Mahusiano na mume wa mtu ni shughuli pevu

Mahusiano na mume wa mtu ni shughuli pevu

Ndio maana wanaowapatia wanawachuna mpaka ngozi. Ladies unapo mdeti mume wa mtu ukae ukijua haya mambo.

1. The only thing he wants from you is sex, After Cumming he will be gone. He will only sweet talk you again when he needs some sex.

2. He can spend a day with you touring beautiful places but at the end of the day he will go back to his wife and kids who will be missing him.

3. He is never going to leave his kids and wife because of you. He will only be fooling you all the time with words like “I will marry you, I will build for you a house, I will buy for you land, I will take you to the driving school, I will buy for you a posh car” and many more different lies.

4. Keep it in your minds that you’re not the only one he sleeps with apart from his wife. If he can cheat on his wife with you then can’t he cheat on you with some other lady? Seriously he does. He spends his time and money on other babes just like the way he does with you.

5. He really loves his wife that is why he married her, he can’t divorce her and he can’t marry you. You are just his side dish to take off his stress. So his loving you is for fun and temporary.

6. He will dump you after using you for some other fresh babe; he won’t fulfill what he promised you. Those will be lies that he told you just to soften your heart and to get what he wanted.

7. Getting pregnant won’t fully trap him; He has his real kids and wife at home that he can show to the friends and relatives. You and your kids will be hidden.

8. His property and money are his, children and his wife. It’s very hard to get a share on his property.

Itaendelea....

Jana Kwenye Mkasi Master J amekiri kumwacha mkewe na watoto na kuwa na Shaa ........ So I think point no. 4 isn't valid at all cases
 
Bibie punguza munkhari haya majibu naya muhusika
rubii jamani ndio nini kuniitia mume(ex) "bibie", aaah bwana hebu punguza munkari, huyo Eli79 ni mwanaume rijali haswaaaa, na nina uthibitisho.
 
Last edited by a moderator:
Wengi wa viruka njia ni looser katika maswala ya ndoa na mahusiano, wapo tu kuharibu pale wenzao wanapojitahidi kujenga. Hayo mengine ni kujiweka kwenye comfort zone ili mradi asipoteze kila kitu.
Ni wachache sana wanaamua kuwa single kwa ridhaa yao. Walio wengi wanaona bora waharibu tu kwa wenzao ambao tayari wana miji yao. Na ndio maana wapo tayari kufanya lolote, hata kwenda kwa babu ili mradi tu aweke mambo sawa kumkamata mume wa mwenzake...
Hata hivyo, vitabu vya Mungu vinasema, itafikia wakati wanawake wataomba kuitwa ubini wa waume..meaning mtakuwa mnatongoza. Mnaanza kwa kasi ya mwanga wa jua.

Wake za watu bwana...
????kama we unaona fahari kuwa MKE ni ww,unavyo jiskia ww na huwez kujisjlkia kama Mimi

Sikatai unacho amini na halo ndipo tofauti yangu na we inapokuja hapo unaamini latka ndoa I don't.. Hapo tu na kama mapenzi napata kama wewe kwa ajili ya maumbile lakini ndoa...

Wekabali mmi no naamini katikachepuko ndo napo pata a man ya moyo.na nipo making sana katika hiyo.

Na always nasisitiza heshima na amani Nyumba kwake na heshima kwa mkewe bas

Na kwababu huko kuna wenyewe ambao no michepuko na wanataka ndoa Mimi yangu kumaliza hamu tu
 
rubii jamani ndio nini kuniitia mume(ex) "bibie", aaah bwana hebu punguza munkari, huyo Eli79 ni mwanaume rijali haswaaaa, na nina uthibitisho.


Hahaha.. Huyo kaamua tu kuniita hivyo, labda maelezo yangu kuhusu viruka njia yamemkwaza ndio maana kanipa moja ya uso.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha.. Huyo kaamua tu kuniita hivyo, labda maelezo yangu kuhusu viruka njia yamemkwaza ndio maana kanipa moja ya uso.

Duuuh kamoyo kaliruka ghafla niliposoma hapo, nusu niingie kwenye simu.
 
Wake za watu bwana...
????kama we unaona fahari kuwa MKE ni ww,unavyo jiskia ww na huwez kujisjlkia kama Mimi


Sikatai unacho amini na halo ndipo tofauti yangu na we inapokuja hapo unaamini latka ndoa I don't.. Hapo tu na kama mapenzi napata kama wewe kwa ajili ya maumbile lakini ndoa...

Wekabali mmi no naamini katikachepuko ndo napo pata a man ya moyo.na nipo making sana katika hiyo.

Na always nasisitiza heshima na amani Nyumba kwake na heshima kwa mkewe bas

Na kwababu huko kuna wenyewe ambao no michepuko na wanataka ndoa Mimi yangu kumaliza hamu tu

Na wewe umeamua kuniita hivyo?..haya bwana! Well, kila la heri. Awe na wewe but at the same time amheshimu mke na watoto..kazi ipo.
 
Umeona ee, maana tunayaona huku mtaani
Wanaume waongo kwanza hadi ana msaliti mkewe na watoto kuja kwa mchepuko huyo anakua hafai, na akitoka kwa huyu anaenda kwa mwingine hvo HVO I'll kutoa hamu zake, hata akupe nini mwisho was siku ana rudi kwa mkewe.
 
Hutegemea kwakweli, wapo walowaacha wake zao sababu ya michepuko na wapo ambao wanashughulikia talaka now ili wawaache, wengine wameanza visa ili wajitoe,wengine wanafikiria kuanza visa ili wajitoe.
Hivyo viburi vya kujiona ushaolewa na umefika mwisho ndivyo vinavyoponza wanawake wengi now days, kiburi hadi kwa mume,majukumu yako huyataki,full mashindano,wewe ndio wewe huambiwi kitu, umejiachia achia tu, wht do you expet? Jipeni moyo tu ila cha moto mnakiona.
Wanawake tujitambue na tumpe Mungu nafasi yake, hivyo tu yaani.

Kweli tupu.. kuna rafiki yangu mkewe hapiki, hafui, hafanyi usafi ndani kisa ANAFANYA KAZI kama anavyofanya yy mume, hapo ndani wanakaa wawili tu akianza kununa wiki hamwongeleshi mumewe, akianza kunyima unyumba mwezi hatoi kitu, na mwanaume anampenda mkewe sana ila itafika siku atachoka na siku atakayochepuka akutane na mchepuko uliodhamiria na kumiliki waume za watu ndio kunamuweka mjni yule dada mume atamkosa na mchepuko hautahitaji kutumia nguvu nyingi kumuwin huyo mume, ni kumfanyia tu vile ambavyo anastahili kufanyiwa mume lakin havipati kwa mkewe kwisha! kwa hiyo wanawake waliko kwenye ndoa wajitathmini wenyewe kwanza kabla ya kumtafuta mchawi, sa zingine hakuna limbwata wala kupewa tigo ni kupewa heshima ya mume tu ndio wanatakaga hawa watu
 
Back
Top Bottom