ni sehemu ya maisha yake- walimpenda kuliko na kwao yeye walimfanya dada from another mother!!

Na wanampenda mpaka kesho kiasi kwamba kila akisema ajide-ttach na Ex- wake anaambulia changamoto kwani kwenye shughulishughuli za familia yaani yeye ndo anawekwa sometimes kiongozi wa kamati

n.k ilimradi tu anahusishwa kama family member. ......Hadi namwonea huruma!
 
Mimi nafikiri tatizo ni attitude ambayo wengi wamekuwa nayo hata kabla ya kuingia huko kwenye ndoa. Mtu anaanza kutengeneza mikakati ya kupambana kabla ya kuingia huko.

Kwa uzoefu wangu, kama ukiwaona hao wakwe ni wazazi wako (maana wamekuzalia mume), utawaheshimu na kuwapenda kama wazazi wako mwenyewe, nafikiri wala hapatakuwa na malumbano ya aina yeyote.

Naamini katika hii kanuni...UKITOA UPENDO UTAPOKEA UPENDO. Na UKITENDA MEMA UTAPATA KIBALI.....

Stay blessed and have a wonderful weekend.

Kweli to some extend Kerren nakubaliana nawe but not kila wakati ukitoa upendo utapokea upendo sometimes unapokea uvundo............. nadhani kuna watu wameumbwa hivyo tu! kuna kitu kama wivu hivi kama sikosei nakumbuka nyamayao alishatueleza hapa vituko vya mama mkwe wake........... alipomnunulia sijui nguo sijui zawadi, akaziacha asibebe hata moja; au akimwona kavaa nguo nzuri ananuna!!

Mie experience nilonayo ni ya Mamangu mzazi na mkwe/wifize................. wanapendwa kwa kiwango kile mtu anachowezafikia lakini cha ajabu walikuwa wanamfanyia visa hadi balaa lakini wakienda kwka Babangu mdogo ambako mama mdogo alikuwa ni character kwa kweli- anawasimanga wazi wazi na kuwakejeli lakini kutwa kucha walikuwa wanalilia kwenda kule!!!
 
Sijui nisemeje, ila ni tatizo kwa wanawake, ila AD amenena. Kinachosumbua kwa kweli mara nyingi ni kukosekana kwa upendo, wivu na ubinafsi usio na msingi.

Uelewa wa masuala ya ndoa pia ni tatizo. Utakuta mwanamke anakuwa na chuki na wifi yake na wakati huo huo yeye hajaolewa, na mara nyingi akiolewa ndio anajitambua kwa mbali sana. Na mawifi walioolewa utakuta ndoa zao zimewashinda na hawana muelekeo sasa kwa kuwa wifi yake anaishi vizuri na kaka yake anakuwa na wivu fulani na wakati mwingine kutaka kusababisha ndoa ya kaka yake iwe kama yake, hapo ndio matatizo yanapoanza.

Hebu wanawake tubadilike tufurahie ndoa zenye amani za kaka zetu kuliko kushabikia migongano, tuajipatia laana bure kutoka kwa Mungu
 
Mh bacha hapo pa extended family hapo..hebu urudi haraka utoe shule hapa mydia.

Recently, rafiki yangu aliyekuwa ameolewa na rafiki yangu (wote ni marafiki zangu) baada ya kuachana na huyo mumewe yaani anaumwa......si kwamba anaumwa kwa kuwa kaachana na mumewe, anaumwa kwa kuwa hajui atawahandle vipi mawifi na wakwe ambao kwa kipindi chote cha ndoa (miaka almost 4)

walikuwa ni sehemu ya maisha yake- walimpenda kuliko na kwao yeye walimfanya dada from another mother!! Na wanampenda mpaka kesho kiasi kwamba kila akisema ajide-ttach na Ex- wake anaambulia changamoto kwani kwenye shughulishughuli za familia yaani yeye ndo anawekwa sometimes kiongozi wa kamati n.k ilimradi tu anahusishwa kama family member. ......Hadi namwonea huruma!

MwanajamiiOne mimi naomba nizungumzie suala la Attitude

Hili tatizo la Wake/Mawifi/Wakwe Relation limejenga attitude mbovu sana kwa Wanawake wengi kabla hawajaolewa ( Siwalaumu kwa sababu ni mfumo). Wanawake wengi wanaingia katika Ndoa wakiwa na Notion kwamba " Mawifi na Wakwe ni Wasumbufiu" na hili huwa linepelekea pale panapotokea tatizo dogo la Kibinadamu

( lililosababishwa na Wifi/Mkwe) wake wanaover react sana na wanasema Wifi yangu ana gubu au mama mkwe ana gubu. Kuna Mambo ambayo yanatokea na yanakuwa hayaathiri Ndoa zetu ni vyema tukayazungumza na kuyapuuza ila tukiyaweka Mioyoni mwetu yatatuumiza bure
 
Suala hili huwa linanishangaza sana hasa ni namna mwanamke anavyoweza kuonesha pande (sura?) mbili ambazo zipo tofauti (Mkwe/wifi na mke). Yaani kwa mfano, kwenye uhusiano ambao yeye ndiye dada anabehave tofauti (towards mke wa kaka yake) na mwanamke huyohuyo anabehave tofauti kwenye uhusiano ambapo yeye ndio mke (towards dada/mama wa mumewe). Hii duality haionekani sana kwa wanaume.
Ndio maana wengi utasikia waambiwa "Subiri na wewe uje uolewe"
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kweli to some extend Kerren nakubaliana nawe but not kila wakati ukitoa upendo utapokea upendo sometimes unapokea uvundo............. nadhani kuna watu wameumbwa hivyo tu! kuna kitu kama wivu hivi kama sikosei nakumbuka nyamayao alishatueleza hapa vituko vya mama mkwe wake........... alipomnunulia sijui nguo sijui zawadi, akaziacha asibebe hata moja; au akimwona kavaa nguo nzuri ananuna!!

