Single mother
Senior Member
- Jun 10, 2015
- 158
- 57
wacha upinzani waboreshe chama tawala kisijisahau? tehtehhhhg
wacha upinzani waboreshe chama tawala kisijisahau? tehtehhhhg
Wacha tu niwe mkweli,
Sijui ni uwivu au nini ila kukaa na mtu 24/7 kila kitu my hubby kumtaja taja wakati wenzie bado hata harufu za engagement bado inaboa kwakweli ukizubaa mmeo tunaye
Tunajua umeolewa na unapendwa inatosha ila hizo show off za kutuumiza roho agaa
Khaaa!! mkuu umenichekesha sana ujue!!
nyumba kubwa umeona hii? naona inareflect ile war uliyoitaja pale mwanzo
Ha ha ha ...ulidhani nadanganya...sasa hivi itatungwa sharia isiyo rasmi inayokataza kutupia picha za mapozi za mke na mume facebook...
Mimi hawa watu nna interact nao sana...ukiona anaangalia simu yake afu anasonya jua ni picha hizo...
Huwa nikimtembelea hubby job navaa kibakora bakora...afu nawacheki tu walionuna huku nacheka kimoyo moyo...kani mi ndo nilisababisha uwe hivyo hadi uninunie...
Na hubby inaelekea bakora zangu anazipenda...utamsikia njoo leo ufanyie kazi ofisini kwangu...(mara nyingi nakataa ...wananitia huruma)
Wee mmama chunga bakuli plastic lako, hamkosekanagi mnao haribu mambo, shindwaaaa roho ya chokochoko, soma facts hizo hapo uzielewe uzifanyie kazi, kwani ni wapi nimesema ninamaswaiba na mume wa mtu? Usihame mada we bidada. Kwaivo ulitaka nianzishe mada nikimbie? Nimevunja amri ya ngapi labda kwa kukaa hapa kwenye uzi? Inaonesha tunaenda sawa hapa mimi na wewe, Mxiiieew. Hayo mafumanizi yanakupata wewe na maba.sha wenzako maana mimi hata ningedeti mume wa mtu ni kwa akili yes ningechuna hadi ngozi kwani vipi. Hem nitolee upuuzi hapa we size yako kujipoza na ma bar maid.
Chunguza kwa makini asilimia 95 ya wanaojiita wanaharakati ndoa zimewashinda wamekimbia na asilimia 5 iliyobaki wako kwenye ndoa ila wanasugua benchi wameshaharibu malalo yao. Kuna wakati mke wangu alilishwa sumu ya wanaharakati kama siyo kuwahi maziwa sijui ndoa yangu ingekuwa wapi....bahati nzuri alikuja kugundua mwanaharakati wake anachezea kadi ya njano ndoa imemshinda anasuluhishwa hata na watoto wadogo.Na hao wanaojiita wanaharakati ndio wanatuvurugia ndoa hatari, wengine hata ndoa hawana, na wenye nazo wanazinyenyekea ndoa zao hatari, ila kutwa kudanganya na kuwajaza wenzao upepo, na wanawake tulivyo na akili fupi hataaa hatujisumbui kuwasoma waume zetu tunataka kuaply kila tunachosikia, tukiangukia pua ndio tunatafuta mchawi.
Chapaa wanapokea kwa kubadilishana na burudani anayotoa lakini mume wa mtu ni wa mtu tu, huwezi linganisha na chapaa zinazokwenda kwenye familia labda awe karogwa
Ila msihofu njoo mimi mme wamtu na ninakea haijalishi raha utakula! Malaika mimi veepee kaabudi kamoja?
Hahahaaa acha kuisemea mioyo ya watu wewe!
1.kuolewa haikugurantee kuwa wewe ndiwe peke ako unayependwa.
2. Kuhusu suala la pesa sijui kama kuna tatizo kama mi napewa zangu na wewe unapewa zako!
3.kupokea chapaa kwa kubadilishana na burudani ni bora kuliko kubiringwa biringwa bure!
4. Kuna sababu nyingi Sana za mume wa mtu kutoka nje (sio wote wanatoka nje kwasababu ya sex)
5.kama unaamini ametoka kwa kurogwa na we karoge ili arudi!
Ni kweliNdio maana wanaowapatia wanawachuna mpaka ngozi. Ladies unapo mdeti mume wa mtu ukae ukijua haya mambo.
1. The only thing he wants from you is sex, After Cumming he will be gone. He will only sweet talk you again when he needs some sex.
2. He can spend a day with you touring beautiful places but at the end of the day he will go back to his wife and kids who will be missing him.
3. He is never going to leave his kids and wife because of you. He will only be fooling you all the time with words like "I will marry you, I will build for you a house, I will buy for you land, I will take you to the driving school, I will buy for you a posh car" and many more different lies.
4. Keep it in your minds that you're not the only one he sleeps with apart from his wife. If he can cheat on his wife with you then can't he cheat on you with some other lady? Seriously he does. He spends his time and money on other babes just like the way he does with you.
5. He really loves his wife that is why he married her, he can't divorce her and he can't marry you. You are just his side dish to take off his stress. So his loving you is for fun and temporary.
6. He will dump you after using you for some other fresh babe; he won't fulfill what he promised you. Those will be lies that he told you just to soften your heart and to get what he wanted.
7. Getting pregnant won't fully trap him; He has his real kids and wife at home that he can show to the friends and relatives. You and your kids will be hidden.
8. His property and money are his, children and his wife. It's very hard to get a share on his property.
Itaendelea....
Khaaa binti k huu msuto wote wangu? Hahahaaaa nacheka tu hapa
Kweli kabisa mkuu inategemea
Mi kuna ninaowafahamu wanafaidi kuliko hata nyumba kubwa
Imagine unapata sms kama hii kutoka kwa mwenye mumewe utafanyaje?.."NAJUA MUME WANGU ANAKUPENDA NAWE WAMPENDA PIA TAFADHALI MPENDE MUME WANGU KAMA NINAVYOMPENDA"
Hahahaaa Hapana dear!
Mi naongea tu kutokana na ninayoyaona na kuyaexperince!
Eat and run ndio fomula inayowafaa ninyi!!