Malaika AD
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 496
- 316
- Thread starter
- #301
Hapa leo naona kuna vita kali kati ya wake za watu na wezi wa waume za watu.
Nimekumbuka ghafla wimbo unaitwa Manungayembe...
Anayeukumbuka tafazali tafazali aniwekee chorus ya huu wimbo.
Hahahaaa huo wimbo wako ni outdated kwa maisha ya sasa.