binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,783
- 46,841
Imagine unapata sms kama hii kutoka kwa mwenye mumewe utafanyaje?.."NAJUA MUME WANGU ANAKUPENDA NAWE WAMPENDA PIA TAFADHALI MPENDE MUME WANGU KAMA NINAVYOMPENDA"
Heeeee si bora hiyo kuna hii NAJUA MUME WANGU ANAKUPENDA KULIKO ANAVYONIPENDA MIMI LAKINI UWE UNAMKUMBUSHA ASISAHAU FAMILIA YAKE YA KWANZA!