Mahusiano na mume wa mtu ni shughuli pevu

Mahusiano na mume wa mtu ni shughuli pevu

Hahahaaaa kweli tena maranyingine bora kutumika kifaida na mme wa mtu kuliko kutumika kihasara na singo boy

Now u ar in my line of thinking, actually hiki ndo nilikuwa namaanisha kule kwa kale katoto, sema we ukaja na mlinganisho wako huu nikaone nikuache hatutaelewana

You: Inalingana na nyumba wanazoishi hao waume? Hiyo ndio ile bwana kapata mil 2, anatoa laki 3 Kwa kimada na mil 1 laki 7 anapeleka zikafanye maendeleo nyumbani.
 
Hahahaaaa kweli tena maranyingine bora kutumika kifaida na mme wa mtu kuliko kutumika kihasara na singo boy
Umeona eeh? waswahili wanasema ni bora SHETANI unayemjua kuliko MALAIKA usiyemjua......japo siungi mkono watu kubeba waume za watu
 
kweli kabisaaaa, yani mtu anakuwa provided kila kituuu, gari na matengenezo plus mafuta, nyumba na kila kitu ndani,shopping, world travelling, jamaa atapigiwa saa saba usiku na bado atamuacha mkewe na kuenda kwa mchepuko...jamani nyie wanaume nyieeee hm!

Sasa wataolewa wakati anapata kila kitu wamechoka kusikia ndoa ni chama cha kuaga teh
 
nishawahi tongozwa na waume za watu wengii nikifikiria hizo point ulizoelezea natokaga ndukii balaaa mungu niepushe na balaa hiloo looo......
 
Binafs nlishawah date na mume wa mtu tena hta hakua mbaba...ni kjana tu .na mbya zaid alikua anasema madhaifu ya mkewe..heh si ndio nkafanya advantage..yule mwanaume alikua tayar kumuacha mkewe..ila nliwaza sana..malipo dunian akhera mahesabu nmemfanyia mwenzangu leo kesho kwangu......nanyie wanaume kaeni na madhaifu ya wake zenu msipeleke kwa michepuko
 
Ila nna shoga angu..mume wa mtu alianza kulala sikumojamoja..ikaja wiki..now miez yuko kwake..alimpangia chumba sasa kampangia bonge jumba kimara .na kaz kamtafutia na sasa a
 
Before everything you said.... Why are you after someone's husband?

STOP it..... He will surely not leave his wife for you idiot.... Are you regretting? Are sad that you didn't succeed putting some marriage apart?
 
Bandiko lako ni zuri sana kwa walio liziki.

But kwa wasio liziki ndo hivo, tuzidi kuwaombea kwa mnyazi Mungu, maana hakuna namna.
 
Kuna waume za watu wanaspend night tena week nzima
 
Ndio maana wanaowapatia wanawachuna mpaka ngozi. Ladies unapo mdeti mume wa mtu ukae ukijua haya mambo.

1. The only thing he wants from you is sex, After Cumming he will be gone. He will only sweet talk you again when he needs some sex.

2. He can spend a day with you touring beautiful places but at the end of the day he will go back to his ...wife and kids who will be missing him.

3. He is never going to leave his kids and wife because of you. He will only be fooling you all the time with words like “I will marry you, I will build for you a house, I will buy for you land, I will take you to the driving school, I will buy for you a posh car” and many more different lies.

4. Keep it in your minds that you’re not the only one he sleeps with apart from his wife. If he can cheat on his wife with you then can’t he cheat on you with some other lady? Seriously he does. He spends his time and money on other babes just like the way he does with you.

5. He really loves his wife that is why he married her, he can’t divorce her and he can’t marry you. You are just his side dish to take off his stress. So his loving you is for fun and temporary.

6. He will dump you after using you for some other fresh babe; he won’t fulfill what he promised you. Those will be lies that he told you just to soften your heart and to get what he wanted.

7. Getting pregnant won’t fully trap him; He has his real kids and wife at home that he can show to the friends and relatives. You and your kids will be hidden.

8. His property and money are his, children and his wife. It’s very hard to get a share on his property.

Itaendelea....


Na usikute wewe unadeti na mume wa mtu........
 
Back
Top Bottom