Mahusiano na mume wa mtu ni shughuli pevu

Acha kabisa kuna wadada wana waume za watu ila wanawafaidi kuliko hata nyumba kubwa.

Ushauri wangu: naskia eti mchepuko sio dili lakini sometimez ni dili sasa basi ukisha mpata tumia vizuri miezi ya kwanza 6 akija kukumbuka familiya yake uwe na chako. Maana the world itself is not fair then why shud i be fair to someone? Ukipata tumia ukikoso jutia.
 
Huko Nigeria wanaume za watu wanaitwa mitumba...if you are the woman enough umeshindwa nini kupata brand new....mnasubiri makombo kama simba dume mzee asiyeweza kuwinda afu mnajiona wajanja...

Endeleeni kupata hii huduma kwa wizi else mtadata muanze kuandamana kama Nigeria kuomba serikali iwatafutie wa kuwaoa....

Mnatia huruma lakini....
 
Kauli ya kukata tamaa sana hii!
 
Nimegundua mabinti wa kileo wana hasira sana...kuna kama war btn walioolewa na walio single...
Kuna mmoja alikuwa ananisimulia kwa furaha ya ajabu jinsi best wake alivyoolewa na player.,.
Nikashindwa kujizuia nikamuuliza mbona kama una furaha...
anasema oooh walianza kututenga kwenye group letu sie tulio single...

Kuna mama ni divorcee naye kutwa ananionyesha picha za kakake facebook akila bata na mkewe huku akiwananga kuwa wamezidi kujifanya lovebirds...

Mbona siye Enzi zetu haya ya chuki hayakuwepo?....watu siku hizi wakiona kadi za send off ni misonyo...

Kuweni macho wadogo zangu mlioolewa kipindi JK yuko madarakani...mmezungukwa na maadui wasiowatakia mema...

Siku hizi Ñî chuki tu. Waliopata bahati ya kuolewa wawe makini sana.
 
Makini makini..watu miudenda inawatoka kama mbwamwitu anavizia mkono wa binadamu uanguke adake.,..

Na lazima sie wajanja tukabe hadi penati...aachwi mtu....kwi kwi kwi
 
Ndio maana wanaowapatia wanawachuna mpaka ngozi. Ladies unapo mdeti mume wa mtu ukae ukijua haya mambo.

1. The only thing he wants from you is sex, After Cumming he will be gone. He will only sweet talk you again when he needs some sex.

2. He can spend a day with you touring beautiful places but at the end of the day he will go back to his wife and kids who will be missing him.

3. He is never going to leave his kids and wife because of you. He will only be fooling you all the time with words like “I will marry you, I will build for you a house, I will buy for you land, I will take you to the driving school, I will buy for you a posh car” and many more different lies.

4. Keep it in your minds that you’re not the only one he sleeps with apart from his wife. If he can cheat on his wife with you then can’t he cheat on you with some other lady? Seriously he does. He spends his time and money on other babes just like the way he does with you.

5. He really loves his wife that is why he married her, he can’t divorce her and he can’t marry you. You are just his side dish to take off his stress. So his loving you is for fun and temporary.

6. He will dump you after using you for some other fresh babe; he won’t fulfill what he promised you. Those will be lies that he told you just to soften your heart and to get what he wanted.

7. Getting pregnant won’t fully trap him; He has his real kids and wife at home that he can show to the friends and relatives. You and your kids will be hidden.

8. His property and money are his, children and his wife. It’s very hard to get a share on his property.

Itaendelea....

baeleze basiwe bana tuganda ganda kama luba,eti mtu anataka haki sawa kama mke wa ndoa ebo!
 
Kauli ya kukata tamaa sana hii!
Anachoongea ni kweli, wengi wa viruka njia mmejikatia tamaa sana. Kuna mmoja huyo very beautiful lady, sijui alikuwa na mkosi gani yule dada manake kwa uzuri tu..mmh. Lakini maisha ya kuruka na waume za watu ndio yake, tena ukiona anavyotoka out mwenyewe, huku akitegemea labda ata hook na mtu huko wa kumuondolea stress, kazi yake ni kudate waume wa watu tu... yaani mna shida kwa kweli.
 
"Wengi wa viruka njia mmejikatia tamaa sana"?????

Ninachojaribu kusema hapa ni kwamba acheni kuisemea mioyo ya wanaume. Unajua wanawake waloolewa wana kelele sana na wanajichetua sana utasikia ohhh huyu wangu tu alinipenda ndio maana akanioa! mi huwa nawaangalia nasikitika tu.
Circumstance ya huyo dada haiwezi kufanana na ya dada mwingine anayetembea na mume wa mtu. I wish nitoe experience yangu katika hili labda tutaelewana.
 
