big-diamond
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 425
- 559
Hahahaaaa kweli tena maranyingine bora kutumika kifaida na mme wa mtu kuliko kutumika kihasara na singo boy
Kwaiyo una maanisha kuwa mwanaume mwenye pete kidoleni ana market compared na single?
Hahahaaaa kweli tena maranyingine bora kutumika kifaida na mme wa mtu kuliko kutumika kihasara na singo boy
Na usikute wewe unadeti na mume wa mtu........
Kwaiyo una maanisha kuwa mwanaume mwenye pete kidoleni ana market compared na single?
Mme wa mtu mtamu bwana nyie acheni kabisa.
Mhhh shikamoo
Kama mimi nilivyowekeza kwako nitaambiwa nini nielewe? yanaingia kushoto yanatokea kulia......
Una ushaidi?????Kweli kabisa mkuu inategemea
Mi kuna ninaowafahamu wanafaidi kuliko hata nyumba kubwa
Tatizo sisi wanaume hatuachi vitu vizuri vitupite hata kama tuna wenza wetu
Haaaaa ....!mi huwa nawashangaa sana wanaosema eti wanawake wanao chukua waumeza watu wabaya,ubaya anaacha kuambiawa aliye nifuata naambiawa mimi,kwan yeye hakujua kama kaowa.
Eti ananitumia ...
kwani ni wanawake tu ndo wanao tumiwa hata wanaume nao wanatumiwa namtumia ananitumia tunatumiana.
Chapaa wanapokea kwa kubadilishana na burudani anayotoa lakini mume wa mtu ni wa mtu tu, huwezi linganisha na chapaa zinazokwenda kwenye familia labda awe karogwa
Atakapokuacha ukiwa unavaa diapers ndio utajua nani kamtumia mwenzake. He spends on you, ila he gets anything he wants from you...at the end unabaki miserable and lonely na mbaya zaidi..anakuwa keshakugeuza kama mla samaki...
Katika hali ya kawaida hakuna mwanaume anaeweza kuitelekeza familia yake kwa ajili ya mchepuko. ukiona ivo ujue kuna kitu kwani mpaka umeamaua huyo mwanamkebila shaka unampenda na uko tayari kuilinda familia yako kwa machozi jasho na damu. Ukiona mwanaume anaitelekeza familia yake ujue kuna nguvi za giza zimeingilia kati
Haaaaa ....!mi huwa nawashangaa sana wanaosema eti wanawake wanao chukua waumeza watu wabaya,ubaya anaacha kuambiawa aliye nifuata naambiawa mimi,kwan yeye hakujua kama kaowa.
Eti ananitumia ...
kwani ni wanawake tu ndo wanao tumiwa hata wanaume nao wanatumiwa namtumia ananitumia tunatumiana.
Kwahiyo ngoma droo si ndiyo
Ntakuwa wa ngapi..??
cc
Heaven on Earth
...kuna wadada wamewekeza kwa waume za watu, huwaambii kitu...
hapo umewapigia mbuzi gitaa tu..!