Mahusiano na mume wa mtu ni shughuli pevu

Mahusiano na mume wa mtu ni shughuli pevu

..wewe ukiwekeza tu naanza visa hadi akuache..bado nna wivu ujuwe...
Nyota inang'aa ex kipenzi, huwezi kuizima mwaka huu, labda usubiri mvi zijae kichwani..

Hebu leo uniambie kabisa hivyo visa una plan ya kuviacha lini? Maana vinanifanya niwe nakumiss kila siku wakati natakiwa nikusahau, nataka nikawekeze na mie kwakweli.
 
Sasa wewe umeshasema ni mume wa mtu.. halafu unataka awe wako??
 
Hutegemea kwakweli, wapo walowaacha wake zao sababu ya michepuko na wapo ambao wanashughulikia talaka now ili wawaache, wengine wameanza visa ili wajitoe,wengine wanafikiria kuanza visa ili wajitoe.
Hivyo viburi vya kujiona ushaolewa na umefika mwisho ndivyo vinavyoponza wanawake wengi now days, kiburi hadi kwa mume,majukumu yako huyataki,full mashindano,wewe ndio wewe huambiwi kitu, umejiachia achia tu, wht do you expet? Jipeni moyo tu ila cha moto mnakiona.
Wanawake tujitambue na tumpe Mungu nafasi yake, hivyo tu yaani.
 
..hayo ya matumbo ni maumbile tu ya mwanadamu ambayo hata wewe unaweza kuwa nayo, siongelei hayo..
..kwa hiyo wao wakiona uvivu kuinama nyie viruka njia ndio mnaamua kuwamanulia kwa ujira wa quality time sio..
..hayo ya kupika, kuosha vyombo na kufanya kazi za home ni kuwapunguzia wanawake kazi coz nao wanatoka na kusaka pesa kama waume zao..sioni tatizo..!

Bibie punguza munkhari haya majibu naya muhusika
 
Unafikili mila mwanamke anatamani ndoa????

Kuna watu wamezaliwa kuwa wake,ndo hao wake zenu

Nakunawengine hawezi kuwa mke ,kwahiyo yuko okay tu kuwa mchepuko na wala hakuna regrate...


Wengi wa viruka njia ni looser katika maswala ya ndoa na mahusiano, wapo tu kuharibu pale wenzao wanapojitahidi kujenga. Hayo mengine ni kujiweka kwenye comfort zone ili mradi asipoteze kila kitu.
Ni wachache sana wanaamua kuwa single kwa ridhaa yao. Walio wengi wanaona bora waharibu tu kwa wenzao ambao tayari wana miji yao. Na ndio maana wapo tayari kufanya lolote, hata kwenda kwa babu ili mradi tu aweke mambo sawa kumkamata mume wa mwenzake...
Hata hivyo, vitabu vya Mungu vinasema, itafikia wakati wanawake wataomba kuitwa ubini wa waume..meaning mtakuwa mnatongoza. Mnaanza kwa kasi ya mwanga wa jua.
 
Nina vichwa vyote viwili wangu.
Unakubali chochote kwa ujira wa quality time anayokupa, ndivyo waruka njia wengi walivyo, labda with an exption of you.

Kwani hiyo quality time nikwangu pekee????

Hata yeye anatumia pesa muda kupata hicho nacho MPA kama hakina maana si ange baki na mkewe wa cheze kombolela

Mwanze nyie kubadilika alafu michepuko tutakosa wa kuchepuka nae...
 
Hebu leo uniambie kabisa hivyo visa una plan ya kuviacha lini? Maana vinanifanya niwe nakumiss kila siku wakati natakiwa nikusahau, nataka nikawekeze na mie kwakweli.


Huwezi kuacha kunimisi. Ndio maana ukaitwa ex kipenzi.
 
Jaman mume wa mtu ni wa mtu tuu hata ufanye nini iko siku atarudi kwenye familia yake.iko hv..hii ni kweli kabisa kuna baba mmoja alitembea na hg wake mpka kufikia hatua ya kuondoka nyumbani na kwenda kumjengea nyumba na kuishi pamoja kama mke na mume na hiyo ilikuwa mwaka1994 akaiacha familia yake kabisa ila kwenye mambo muhimu ya kifamilia alikuwa anaonekana.kwa kipindi chote hicho alichokuwa anaishi na huyo hg walifanikiwa kupata mtoto mmoja.kwa bahati nzuri alimwachia mkewe wa ndoa kila kitu ni pamoja na nyumba kubwa sana yenye kila kitu ndani na mabwaw ya kuogelea.naomba nifupishe,mungu alivyokuwa waajabu sasa mwaka jana kamrudisha kwa mkewe na kumpigia magoti na majuto kibao japoa kwa mke ilikuwa ngumu sana ikabidi viongozi wa dini waanze kumuombea msamaha.na tunavyojua katika hali ya kawaida vitabu vya dini na viongozi wake wakihusishwa katika kupatanisha,lazim msamaha wa kweli uwepo.basi mke ndo kukubali tena kurudiana na mme wake.baada ya muda si mrefu mume kaanza kuumwa kisukari mwishoni mwa mwaka jana akaaga dunia "may his soul rest in peace"kwahiyo hg kaachwa na mtoto ambaye kwa upande wa mwanaume wamekiri kuwa hawamfahamu.kwahiyo ndio hivyooo mtu atapiga sana sarakasi na mume wa mtu lkn END OF THE DAY ATARUDI KWA MKE WAKE TU.upende usipende
 
Back
Top Bottom