Mtu akipata mume na akafanikiwa kumbananisha kisawasawa bora tu apige goti amshukuru mungu.
 
"Wengi wa viruka njia mmejikatia tamaa sana"?????

Ninachojaribu kusema hapa ni kwamba acheni kuisemea mioyo ya wanaume. Unajua wanawake waloolewa wana kelele sana na wanajichetua sana utasikia ohhh huyu wangu tu alinipenda ndio maana akanioa! mi huwa nawaangalia nasikitika tu.
Circumstance ya huyo dada haiwezi kufanana na ya dada mwingine anayetembea na mume wa mtu. I wish nitoe experience yangu katika hili labda tutaelewana.
Toa hiyo experience yako tuone kama inaweza kuwa na mshiko, na kama yaweza kuwa msaada kwa viruka njia na walioolewa..
 
Hahahaaa naogopa mwenyewe anaweza akawa humu akaona namtangaza!
 
Hahahaaa naogopa mwenyewe anaweza akawa humu akaona namtangaza![/QUOTE]

Ndo shida ya kuwa mpango wa kando...
Unapewa masharti kuliko ya mkopo wa benki ya dunia...
Wengine wanafikia kuzaa na kubambikia madansa watoto...
Maana wakithubutu kubwabwaja nani ni real father hata ela ya nido hawataiona
 
Toa hiyo experience yako tuone kama inaweza kuwa na mshiko, na kama yaweza kuwa msaada kwa viruka njia na walioolewa..

Anyway ilikuwa mwaka 2009 nikiwa nina mwaka mmoja after ku graduate degree ya Ualimu. Nilipokutana na kaka/baba mmoja mwenye miaka 38 mimi nikiwa na 24.
Kumbe yeye yupo kwenye ndoa kwa miaka 4.

Bahati nzuri alinikuta nikiwa najitegemea (Nimepanga chumba kimoja ) kama watoto wa kimaskini wengi tunavyoanza maisha. Hivyo alinikuta nikiwa nimejitosheleza kwa kidogo nilichokuwa nacho.
Bahati Bahati nzuri nimetokea kwenye familia ya single mama hivyo. Nilijifunza kuwa mchakarikaji tangu kipindi nilipokuwa nasoma. For now ninabiashara zangu mjini hapa Dodoma (yeye akiwa msaada mkubwa sana kwa mimi kufika hapa nilipo)

shule naenda hivyo hivyo kwa kusua sua. (Walimu watanielewa hapa).

Alinikuta nikiwa single kwani mi masuala ya mapenzi nilikuwa sihangaiki nayo (inawezekana ni kwasababu nimetokea familia isiyokuwa na baba)Hivyo for the first time nikaingia kwenye mapenzi seriously. Sikujua kama jamaa ameoa kwani nilikuwa naenda hadi kwake nakaa hata siku nyingi kidogo japo sijawahi kuhamia. KUMBE AMEOA NA FAMILIA(mke na mtoto mmoja) YAKE IPO HAPAHAPA MJINI. Hiyo nyumba aliijenga kwa siri (sijui kwanini ). Eli79 hapa huoni kuwa kuna serious problem kati ya huyu mume na mkewe? Halafu nimkute ana jichetua huko atanijua mi ni nani!

Baadae sana 2011 alivyojua penzi limekolea akaniambia kuwa ye ameoa lakini anataka mi niwe nyumba ndogo (sio siri I cried). Sikuamini kama ni kweli mpaka siku nilipothibitisha na nilimtaka tuachane japo haikutokea.
now tuna kama mwaka wa 6/7 And we are happy.

(Sisemi hatukwazani) changamoto zipo kwani sisi hatuishi mbinguni! Ugomvi wa kila siku ni ndoa ya serikalini. Mi sikupanga kuolewa maishani (May be the past eats the future)

Kuhusu mafanikio ya kukaa nae (economically) ni makubwa mno ukizingatia mimi ni mtu wa kazi siku zote. Nina vingi nilivokuwa naviota (sijui kama ni vyote).

Sioni kama kuna kitu mkewe ananizidi kwani yawezekana ninamzidi hata ada ya mwanaye anayesoma Martini Luther huwa inapita kwangu.

Kuhusu ugomvi na mkewe alishawahi kunichokonoa sana sema mi niko bize hawezi nipata. Ninaishi and am happy.

Sasa hapa Eli79 je ni kweli wote wanaotembea na waume za watu ni wawindaji?

Sijaandika mengi sana ikiwemo na kuitwa kwenye vikao daah!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa naogopa mwenyewe anaweza akawa humu akaona namtangaza![/QUOTE]

Ndo shida ya kuwa mpango wa kando...
Unapewa masharti kuliko ya mkopo wa benki ya dunia...
Wengine wanafikia kuzaa na kubambikia madansa watoto...
Maana wakithubutu kubwabwaja nani ni real father hata ela ya nido hawataiona

Situation zinatofautiana sana nyumbakubwa.
Kama umefanikiwa kukaba then hongera.
 