Mie experience nilonayo ni ya Mamangu mzazi na mkwe/wifize................. wanapendwa kwa kiwango kile mtu anachowezafikia lakini cha ajabu walikuwa wanamfanyia visa hadi balaa lakini wakienda kwka Babangu mdogo ambako mama mdogo alikuwa ni character kwa kweli- anawasimanga wazi wazi na kuwakejeli lakini kutwa kucha walikuwa wanalilia kwenda kule!!!

Ni kweli MJ1, sio kila la wakati utapokea upendo. Unahitajika uvumilivu katika hili na msaada wa Mungu kwa kweli, sio rahisi sana.
 
jibu ni jepesi kama kila mmoja atakaa kwake tatizo ni hii kutegemeana kupita kiasi................................ndipo vurugu zote zinapotokea...................mama mkwe anaona mtoto ni shamba huku akishabikiwa na watoto wake hususani wa kike..............................watu wakae mbali na walio ndani na ndoa.............................kama kuna kuwatembelea iwe mara moja moja tu..................vinginevyo shida itaendelea kuwepo...............utashangaa kuona mawifi ndoa zao zina mushkeli lakini kazi kutolea macho ndoa ya kaka yao..............wakidai wifi yao anamwendesha kaka yao.........................kumbe kaka yao mwenyewe amejiridhikia na yote yanayomsibu....................
 

4. Sikatai kwa wake zetu kuwatunza, kuwapenda na kuwaheshimu wazazi lakini ni muhumu wazazi na ndugu wakatambua kuwa hawana haki ya kuingilia na kuhamua yanayohusu nyumba familia yako wewe mwanaume. Tatizo hapo ni wazazi na ndugu upande wa mwanaume kutokutambua na kuheshimu mamlaka halali ya familia na kutaka kuendelea na uhuru walikuwa nao kwa kijana wao kabla ya kuoa. Wakati mwingine sio kwa madada tu hata mashemeji nao hutaka kuwa sehemu ya amri na maagizo kwa mke wa ndg yao hatimaye mwanamke anabaki kujiuliza ivi nimeolewa na watu wangapi?...

Mkirua,
Tatizo, familia nyingi bado zimeelemea zaidi upande wa kiumeni (ukoo ni wa mume). Bado familia nyingi zimejipanga katika koo - extented families (ingawa zinaanza kupungua kuelekea kwenye nucleated families).

Traditionally, wengi bado wanaona mwanamke 'anaolewa' na ukoo wa kiume (and not vice versa....nadhani inaendana na dhana nzima ya kutoa mahari). Kwa utaratibu huu bado sio rahisi kwa mwanaume kudisengage sana kutoka kwenye ukoo wake baada ya kuoa na wanaukoo bado wanafeel kwamba wana 'mamlaka/haki' (na wajibu?) fulani kwa mke (na watoto) wa ndugu yao ('mke wao')....utaratibu huu una pros and cons zake.

Pengine imbalance hii kwa kiasi fulani inaweza kuelezea mikwaruzano baina ya mawifi......kwa sababu tupo kwenye transition ya kutoka kwenye fully extended family kwenda kwenye nucleated families - familia nyingi utaona zina some elements/characters of both systems ingawa zimeelemea zaidi kwenye extended family).
 
Rejao.......hili ni geni kwangu aksante mwaya unajua mara nyingi nilikuwa najisahau na kudhani kuwa mkaka akiwa bado hajaoa huwa si kivile saana kwa ndugu zake (apart from mambo ya finances au misaada ya hapa na pale) okay so unachotushauri hapa kina dada, tuweke nafasi na effort ya kuwakumbusha wenzi wetu majukumu yao kwa dada na mama zao (majukumu si lazima pesa au mali- hata kuwa karibu nao kisalamu na kujuliana hali ni jukumu pia au siyo?)

Mimi sijui kwa sababu nilibahatika kupata mama mkwe na mawifi (5) ambao yaani they are lovely kwa kweli.

lucky u...mie ninae mmoja but ilikuwa kama ninao 10 hivi, sasa hivi amekuwa rafiki mkubwa huwezi kuamini kwamba ndio yule niliepelekeshana nae kwa kila namna....
 
lucky u...mie ninae mmoja but ilikuwa kama ninao 10 hivi, sasa hivi amekuwa rafiki mkubwa huwezi kuamini kwamba ndio yule niliepelekeshana nae kwa kila namna....

nimefurahi kusikia hii habari dearest....kweli yote yawezekana!
 
Back
Top Bottom