brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,301
..
Wapo wanaowekeza hadi wanaume wanasahau na kutelekeza familia zao. Wewe hujaona? Kuna wadada wala hawataki kuolewa, wananogewa kuwa michepuko!!!
kweli kabisaaaa, yani mtu anakuwa provided kila kituuu, gari na matengenezo plus mafuta, nyumba na kila kitu ndani,shopping, world travelling, jamaa atapigiwa saa saba usiku na bado atamuacha mkewe na kuenda kwa mchepuko...jamani nyie wanaume nyieeee hm!
Hapo lazima limbwata lipite....
Nawaonea huruma sana wanaume maana wanalishwa madude ya ajabu wadada skuiz na elimu zetu tunapanga foleni kwa babu...