Last edited by a moderator:
Anyway ilikuwa mwaka 2009 nikiwa nina mwaka mmoja after ku graduate degree ya Ualimu. Nilipokutana na kaka/baba mmoja mwenye miaka 38 mimi nikiwa na 24.
Kumbe yeye yupo kwenye ndoa kwa miaka 4.

Bahati nzuri alinikuta nikiwa najitegemea (Nimepanga chumba kimoja ) kama watoto wa kimaskini wengi tunavyoanza maisha. Hivyo alinikuta nikiwa nimejitosheleza kwa kidogo nilichokuwa nacho.
Bahati Bahati nzuri nimetokea kwenye familia ya single mama hivyo. Nilijifunza kuwa mchakarikaji tangu kipindi nilipokuwa nasoma. For now ninabiashara zangu mjini hapa Dodoma (yeye akiwa msaada mkubwa sana kwa mimi kufika hapa nilipo)

shule naenda hivyo hivyo kwa kusua sua. (Walimu watanielewa hapa).

Alinikuta nikiwa single kwani mi masuala ya mapenzi nilikuwa sihangaiki nayo (inawezekana ni kwasababu nimetokea familia isiyokuwa na baba)Hivyo for the first time nikaingia kwenye mapenzi seriously. Sikujua kama jamaa ameoa kwani nilikuwa naenda hadi kwake nakaa hata siku nyingi kidogo japo sijawahi kuhamia. KUMBE AMEOA NA FAMILIA(mke na mtoto mmoja) YAKE IPO HAPAHAPA MJINI. Hiyo nyumba aliijenga kwa siri (sijui kwanini ). Eli79 hapa huoni kuwa kuna serious problem kati ya huyu mume na mkewe? Halafu nimkute ana jichetua huko atanijua mi ni nani!

Baadae sana 2011 alivyojua penzi limekolea akaniambia kuwa ye ameoa lakini anataka mi niwe nyumba ndogo (sio siri I cried). Sikuamini kama ni kweli mpaka siku nilipothibitisha na nilimtaka tuachane japo haikutokea.
now tuna kama mwaka wa 6/7 And we are happy.

(Sisemi hatukwazani) changamoto zipo kwani sisi hatuishi mbinguni! Ugomvi wa kila siku ni ndoa ya serikalini. Mi sikupanga kuolewa maishani (May be the past eats the future)

Kuhusu mafanikio ya kukaa nae (economically) ni makubwa mno ukizingatia mimi ni mtu wa kazi siku zote. Nina vingi nilivokuwa naviota (sijui kama ni vyote).

Sioni kama kuna kitu mkewe ananizidi kwani yawezekana ninamzidi hata ada ya mwanaye anayesoma Martini Luther huwa inapita kwangu.

Kuhusu ugomvi na mkewe alishawahi kunichokonoa sana sema mi niko bize hawezi nipata. Ninaishi and am happy.

Sasa hapa Eli79 je ni kweli wote wanaotembea na waume za watu ni wawindaji?

Sijaandika mengi sana ikiwemo na kuitwa kwenye vikao daah!

Funguka kila kitu ndo italeta ladha kamili...
 
Unafahamika ukweni? Umeshazaa nae? Mambo ya kifamilia nani anawakilisha wewe au mke halali?
 
Last edited by a moderator:
Situation zinatofautiana sana nyumbakubwa.
Kama umefanikiwa kukaba then hongera.

te te te as long as anayechukuliwa si mume wangu huwa sijali...naandika humu JF kama mtetezi kufuraisha genge...mwisho wa siku abiria chunga mzigo wako..na nina washikaji ambao ni vimada na wengine ambao walikuwa vimada zaidi ya miaka kumi na sasa wanalea watoto zao as single mothers....but they are lucky kwa kuwa wana uwezo tena sana na walichokuwa wanatafuta kwa waume za watu ni love na kuondoa upweke... sasa mi niwachukie hao wanaume ni waume zangu?

Back to your story ambayo inaonyesha una claim kuwa innocent victim....
Huyo mwanaume mwenye mke na akaamua kujenga nyumba kwa siri na kuitumia kama danguro uoni kuwa ni bomu...?
 
Kuna story ya dada mmoja ni mshikaji...aliyumbisha nyumba ya dada mwingine wote washikaji hakuna alojua kuwa huyu mume ataja tulia....mke akizaa...na mdada anazaa...mashindano...

Leo hii mume kaamua kutulia na mkewe dada analea mwenyewe...ni appointee wa rais hivyo hana shida ya ela ila ameruidi kuwa mpweke...
 
Back
Top Bottom